Tumia maumivu kama mwongozo wa kukusaidia kufanya tafakari na tathmini ya usahihi wa kile unachoamini au kusimamia. Pale makosa au udhaifu wako vinapoguswa, unapata maumivu, yatumie maumivu hayo kuchukua hatua sahihi. Jijengee tabia ya kuwa na fikra wazi. Maisha unayoishi, yanayokana na tabia ambazo umejijengea. Ukijijengea tabia ya kuwa na fikra wazi, kuwa tayari kujifunza… Continue reading Njia unazoweza kutumia kujifunza kuwa na fikra wazi.
Month: October 2022
Chanzo cha matatizo.
Kosa kubwa ambalo watu wengi wanalifanya kwenye siku zao ni kupoteza muda na nguvu kwenye mambo yasiyo na tija. Wengi wanafanya kazi au biashara ambazo hawazipendi. Hivyo wanachelewa kuanza kazi na kuwahi kumaliza. Lakini pia wakati wa kufanya, wanaingiliwa na usumbufu mwingi kitu ambacho kitu kinachofanya ufanisi wao kuwa mdogo. Kwa kifupi japo mtu huyu… Continue reading Chanzo cha matatizo.
Njia ya kuelekea kwenye uhuru.
Njia ya kuvuka utumwa ni kwenye kupata uhuru wa muda. Hii ni njia ya Ustoa ambao wanafalsafa kama Seneca aliamini kuwa uhuru kamili kwenye maisha ni uhuru wa muda. Pale mtu anapoweza kudhibiti na kupangilia muda wake ndiyo anaweza kuwa na uhuru wa maisha. Kwenye kila mwanzo wa barua yake kwa Lucillus, Seneca alimsisitiza aendelee… Continue reading Njia ya kuelekea kwenye uhuru.
Jinsi ya kuua sauti ya ndani inayokukatisha tamaa.
Kila mmoja wetu huwa ana sauti ya kukatisha tamaa ambayo ipo ndani yake. Ni sauti hiyo ndiyo huwa kikwazo kwa wengi kufanya makubwa. Hakuna asiyeweza kuijua ni nini anapaswa kufanya ili apate anachotaka. Ila wakati wa kufanya kitu hicho unapofika, sauti ya ndani inawashawishi na wanaishia kutokufanya. Kwa mfano unaweza kuipanga vizuri kabisa kwamba kesho… Continue reading Jinsi ya kuua sauti ya ndani inayokukatisha tamaa.
Kinachokupa hofu ndiyo unapaswa kukifanya zaidi.
Chochote kinachokutisha unapaswa ufanye zaidi, Derek kwenye kitabu chake cha” Hell yeah or No. “anatuambia kuwa ana kauli mbiu mpya anayoiishi kwenye maisha yake, ambayo ni hii :chochote kinachokutisha ndiyo unapaswa kukifanya zaidi. Anatuambia kwa miaka 30 amekuwa akiifuata kauli mbiu hiyo na imemwezesha kufanya makubwa sana. Chochote unachotaka, ila inakutisha au kukupa hofu, ni… Continue reading Kinachokupa hofu ndiyo unapaswa kukifanya zaidi.
Kujitambua.
Kikwazo kikubwa kinachofanya watu kushindwa kuishi maisha halisi kwao ni kutojitambua na hivyo kujikuta wakiiga watu wengine. Na hilo limekuwa hatari sana kwenye zama hizi ambapo ushauri wa maisha umekuwa mwingi. Wengi wanajikuta wakiiga wengine kwa namna mbalimbali hivyo licha ya kuweka juhudi na muda, bado hawafanikiwi. Ni muhimu kujitambua sana wewe mwenyewe ili uweze… Continue reading Kujitambua.
Mambo makubwa ya kujifunza kutoka kwa shujaa Desmond Tutu.
Mwandishi Robin Sharma kwenye kitabu chake cha “the everyday hero manifesto” anatushirikisha wakati alipokutana na Desmond Tutu, mwanaharakati wa Afrika kusini aliyefanya kazi kwa karibu na Nelson Mandela katika kuikomboa Afrika kusini na kuponya majeraha ya mfumo wa ubaguzi. Robin anasema kitendo cha kukutana na Tutu kilileta nguvu kubwa na ya kipekee sana ndani yake.… Continue reading Mambo makubwa ya kujifunza kutoka kwa shujaa Desmond Tutu.
Kutoogopa kushindwa.
Usiogope kushindwa.
Kutoogopa kushindwa ni falsafa muhimu sana ya kufanikiwa kwenye jambo lolote ambalo mtu unafanya. Badala ya kuangalia unaposhindwa na kukata tamaa, wewe unapaswa kuendelea kufanya. Kwa sababu kadiri unavyoendelea kufanya ndivyo unavyojiweka kwenye nafasi ya kufanikiwa. Pamoja na kwamba kuna hatua zitakazoshindwa, lakini pia kwenye hatua nyingi unazochukua, kuna ambazo zitafanikiwa. Hivyo ndivyo kanuni ya… Continue reading Usiogope kushindwa.
Jinsi ya kuongeza nguvu ya akili.
Ugumu wa kiakili, kama ugumu wa mwili, unahitaji kufanya mazoezi. Kujifunza kuimarisha akili yako, kuboresha umakini wako, na kukaa mtulivu kutahitaji kazi fulani, lakini unaweza kupata ujuzi wa msingi unaohitaji ili kuwa na nguvu ya akili. Kuimarisha akili yako. Kwa kusoma kitabu kila siku. Uchunguzi wa hivi majuzi unaonyesha kwamba watu wanaofurahia kusoma riwaya wanaweza… Continue reading Jinsi ya kuongeza nguvu ya akili.