Busara za Babu Warren.

Kutoka kwenye kitabu cha ‘the third door ‘ Alex Banayan anatushirikisha jinsi alivyokutana na wanamafanikio mbalimbali kwenye safari yake ya kutaka kujua nini kiliwafanya wafanikiwe. Baada ya Alex kuhakikishwa mahojiano na Warren Buffett,Alex aliomba kabla hajatuma barua hiyo ajiandae kwanza Ili atakapopata nafasi atumie vizuri. Alienda kusoma kila kitu kinachomhusu Warren Buffett. Alikusanya vitabu 15… Continue reading Busara za Babu Warren.

Mambo 7 ya kujifunza Kwa Warren Buffett.

Tumeshaona jisni ambavyo hatujifunzi somo sahihi kutoka kwa Warren Buffett kuhusu uwekezaji ambalo ni kuanza mapema na kuacha riba mkusanyiko ifanye maajabu yake. Kuna mengine ya kujifunza kwake,hasa ambayo hakuyafanya na hivyo kuepuka kupoteza utajiri wake. Tujifunze Ili tujue vitu vya kuepuka kama tunataka kupata na kubaki kwenye utajiri. Yafuatayo ni mambo mengine muhimu kujifunza… Continue reading Mambo 7 ya kujifunza Kwa Warren Buffett.

Siri kuu ya Warren Buffett.

Warren Buffett ndiye mwekezaji ambaye vitabu vingi zaidi vimeandikwa kuhusu yeye kwenye uwekezaji. Vitabu zaidi ya 2,000 vimeandikwa na vyote vinajaribu kumwelezea Buffet jinsi alivyo mwekezaji bora. Lakini vitabu hivyo havielezi siri moja kubwa kuhusu mafanikio ya Buffet,kwamba alianza kuwekeza tangu akiwa mtoto . Mwaka wa 2020,akiwa na umri wa miaka 90,thamani ya utajiri wake… Continue reading Siri kuu ya Warren Buffett.