Nini maana ya kujijua.
kujijua ni juu ya kugungua ni nini kinachokufanya uwe salama.
Miongoni mwa mambo mengine,inamaanisha:
kujifunza mambo unayopenda na usiyopenda.
Kufunua imani na maadili yako.
Kujua mipaka yako ya kibinafsi.
Kukubali sifa zako za kibinafsi.
Kuwa mchezaji bora wa timu.
Kuwa na njia iliyo wazi zaidi katika maisha yako ya kitaalamu.
Kuelewa jinsi unavyowasiliana na wengine.
Kutambua maadili yako ya msingi ya kibinafsi.
Kuongeza uwezo wako wa kujihurumia.
Kuwa na wazo wazi la kusudi la maisha.
Kujua nini kinahitajika ili kuwa na motisha binafsi.
kubadilika zaidi.
Kujitambua zaidi kunasaidia kujiendeleza ,kukubalika,na kuwa makini huku tukinufaisha afya yetu ya akili kwa ujimla.
Hatua ya kuchukua,kwa kujijua sisi wenyewe tutakuwa na ujasiri zaidi,tutafanya maamuzi bora zaidi, tutakuwa na uhusiano thabiti na kuwa waaminifu zaidi.
Akujaliaye sana.
Mwandishi Maureen Kemei.
mawasiliano:
kemeimaureen7@gmail.com.
www.uamshobinafsi.com.
Hongera sana Maureen kemei kwa uandishi wa elimu ya makala unayo shirikisha nasisi, kuna maarifa mengi ninajifunza kutoka kwa uandishi wako ahsante sana.