Wengi wetu tumezoea sana kusikia kelele nyingi kutoka pande zote. Hata inafika wakati mwingine watu wanatafuta njia mbalimbali za kuwafanya wasipaki peke yao wakiwa wametulia na mawazo yao. Mtu yeyote anayelala wakati Tv ama redio inaongea , ukijaribu kuweka mawazo yako sawa , wakati unasikiliza kelele nyingi,hivyo sio afya nzuri kwako. Kutengeneza dakika chache ya… Continue reading Jinsi ya kufanya uzoefu wa kuvumilia ukimya.
Month: January 2023
Kwa nini tunadhani ulimwengu una deni letu.
Huwezi kushukuru kwa kitu ambacho unahisi una haki nacho Steven Furtick. Kinachowatenganisha matajiri na masikini ni mtazamo wa haki. Mojawapo ya mtazamo ya watu masikini ni mtazamo wa haki. Mtu masikini ana hisia potofu na za uwongo za kustahiki. Wanaamini kuwa wana haki ya mambo mengi . Watu matajiri wana hisia kubwa ya shukrani,wakati masikini… Continue reading Kwa nini tunadhani ulimwengu una deni letu.
Jinsi ya kujizoeza unyenyekevu kunavyokufanya uwe imara.
Mnamo mwaka wa 1940,Wilma Rudolph alizaliwa kabla hajamaliza miezi tisa ambayo mimba huwa inapaswa ikamilishe kabla ya mtoto kuzaliwa. Alikuwa na pounti nne tu,hivyo alikuwa mgonjwa tangu utotoni mwake. Akiwa na miaka minne alipatwa na ugonjwa wa polio ambapo mguu wake wa kushoto ulikunjika kwa sababu alikuwa na shida ya leg bruce. Kwa sababu hiyo… Continue reading Jinsi ya kujizoeza unyenyekevu kunavyokufanya uwe imara.
Njia 3 ya kuwa Kocha wako mwenyewe.
Kama ilivyo kwa Kocha yeyote yule ambaye anakusanya mawaidha yaliyo bora na mazuri ,kwa ajili ya kukusaidia wewe ufikie kile ambacho unakitaka kwenye maisha yako. Unapaswa pia uwe hivyo rafiki yangu kwenye safari hii ya kutafuta mafanikio. Unahitajika ujitoe vivyo hivyo kwako mwenyewe. Ona yale unayoweza ukafanya vizuri na uweke nguvu zako hapo ,chunguza eneo… Continue reading Njia 3 ya kuwa Kocha wako mwenyewe.
Kwa nini watu muhimu kwenye maisha yako wanakukimbia?
Kwanza mdomo. Kama mdomo wako hauna break utakosana na watu wengi na watu muhimu watakukimbia.Mara nyingi ata ukiwa na akili sana huwezi ongea point kila mara,hivyo ili kutunza heshima yako hakikisha unakuwa sio muongeaji sana . Usipende kuchangia kila mazungumzo. Pili ni omba omba. Kila mtu ana shida zake ,kama unataka watuwasikuchoke jitahidi sana uache… Continue reading Kwa nini watu muhimu kwenye maisha yako wanakukimbia?
Faida 4 za kuchelewa kujiridhisha.
Kuchelewa kuridhika ni kipengele muhimu cha kujidhibiti unapokataa raha ya mara moja badala yake kutafuta thawabu ya muda mrefu,unajiwekea kiwango cha juu zaidi cha mafanikio kwenye vipimo mbalimbali. Kufikia uwezo wako wote unahitajika kuonyesha umahiri wako wa kukaa kwenye hali ngumu kwa muda ,yaani uwezo wa kucheleweshwa kwa kile unachohitaji sasa ndio upate mengi mazuri… Continue reading Faida 4 za kuchelewa kujiridhisha.
Mikakati 5 ya kutosheleza kuchelewa na kwa nini unapaswa kufanya hivyo.
Rafiki yangu mpendwa,mambo makubwa huja kwa wale wanaosubiri. Kuchelewa kuridhika ni mojawapo ya sifa za kibinafsi zenye ufanisi za watu waliofanikiwa. Watu wanaochelewesha kuridhika wanafaanikiwa zaidi na kazi zao,mahusiano,afya,fedha na kwa kweli maeneo yote ya maisha. Nguvu ya kuchelewa kuridhika ni kipengele muhimu cha kuweza kufikia lengo lako kuu. Iwe ni kuokoa sasa Ili kutumia… Continue reading Mikakati 5 ya kutosheleza kuchelewa na kwa nini unapaswa kufanya hivyo.
Matokeo hasi yanayoweza kutokea wakati unatarajia kuona matokeo ya haraka.
Kutarajia matokeo ya haraka inakufanya uachane na juhudi zako. Kama huoni matokeo yoyote moja kwa moja, utaona kuwa juhudi zako hazifanyi kazi. Mwanabiashara ambaye amewekeza kwenye biashara yake mpya anaweza kufikiria juhudi zake hazifanyi kazi kwa sababu hakuona ongezeko wa haraka kwa mauzo. Lakini uwekezaji wake kwenye masoko itaongeza bidhaa ichulikane ambazo zitasaidia kuongeza mauzo… Continue reading Matokeo hasi yanayoweza kutokea wakati unatarajia kuona matokeo ya haraka.
Njia 3 zenye nguvu za kuacha kutarajia matokeo ya hapo kwa hapo(na kujitolea kwa muda mrefu).
Worry is rocking chair, it gives you something to do but never gets you anywhere. Erma Bombeck. Dunia inazidi kwenda kwa kasi. Walakini hatuwezi kufanya kila kitu tunachotaka mara moja. Kwa mfano, kufanya kazi katika kuboresha ndoa yako, kupunguza uzito, kuanzisha biashara yenye mafanikio…, yote hayo huchukua muda fulani kabla ya kupata matokeo tunayotaka. Mojawapo… Continue reading Njia 3 zenye nguvu za kuacha kutarajia matokeo ya hapo kwa hapo(na kujitolea kwa muda mrefu).