Mambo 5 Ya Kusema Hapana Ambayo Hayana Mchango Kwenye Maisha Yako Na Mafanikio Yako.

Rafiki yangu wanasema ni kwenye muda pekee ndipo penye demokrasia ya kweli duniani. Ndiyo kitu pekee ambacho tumepewa kwa usawa. Kwa kuwa tumepewa kwa usawa, ila wapo ambao wanafanya makubwa sana kwenye muda huo huo, ina maana kuna vitu wanafanya kwa utofauti. Dr Kocha Makitita Amani anasema kuwa siri kuu ya kutumia muda vizuri ni… Continue reading Mambo 5 Ya Kusema Hapana Ambayo Hayana Mchango Kwenye Maisha Yako Na Mafanikio Yako.

Mambo 10 Muhimu Kuhusu Kazi.

Rafiki yangu mpendwa kazi ni asili ya wanadamu. Siyo adhabu, kazi ni zawadi toka kwa Mungu, mtu asiyetaka kufanya kazi na asile chakula. Kazi bora zaidi kuliko zingine ni ile ambayo unaifanya. Fikra na mtazamo wako ndiyo kazi bora unayoifanya. Mambo kumi kuhusu kazi ni kama yafuatayo; Chukua hatua rafiki yangu tunapaswa kupenda kufanya kazi… Continue reading Mambo 10 Muhimu Kuhusu Kazi.

Njia 5 Za Kukuwezesha Kuwa Wewe Kwenye Jamii Ya Kisasa.

Kuwa wewe mwenyewe katika jamii ya kisasa kunahitaji uwiano kati ya kujielewa, kukubali mabadiliko, na kushikilia misingi yako. Hapa kuna njia tano za kufanikisha hilo; Chukua hatua; kuwa wewe kwenye jamii ya kisasa unahitajika kuchangamka, lakini pia kubaki na msingi wako. Rafiki yako, Maureen Kemei.

Mambo 10 Ya Kuzingatia Wakati Kipato Kinapoongezeka.

Rafiki yangu kipato kinapoongezeka matumizi yanapaswa kutoongezeka . Yafuatayo ni mambo ya kuzingatia; Chukua hatua; rafiki kwa kuzingatia mambo haya utaweza kudhibiti matumizi na utaweza kuokoa fedha kwa ajili ya kuweka akiba na kufanya uwekezaji. Rafiki yako, Maureen Kemei.

Katika Kuukabili Ugumu Wa Maisha, Falsafa Ya Ustoa Inasisitiza Mambo 6 Yafuatayo:

Rafiki yangu mpendwa falsafa ya ustoa ni mtazamo wa kifikra unaohimiza uvumilivu, nidhamu ya kihisia, na kuukabili ukweli wa maisha kwa utulivu. Mambo hayo 6 ya kuzingatia katika kuukabili ugumu wa maisha ni kama; Chukua hatua; falsafa ya Ustoa inahimiza mtu kuwa na uvumilivu, nidhamu, na mtazamo chanya mbele ya ugumu wa maisha, kwa kutambua… Continue reading Katika Kuukabili Ugumu Wa Maisha, Falsafa Ya Ustoa Inasisitiza Mambo 6 Yafuatayo:

Nguvu Ya Kujiamini Na Kujitathamini.

Rafiki yangu mpendwa moja ya nguvu muhimu unayopaswa kuwa nayo maishani ni uwezo wa kuwaachia watu waendelee na safari yao—hasa wale wasioona thamani yako. Kama utaendelea kushikilia mahusiano na watu wanaokudharau au kukufanya ujione mdogo, utapoteza kujiamini na hatimaye utaishi kwa mashaka na hofu. Leo amua kujiamini! Jipende na jithamini kwa sababu thamani yako haiamuliwi… Continue reading Nguvu Ya Kujiamini Na Kujitathamini.

Njia Ya Ustoa Ya Kutafuta Utulivu Kwenye Maisha.

Rafiki yangu mpendwa falsafa ya kiyunani ya kale ambayo inasisitiza kudhibiti hisia, kujitawala, na kutafuta utulivu na furaha kwa njia ya maisha yaliyothibitiwa. Baadhi ya mbinu kuu za ustoa unazoweza kutumia ili kupata utulivu kwenye maisha yako ni kama yafuatayo; Kila kitu kilicho cha nje kinaweza kinaweza kuja na kuondoka, lakini utulivu na maadili ni… Continue reading Njia Ya Ustoa Ya Kutafuta Utulivu Kwenye Maisha.

Jinsi Ya Kuvunja Kuanzia Sifuri.

Rafiki yangu mpendwa ukiona mafanikio ya watu wengine ujue kuwa wamepambana hadi wakapata mafanikio hayo. Hapa kuna baadhi ya mambo ya kufanya ili kuepuka kuanzia sifuri kila mara. Chukua hatua; rafiki yangu vikiwemo maoni, mfumo na mauzo utakuwa umeewaacha watoto maeneo salama wataweza kuendesha maisha yao salama. Na pia utakuwa umeewaacha alama nzuri duniani. Rafiki… Continue reading Jinsi Ya Kuvunja Kuanzia Sifuri.