Kuna sababu nyingi ambazo unaweza kumchukia mtu,huenda alikuumiza zamani,unaweza kuhisi kana kwamba anakunyang’anya,au unaweza kuhisi wivu kwamba ana baadhi ya Mambo unayotaka maishani. Walakini ,kushikilia hasira na chuki Kwa mtu mwingine kunaweza kuanza kukumaliza. Kwa bahati nzuri,ikiwa uko tayari kufanya kazi, unaweza kuanza kushughulikia hisia hizo kwa njia ambayo ni ya afya kwako,na unaweza hata… Continue reading Jinsi ya kushughulikia kinyongo dhidi ya mtu.
Month: November 2022
Umuhimu wa kujijua mwenyewe.
Nini maana ya kujijua. kujijua ni juu ya kugungua ni nini kinachokufanya uwe salama. Miongoni mwa mambo mengine,inamaanisha: kujifunza mambo unayopenda na usiyopenda. Kufunua imani na maadili yako. Kujua mipaka yako ya kibinafsi. Kukubali sifa zako za kibinafsi. Kuwa mchezaji bora wa timu. Kuwa na njia iliyo wazi zaidi katika maisha yako ya kitaalamu. Kuelewa… Continue reading Umuhimu wa kujijua mwenyewe.
Maana ya uamsho binafsi.
Rafiki mpendwa , karibu kwenye mada wetu leo ambapo tunazungumzia kuhusu uamsho wa mtu binafsi. Kwanza kabisa tunaangalia maana ya uamsho binafsi ,uamsho binafsi ni hali ya kuweka mkazo kwenye mambo ya ndani zaidi kuliko mambo ya nje,hali ya kuuuliza,kudadisi mambo na kujipa changamoto fulani. Watu wanaofanya uamsho hawategemei mazingira ya nje kuwa wanachangia nini… Continue reading Maana ya uamsho binafsi.
Matatizo 7 yanayotokana na kufikiria yaliyopita.
We do not heal the past by dwelling there ;we heal the past by living fully in the present. Marianne Williamson. Kwanza ni kwamba huwezi ukaishi kwenye wakati uliopo. Huwezi furahia wakati uliopo kama bado akili na hisia zako zinafikiria yaliyopita. Kwani hutaweza kuchangamkia fursa mpya na pia kufurahia wakati uliopo. Kukaa kwenye mambo yaliyopita… Continue reading Matatizo 7 yanayotokana na kufikiria yaliyopita.