Jinsi mawazo chanya inavyoongeza furaha, afya na mafanikio.

Tumekuwa tukisikiliza maneno haya kila wakati, “kaa chanya,” “usikubali kuwa na mtazamo hasi,” ” fikiria mawazo ya furaha.” Misemo kama hii mara nyingi hutumiwa kututia moyo tunapohisi kuchanganyikiwa au tukiwa kwenye changamoto fulani. Hata hivyo tunaweza kuwa tunasikia maneno haya na bado tunajisikia tupu kabisa au kuona kwamba hayatusaidii. Lakini namna gani ikiwa ungeweza kutumia… Continue reading Jinsi mawazo chanya inavyoongeza furaha, afya na mafanikio.

Kwa nini ni muhimu zaidi uachane na maongezi yasiyofaa juu yako.

Tunapojifunza namna ya kuwa chanya wakati wote, tunajaribu kupunguza kwa asilimia kubwa kujitamkia u hasi. Kupuuza sauti ya ndani inayokuletea fikra za kujinenea maneno hasi kila wakati. Kufikiri chanya au kuwa chanya wakati wote husaidia kudhibiti mafadhaiko inaweza hata kuboresha afya yako . Unapaswa ujizoeze sana kushinda mazungumzo hasi ya kibinafsi na kujenga mazungumzo chanya.… Continue reading Kwa nini ni muhimu zaidi uachane na maongezi yasiyofaa juu yako.

Kwa nini ni muhimu kuwa na subira kwenye maisha.

Mambo mazuri kwenye maisha huwa hayataki haraka, hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye mafanikio, kama unataka mafanikio makubwa lazima uwe na subira. Watu wengi hasa kwenye zama hizi tunashindwa kuwa na subira, hasa kwenye safari ya kutaka kufanikiwa. Kwa sababu wengi wetu tuna haraka ya kutaka kufanikiwa, hivyo kuweka muda wa kutosha ili kufikia mafanikio hayo… Continue reading Kwa nini ni muhimu kuwa na subira kwenye maisha.

Jinsi ya kufikiria kila mtu ashinde.

Kwenye ushirikiano wetu na watu wengine, iwe ni kwenye kazi, biashara na hata maisha kwa ujumla, Kuna wakati tunajikuta kwenye majadiliano au kutokukubaliana. Katia nyakati kama hizi ndipo mvutana mkubwa sana unapotokea na katika hali hii watu wenye ufanisi wanatofautiana sana watu ambao hawana ufanisi. Watu wenye ufanisi wanafikiria kila mtu ashinde, yeye ashinde na… Continue reading Jinsi ya kufikiria kila mtu ashinde.

Faida ya kufikiri chanya.

Kufikiri chanya Kuna manufaa makubwa kwa yeyote anayefanya hivyo. Kwanza kabisa kunaufanya afya ya mtu kuwa imara. Tafiti zinaonesha wanafikiri chanya wana hatari ndogo ya kupata magonjwa ya moyo ukilinganisha na wanaofikiri hasi. Pili wanaofikiri chanya wanaona fursa nyingi za uwezekano kuliko wanaofikiri hasi. Unapofikiri chanya ni kama unakuwa umeifungua akili yako iweze kuona mengi… Continue reading Faida ya kufikiri chanya.

Bosi mbaya kuliko wote.

Pata picha unafanya kazi chini ya bosi ambaye hajali chochote kuhusu wewe. Hakuamini na haoni kama unaweza kufanya makubwa. Mara nyingi anakutia hofu kwamba saa yoyote anaweza kukuvuta kazi. Au labda anakukazimisha ufanye kazi masaa mingi alafu unapumzika masaa machache. Huyo bosi si mwingine, bali unamjua vizuri, sababu ni wewe. Wewe ndiye bosi wa kwanza… Continue reading Bosi mbaya kuliko wote.

Kataa kukaa na watu hasi.

Wanasema ogopa watu hasi kama ukoma. Mtazamo hasi huambukiza haraka kama moto wa karatasi na kuleta madhara. Mtazamo kama mimi na unyonge wangu siwezi nikafanya kitu kikafanikiwa. Mtazamo hasi kama nilizaliwa hivi na nitakufa hivi, mtazamo hasi kama vile nilizaliwa masikini na nitakufa maskini. Ukiziamini maneno hasi kama hizi inamaana umejikubalia na utakuwa hivyo. Lakini… Continue reading Kataa kukaa na watu hasi.

Ukweli kuhusu kushindwa

Wakati mwingi huwa nasikiliza wachungaji wa madhehebu mbalimbali wanapohubiri. Lakini kati ya wote Kuna menye nawasikiliza napata tumaini la kusonga mbele zaidi. Hata kama kwa wakati huo kuna jambo ambalo limenikwaza sana. Mchungaji huyo huwa anapenda kusema kuwa “wakristo huwa hawashindwi au hawapati hasara, bali wanajifunza kupitia kushindwa kwao au hasara kwenye biashara ama kazi… Continue reading Ukweli kuhusu kushindwa

Jinsi ya kutuliza hofu isiwe kikwazo kwako.

Karibu, changamoto kubwa kabisa kwenye hofu ni pale tunaposhindwa kuielewa kwa undani. Unapoiona hofu kwa nje inakuwa inatisha sana. Usipochambua kwa undani, hutaweza kupiga hatua, maana utaona ni kikwazo kikubwa. Kwa kila hofu unayokuwa nayo, usiishie tu kuangalia kwa nje, bali ichimbe kwa undani, uweze kuielewa na kuchukua hatua sahihi. Hatua muhimu ya kuchukua ni… Continue reading Jinsi ya kutuliza hofu isiwe kikwazo kwako.

Kutokuacha kusudi.

Karibu, hakuna wakati binadamu atasema amekamilika kwa namna yoyote ile, au kwa vile anavyotaka. Hakuna wakati ambao dunia itakuwa Sawa na kila unachohitaji kitakuwa kimekamilika kama unavyotaka. Kusubiri hadi kila kitu kiwe Sawa ni kujichelewesha. Unachohitaji ni kuwa na kusudi, kuwa na nia njema ya kufanya na kisha kufuata mchakato sahihi. Kibaya zaidi ni pale… Continue reading Kutokuacha kusudi.