Habari Karibu sana tuendelee na kujifunza kwetu kuhusu safari ya kupata hazina ya maisha, tukiongozwa na kitabu cha ‘the alchemist’ kilichoandikwa na Paulo Coelho. Baada ya kupitia hatari mbalimbali Santiago na Alchemist walifika kwenye mapiramidi. Na hapo Alchemist alimwacha Santiago amalize safari yake mwenyewe. Lakini hakumwacha hivi hivi tu, alitumia ujuzi wake kugeuza madini ya… Continue reading 16/100.kuelekea kwenye hazina.
Month: March 2022
15/100.Unahitaji kufanya miujiza hili kupona.
Habari Karibu katika uendelezo wa somo letu la kutafuta hazina ya maisha, tukiongozwa na kitabu cha “the alchemist “kilichoandikwa na Paulo Coelho. Wakati Santiago na alchemist wanaendelea na safari, walikamatwa na moja ya makundi ya wapiganaji, na wakawatuhumu kwamba ni wapelelezi, ambao wametumwa na maadui na hivyo wanapaswa kuuawa. Alchemist aliwaambia wapiganaji wale kwamba wao… Continue reading 15/100.Unahitaji kufanya miujiza hili kupona.
14/100.lazima kuchukua hatari.
Habari Karibu sana tuendelee na kujifunza kwetu kuhusu safari ya kupata hazina ya maisha. Tukiongozwa na kitabu cha ‘the alchemist’ kilichoandikwa na Paulo Coelho. Ilionekana vita inachukua muda mrefu na hivyo msafara hauwezi Kuendelea. Alchemist alimwendea Santiago na kumwambia inabidi aendelee na safari yake licha ya kuwepo kwa hatari ya vita. Alimwambia auze ngamia aliyenaye… Continue reading 14/100.lazima kuchukua hatari.