Maisha ambayo hayajachunguzwa hayafai kuishi.

“Maisha ambayo hayajachunguzwa hayafai kuishi” ni msemo maarufu unaodaiwa kutamkwa na Socrates katika kesi yake kwa ajili ya utovu wa nidhamu na upotovu wa vijana, ambayo baadaye alihukumiwa kifo. Kauli hii inahusiana na uelewa na mtazamo wa Socrates kuhusu kifo na dhamira yake ya kutimiza lengo lake la kuchunguza na kuelewa kauli ya phytia yaani… Continue reading Maisha ambayo hayajachunguzwa hayafai kuishi.

Kutokuwa wa kawaida.

Jamii inapenda tuwe wa kawaida sana ili uwe rahisi kwao kutudhibiti. Hivyo pale unapoenda tofauti na jamii inavyotaka uwe, unaonekana kama mtu wa ajabu na aliyepotea. Lakini hiyo ndiyo njia pekee ya kufanya makubwa na kufanikiwa. Huwezi kufanikiwa kwa yale yaliyozoeleka kwa kufanya yale yaliyozoeleka na kuwa kama wengine wanavyotaka uwe. Utafanikiwa kwa kujisikiliza mwenyewe,… Continue reading Kutokuwa wa kawaida.

Maisha yenye furaha ni nini hasa?

Maisha yenye furaha ni maisha yenye maandalizi wakati wote, tunajifunza kupitia kwa wanajeshi wakati kuna amani na utulivu huwa wanafanya maandalizi ya vita. Vivyo hivyo na sisi tunapaswa kufanya maandalizi ya hali ngumu wakati ambapo tuna hali nzuri. Mwanafalsafa  Seneca anasema kuwa, licha ya kuwa na mali na kuweza kupata chochote unachotaka, mara mara tuishi… Continue reading Maisha yenye furaha ni nini hasa?