Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini katika ulimwengu wa sasa ambao zaidi ya asilimia 99, ya watu hulala na simu zao kitandani. Lakini pia takwimu zinaonesha kuwa asilimia 80 ya watu hushika kwanza simu zao na kuangalia habari, na taarifa mbali mbali kabla ya kuamka na kutoka kitandani. Simu ndiyo inakuwa kitu cha… Continue reading Jinsi hofu ya kupitwa inavyokutesa.
Month: April 2023
Jinsi ya kuitawala hofu yako.
Rafiki yangu mpendwa, hofu imekuwa kikwazo cha watu wengi kufikia mafanikio yao. Hofu imewazuia watu wengi kufanya maamuzi kama, kuanzisha biashara, kupata kazi, kuzikimbiza ndoto zao na hata kutimiza malengo. Hofu ni kama kansa, ikiwa eneo moja husambaa na kuenea kwenye maeneo yote ya maisha ya mtu. Ukiwa na hofu ya kuongea mbele za watu… Continue reading Jinsi ya kuitawala hofu yako.