Kila mtu huwa anahofia, kila anayefanya kazi kwa mara ya kwanza anakuwa na hofu kubwa. Hata wale wanaoonekana ni majasiri, ndani yao huwa wanakuwa na hofu kubwa. Lakini huwa wanaweza kuzishinda hofu hizo kwa sababu ya mtazamo wanaokuwa nao. Mabadiliko makubwa ya kimtazamo inayoshauriwa kuyafanya ili kuyashinda hofu ni kuyajua kwamba hofu siyo adui. Hofu… Continue reading Hofu siyo adui
Month: May 2022
Mabadiliko binafsi
Habari na karibu. Mabadiliko binafsi yanahitaji nafasi hili kutokea. Yaani kujaribu kuleta kitu kipya kwenye maisha yako. Unahitaji sehemu ya kukiweka vitu hivi vipya, hivyo inakubidi uondoe vya zamani. Tumezoea kuambiwa tuache vitu vibaya na visivyokuwa na manufaa kwetu. Lakini Kuna upande mwingine wa hilo, kuacha vitu vizuri na tunavyovipenda ili kutengeneza nafasi ya vitu… Continue reading Mabadiliko binafsi
Raha ya kudumu.
Karibu, kwenye zama hizi tunazoishi vitu mingi vinaonekana kwa juu juu, hivyo huleta raha ya haraka kisha raha hiyo kupotea kabisa. Kwa hivyo njia mbadala ya kupata raha ya kudumu ni kukataa ukawaida na kuweka umakini woko wote kwenye kile unachokifanya. Kwa wakati ambao unakifanya unapata ridhiko kubwa kuliko kukifanya kitu kwa juu juu tu.… Continue reading Raha ya kudumu.
Umuhimu wa kujitambua wewe mwenyewe.
Kikwazo kikubwa kinachofanya watu kushindwa kuishi maisha halisi ni kutokujitambua na hivyo kujikuta wakiiga watu wengine. Hii imekuwa hatari sana kwenye zama hizi ambapo ushauri wa maisha umekuwa mwingi. Wengi wanajikuta wakiiga wengine kwa namna mbalimbali hivyo licha ya kuweka juhudi na muda bado hawafanikiwi. Ni muhimu kujitambua wewe mwenyewe hili ushi maisha halisi kwako.… Continue reading Umuhimu wa kujitambua wewe mwenyewe.
Chanzo cha hofu.
Karibu. Tofauti yetu sisi binadamu na viumbe wengine ni uwezo wetu wa kupangilia mambo yajayo. Tuna uwezo wa kufikiri na kutengeneza taswira yoyote kwa mambo yajayo. Ni pale uwezo huo unapotumika vibaya, ambapo mtu anatengeneza taswira mbaya ndipo hofu na wasiwasi huzaliwa. Sehemu kubwa ya vitu ambavyo huwa tunavihofia huwa havitokei. Na hata pale vinapotokea… Continue reading Chanzo cha hofu.
Kufanya zaidi ya ulivyozoea.
Karibu, iwe unafanya mambo sahihi au yasiyo sahihi, muda hautakusubiri. Muda utaendelea kwenda na hilo ndilo linawafanya wengi kuja kushtuka baadae na kuona kwamba wamepoteza muda wao mwingi na maisha yao. Watu wengi hawaridhishwi na matumizi yao ya muda, siyo kwa sababu hawana muda, ila kwa sababu wanajua namna wanavyoitumia muda wao kwa namna isiyo… Continue reading Kufanya zaidi ya ulivyozoea.
Kutumia kila fursa kuyafurahia maisha.
Katika maisha Kuna mambo mengi sana ambayo yanatufanya tukasirike na kukata tamaa. Lakini haifai tuliruhusu hilo litokee, lazima tutumie kila fursa tunayopewa kufurahia Maisha. Maana maisha enyewe ni mafupi mno, hivyo kukasirishwa na vikwazo mbalimbali hayatasadia kusuluhisha au kurahisisha lolote kwenye maisha. Kwenye kitabu cha everyday manifesto, Robin anatushirikisha kisa kilichotokea akiwa Dubai kutoa mafunzo… Continue reading Kutumia kila fursa kuyafurahia maisha.
Tamko chanya la kuanza siku yako.
Jinsi unavyoianza siku yako kuna mchango mkubwa wa jinsi gani siku iyo itakwenda, kama itakuwa ya mafanikio au ya kushindwa. Wengi huzianza siku zao kwa mazoea, wakiwa hawana mikakati wowote hivyo kukimbizana na kila fursa linalopita mbele yao. Hupaswi kuanza siku yako hivyo, maana hutaweza kufanya makubwa. Unapaswa kuanza kila siku yako kwa tamko chanya… Continue reading Tamko chanya la kuanza siku yako.
Maadui makuu mawili.
Karibu rafiki, tunajifunza leo kuhusu maadui makubwa mawili ambayo wanatukabili kwenye maisha yetu ya kila siku. Ukiacha hadaa ya sinema za maigizo ambazo zinaonyesha adui mkuu ni kitu cha nje, Kuna maadui halisi ambao unapaswa kuwakabili katika kujenga ushujaaa wako. Katika kitabu cha the dedicated by Pete Davis, anatushirikisha kuwa kuna maadui wa ndani, ambapo… Continue reading Maadui makuu mawili.
Kuchochea matokeo chanya.
Karibu, tunajifunza leo kuhusu kanuni muhimu inayoweza kuchochea uchanya katika maisha yako ya kila siku. Mazingira yako yanaathiri nguvu zako na kuchochea aina ya matokeo unayopata. Kila kitu kinachokuzunguka kinaathiri unavyofikiri, unavyohisi na unavyochukua hatua. Kwa hivyo, kama unataka kupata matokeo makubwa, unahitaji kuchagua kwa umakini mazingira yanayokuzinguka. Mazingira yanayokuzunguka yanahusisha watu unaoshirikiana nao, watu… Continue reading Kuchochea matokeo chanya.