Namna ya kuchukua viwango vya hatua hatarishi ni jambo muhimu na la kipekee sana kwako rafiki yangu. Unapoamua kuongea mbele ya kundi la watu ni jambo la hatari kwa wengine,huku kwa wengine likiwa ni jambo rahisi sana. Rafiki yangu unapaswa ujiulize maswali kama yafuatavyo Ili ikusaidie unapokokotoa viwango vya hatari kwenye maisha yako. Je kuna… Continue reading Namna ya kufanya mazoezi ya kuchukua hatua hatarishi.
Month: February 2023
Jinsi ya kujitenganisha na dunia.
Tunaishi kwenye dunia ya sasa ambayo tuna muunganiko wa masaa 24 kwa siku 7 za wiki,Ili kuweza kufanya makubwa unahitaji muda wa kujitenganisha. Watu wote ambao wameweza kufanya makubwa kwenye maisha yao ;waliweza kuwa na muda ambayo walijitenganisha kabisa. Katika muda huo hawakuwa na internet, Tv ,simu, redio au watu. Walitenga muda wa kuwa peke… Continue reading Jinsi ya kujitenganisha na dunia.
Tatizo kuu la kisasi cha Sasa.
Kwenye jamii ya kisasa, ubinafsi ni tatizo mkubwa sana,kila mtu anapambana na mambo yake kwa namna yake mwenyewe. Jamii ya asili walikuwa na ushirikiano mkubwa kuliko jamii ya kisasa. Hali hii ya ubinafsi imepelekea matabaka kujengeka baina ya watu kwenye jamii . Tabaka kati ya masikini na tajiri ni kubwa na linazidi kuwa kubwa .… Continue reading Tatizo kuu la kisasi cha Sasa.
Kitu kimoja kinachodhihirisha thamani yako.
Rafiki yangu unaweza kuwa unasema utakavyo ,lakini watu wataamini zaidi kile kile unachofanya. Maneno ni rahisi,kila mtu anaweza kusema atakavyo. Lakini matendo ni magumu na hayo yanadhihirisha kweli mtu anasimamia wapi. Kama kitu ni muhimu kwako utakifanya hutaishia tu kusema nataka hivi,nataka kufanya hiki na hiki. Kama unakitaka kitu kweli utafanya kila namna mpaka ukipate… Continue reading Kitu kimoja kinachodhihirisha thamani yako.
Mambo muhimu ya kujifunza kutoka kwa mwanaharakati Desmond Tutu.
Kutoka katika kitabu cha ‘everyday ero manifesto ‘ mwandishi Robin anatushirikisha wakati alipokutana na Desmond Tutu, mwanaharakati wa Africa kusini aliyefanya kazi kwa karibu na Nelson Mandela katika kuikomboa Afrika kusini na kuponya mfumo wa ubaguzi. Robin anasema kitendo cha kukutana na Desmond kilileta nguvu kubwa na ya kipekee ndani yake,kupitia yeye kuna mambo makubwa… Continue reading Mambo muhimu ya kujifunza kutoka kwa mwanaharakati Desmond Tutu.
Hatua 10 za kuchukua Ili kuweza kuwa na utulivu wa mwili.
Kila tunachoweka kwenye miiili yetu na jinsi tunavyoitumia na kuhifadhika kwenye miili yetu,kunachangia sana kuwa na utulivu au kukosa utulivu. Njia ya kwanza ni kujifunza kusema hapana . Rasilimali kama muda na nguvu ni rasilimali mbili ambazo tunazo kwa uhaba ,tunapaswa kuzitumia kwa umakini sana. Unaposema ndiyo kwenye vitu visivyo muhimu,unasema hapana kwenye yaliyo muhimu.… Continue reading Hatua 10 za kuchukua Ili kuweza kuwa na utulivu wa mwili.
Jinsi ya kubadilisha mfumo hasi wa kufikiri.
Kuzama kwenye mawazo ya zamani ni kama utambuzi,lakini mwishowe inashawishi hisia na tabia .Kwa kubadilisha namna unavyofikiri kuhusu mambo yaliyopita,inakupa fursa ya kusonga mbele zaidi. Tengeneza muda wa kufikiri kuhusu yaliyopita,wakati mwingine akili zetu zinahitaji fursa ya kutatua mambo na wakati mwingine na kadri unavyojiambia kwamba hutaki kufikiria kuhusu mambo hayo,ndivyo yanavyokuja kila mara. Badala… Continue reading Jinsi ya kubadilisha mfumo hasi wa kufikiri.
Jinsi ya kujizoeza kuwa na nidhamu binafsi.
Nidhamu binafsi sio kitu ambacho unasema unayo au huna. Ni kitu ambacho kila mmoja wetu anaweza awe nacho na kuongoza. Au kuamua kutokuwa nacho na kuipuuza kabisa. Kusema hapana kwa sahani ya chipsi ama cookies inahitaji uwe na nidhamu ya kiasi. Kama vile kwa kufanya mazoezi na kama hutaki kuepuka makosa hizi ambazo zinakurudisha nyuma… Continue reading Jinsi ya kujizoeza kuwa na nidhamu binafsi.
Tatizo linalotokana na kuogopa upweke.
Mara kwa mara tunafungwa na majukumu pia na mahusiano yetu ya kila siku. Saa zingine yanakuwa mzigo kwetu kama hatutaaja au kuamua kutenga muda wa kuwa peke yako na kuamua kujiimarisha zaidi. Kwa bahati mbaya sana,umuhimu au uzuri wa kuwa peke yako mara nyingi zinaepukwa . Watafiti wengi wanasema upweke wa kutenga muda na kuwa… Continue reading Tatizo linalotokana na kuogopa upweke.
Jinsi ya kujichumbia wewe mwenyewe.
Kupanga tarehe yako solo. Kifunguo pekee cha kujitengenezea muda wako mwenyewe ni kwamba,unapaswa ukafanye maamuzi hayo wewe mwenyewe,yaani yawe yanatoka ndani yako kabisa. Wazee wengi wamezoea kuishi peke yao licha ya kwamba jamii wanawaepuka kwa mfano; wazee hao wana uwezekano mkubwa wa kukaa peke yao kwa utulivu, bali sio rahisi wafaidike zaidi na hiyo hali… Continue reading Jinsi ya kujichumbia wewe mwenyewe.