Tofauti kati ya wanaoshinda na wasioshindwa sio akili, fursa au bahati. Bali tofauti ni kuamini na kujiamini. Watu wawili wanaweza kuona fursa moja, mmoja akawa anaamini anaweza kutumia fursa ile vizuri na akaanza kufanyia kazi. Akajitoa kweli na anapokutana na changamoto bado imani yake iko dhabiti na hakati tamaa. Mwingine anaona ni fursa nzuri na… Continue reading Unahitaji kujiamini.
Month: April 2022
Hatua za kutengeneza maisha bora na yenye mafanikio.
Hatua ya kwanza ni taswira, unapaswa kutengeneza taswira ya maisha unayotaka kuwa nayo. Kwenye taswira hii ndiyo unajua kusudi la maisha yako, unaweka maono yako, unakuwa na sababu ya kwa nini unataka kufikia maono hayo na hatua za kuchukua. Ni lazima kwanza uone taswira cha unachotaka kabla hakijatokea kwa uhalisia. Hatua ya pili ni utambuzi… Continue reading Hatua za kutengeneza maisha bora na yenye mafanikio.
Fikiria kushinda.
Tunaendelea kujifunza namna ya kuwa chanya wakati wote, tuliangalia kwamba kuwa chanya au hasi inaanzia kwenye fikra zetu. Ili tufikirie chanya au tuwe chanya wakati wote, inabidi tubadili mfumo wote wa kifikra. Kutoka hasi kwenda chanya ili tupate nafasi ya kuona fursa badala ya matatizo. Kitu kinachotuzuia wakati mwingine tusifanye jambo bora ni kuwa na… Continue reading Fikiria kushinda.
Nini maana ya kuwa na fikra chanya.
Karibu rafiki mpendwa, leo tunajifunza somo nzuri kabisa ambayo itachangia kwa namna nyingine katika safari ya kufikia mafanikio makubwa. Fikra chanya ni ile hali ya kutumia ugumu wowote unaopitia mtu, au kuchagua tu kuwa na mtazamo bora kwenye kila nyanja ya maisha. Kuwa na fikra chanya inaanzia kwa kujinenea mazuri au kujitamkia matamshi ya ushindi… Continue reading Nini maana ya kuwa na fikra chanya.
59/100. Usiombe msamaha.
Natumai kabisa rafiki umekuwa na siku nzuri ya mafanikio, karibu katika kujifunza kwetu kuhusu mbinu bora za mafanikio kwenye unenaji. Tunajifunza kutoka kitabu cha the art of public speaking kilichoandikwa na waandishi Dale Carnegie na J. Berg Esenwein. Unaposimama mbele ya wengine usihangaike na kuomba msamaha kwa kitu kidogo ulichokifanya ambacho hakihusiani na mazungumzo unayofanya.… Continue reading 59/100. Usiombe msamaha.
58/100. Usiharakishe.
Habari mpendwa, karibu tuendelee mbele katika kujifunza mbinu bora za mafanikio kwenye unenaji. Kutoka kitabu chetu pendwa cha the art of public speaking kilichoandikwa na waandishi Dale Carnegie na J. Berg Esenwein. Waandishi hawa wanatushirikisha kuwa, tunapozungumza mbele ya wengine, tusiharakishe kuanza wala kumaliza. Jua muda ulionao kwenye kutoa mazungumzo yako. Usiwe mtu wa kuharakisha… Continue reading 58/100. Usiharakishe.
57/100. Tawala hadhira yako.
Naamini siku yako imekuwa ya mafanikio makubwa, karibu tujifunze kuhusu somo letu la mbinu bora za mafanikio kwenye unenaji. Kutoka kitabu cha the art of public speaking kilichoandikwa na waandishi Dale Carnegie na J. Berg Esenwein. Kuihofia hadhira hasa kwa ukubwa wake ndiyo chanzo cha watu wengi kupata hofu ya kuongea mbele ya wengine. Wengi… Continue reading 57/100. Tawala hadhira yako.
56/100. Tegemea kufanikiwa.
Karibu, katika kujifunza zaidi kuhusu mbinu bora za mafanikio kwenye unenaji, katika kitabu cha the art of public speaking kilichoandikwa na waandishi Dale Carnegie na J. Berg Esenwein. Baada ya kuwa na maandalizi mazuri kinachofuata ni kutegemea kufanikiwa. Iko ivi rafiki, kile kinachotokea kwenye maisha yetu ni ambacho tumekuwa tunakitegemea. Sasa inapokuja kwenye kuongea mbele… Continue reading 56/100. Tegemea kufanikiwa.
55/100. Kuwa na kitu cha kusema.
Karibu, tunaendelea kujifunza kutoka kitabu cha the art of public speaking kilichoandikwa na Dale Carnegie na J. Berg Esenwein. Maandalizi ni muhimu sana katika kuongea mbele ya wengine. Kama unakwenda kuongea mbele ya wengine huku ukiwa huna maandalizi sahihi, hofu itakujaa na utafanya vibaya. Ni muhimu sana uwe na kitu cha kusema na uwe na… Continue reading 55/100. Kuwa na kitu cha kusema.
54/100. Zama kwenye somo lako.
Karibu, katika kujifunza kuhusu mbinu bora za mafanikio kwenye unenaji kutoka kitabu cha ; the art of public speaking kilichoandikwa na waandishi Dale Carnegie na J. Berg Esenwein. Tulijifunza katika somo la kwanza la kitabu hiki kuwa, njia ya kushinda hofu ni kufanya. Ya pili sasa ni kuzama kwenye somo lako. Kitu kikubwa kinachofanya watu… Continue reading 54/100. Zama kwenye somo lako.