Karibu sana tujifunze zaidi kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Zama zilizopita mtu alikuwa anapata kazi moja na kudumu nayo maisha yake yote. Hii ni kwa sababu mabadiliko yalikuwa yanatokea kwa kazi ndogo sana hivyo wengi waliweza kudumu na kazi moja maisha yao yote. Na… Continue reading 35/100.Utakapokua huenda usiwe na kazi.
Month: March 2022
34/100.ujasiri
Karibu tunaendelea kujifunza kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Yale nimejifunza ni kwamba: Binadamu tumezoea kuishi kwa hadithi, kila zama zimekuwa na hadithi zake, zama za kifashisti hadithi ilikuwa nchi yangu ni bora kuliko nyingine. Zama za kikomunisti nchi yangu inanijali na kunipatia kila ninachotaka.… Continue reading 34/100.ujasiri
33/100.Ukweli.
Karibu, katika uendelezo wetu wa kujifunza kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Nikafahamu kwamba: Kama naona kuwa navurugwa na kuzidiwa na mambo yanavyokwenda kasi duniani, basi nijue nipo mahali sahihi na angalau nina uelewa wa mambo yanavyokwenda. Mfumo wa kidunia imekuwa migumu sana kwa mtu… Continue reading 33/100.Ukweli.
32/100.Kukata tamaa na matumaini.
Karibu, katika uendelezo wa kujifunza kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Yale nimejifunza kutoka kitabu hiki ni kama yafuatayo. Kwamba kutokana na changamoto kuwa nyingi na kutokutabirika; Watu wengi wanaishia kukata tamaa na kuona hawana cha kufanya bali kupokea hali kama ilivyo. Lakini tunapaswa kujua… Continue reading 32/100.Kukata tamaa na matumaini.
31/100.Changamoto ya kisiasa.
Karibu, naendelea kukushirikisha yale ninayojifunza kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Kitabu hiki kimeezea kwa kina sana changamoto tunazopitia kwenye karne hii na hatua tunazopaswa kuchukua ili kuzivuka. Mbili;changamoto ya kisiasa. Tuliangalia Jana changamoto ya kwanza ambayo ni changamoto ya kiteknolojia. Leo tuko kwenye changamoto… Continue reading 31/100.Changamoto ya kisiasa.
30/100.Changamoto kubwa ya karne ya 21 na jinsi ya kuzivuka.
Karibu katika uendelezo wa kujifunza kutoka kitabu 21 lessons for the 21st century, ambacho kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Kimeelezea kwa kina sana changamoto tunazopitia kwenye karne hii na hatua tunazopaswa kuchukua ili kuzivuka. MOJA;CHANGAMOTO YA KITEKNOLOJIA. Katika hiki kilaelezea changamoto zote za kiteknolojia zinaanzia kwenye mambo mawili. Moja ni ukuaji wa teknolojia… Continue reading 30/100.Changamoto kubwa ya karne ya 21 na jinsi ya kuzivuka.
29/100.Uwazi ni nguvu mkubwa.
Karibu Namshukuru Mungu kwa uhai na zawadi ya siku nyingine ya ushindi. Tunajifunza leo kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Kwenye kitabu hiki, Yuval amezichambua changamoto kubwa 21 zinazotukabili kwenye karne hii ya 21 na kupendekeza hatua tunazopaswa kuchukua ili tusiachwe nyuma na mabadiliko yanayotokea… Continue reading 29/100.Uwazi ni nguvu mkubwa.
28/100.mambo sita ya kufanya kila siku asubuhi ili kuwa na siku ya ushindi.
Karibu, nikushirikishe ninayozidi kujifunza kutoka kitabu makini mno cha kanuni ya siku ya mafanikio. Iliyoandikwa na kocha Dr Makirita Amani. Nimejifunza kwamba; Maisha yetu yana maeneo manne muhimu tunayopaswa kuweka nguvu na umakini zetu kama tunataka kuwa na maisha bora. Maeneo haya manne ni afya ya mwili, akili, hisia na imani. Afya ya mwili inahusisha… Continue reading 28/100.mambo sita ya kufanya kila siku asubuhi ili kuwa na siku ya ushindi.
27/100.Mambo ya kufanya kila siku asubuhi ili kuwa na siku ya ushindi.
Karibu naendelea kukushirikisha yale ninayojifunza kutoka kitabu cha kanunikwanza ya siku ya mafanikio. Iliyoandiyakokwa na kocha Dr Makirita Amani. Jambo la kwanza ;ni kuandika hadithi mpya ya maisha yako. Badala ya kuendelea na kile kilichojengeka kwa mazoea, unachagua kutengeneza kile unachotaka kuamini. Jambo la pili ;amka ukiwa na uwezo wako wote. Unaamka kwa ushindi, ukijua… Continue reading 27/100.Mambo ya kufanya kila siku asubuhi ili kuwa na siku ya ushindi.
26/100. Inawezekana unapoteza maisha kwa kufanya haya kila siku.
Habari Karibu sana nikushirikishe niayojifunza kutoka kitabu kanuni ya siku ya mafanikio iliyoandikwa na kocha Makirita Amani. Kumbe kila binadamu ana uwezo mkubwa ulio ndani yake , ambayo labda ametumia asilimia 10 tu. Au ata chini ya iyo. Nikaelewa pia kuwa napoteza maisha kwa _ kufanya mambo kimazoea _kufanya kwa viwango vya chini. _Na kutojaribu… Continue reading 26/100. Inawezekana unapoteza maisha kwa kufanya haya kila siku.