Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini imani ya kwanza na muhimu kabisa unayopaswa kujijengea ni kuamini kwamba wewe ndiye unayeyatengeneza maisha yako. Kwamba uko hapo ulipo sasa kwa sababu ndivyo ulivyojitengeneza . Na kama unataka kuwa tofauti na ulivyo sasa, lazima ujitengeneze upya. Kitu kimoja zaidi rafiki yangu ni kuwa matajiri huwa wanaamini… Continue reading Imani muhimu unayopaswa kujijengea.
Month: May 2023
Njia 3 za kuondokana na usumbufu.
Rafiki yangu mpendwa usumbufu ndiye adui mkubwa wa umakini. Usumbufu unaoanzia ndani yako unakuzuia usiwe na umakini kwenye kile unachofanya. Hapa kuna njia tatu za kuondokana na usumbufu ili uweze kuwa na umakini mkubwa. Moja ni kufanya zoezi la kupumua. Kwa kupumua kwa umakini mkubwa, inasaidia akili yako kutoka kwenye usumbufu. Mbili ni kufanya kile… Continue reading Njia 3 za kuondokana na usumbufu.
Jinsi ya kuongeza kasi ya usomaji.
Rafiki yangu mpendwa zifuatazo njia za kuongeza kasi ya usomaji. Njia ya kwanza ni kusoma kwa kutumia kidole. Fuatisha kidole kwenye sentensi unayosoma na utaweza kusoma kwa kasi kubwa zaidi huku umakini wako ukiwa kwenye ukurasa unaosoma. Usitamke maneno unayosoma soma kama unaangalia picha na siyo kutamka neno moja moja. Chukua maneno kwa pamoja badala… Continue reading Jinsi ya kuongeza kasi ya usomaji.
Kwa nini ukosoaji wa wengine ni muhimu.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini chukua mfano wa mtoto mdogo anayejifunza kutembea. Atapiga hatua ya kwanza na kuanguka, lakini atasimama na kuendelea. Atajaribu tena na kuendelea. Kwa kila anapojaribu na kuanguka, anainuka na kuendelea, hakati tamaa na kuona hawezi, atapambana mpaka aweze kutembea. Ni kwa sababu mtoto huyo hajali maoni au ukosoaji… Continue reading Kwa nini ukosoaji wa wengine ni muhimu.
Jinsi matatizo yanakufanya uwe imara.
Rafiki yangu mpendwa mwandishi Robin anatushirikisha hadithi ya mwanamuziki Gord Downie, ambaye alikuwa mwimbaji wa bendi maarufu nchini Canada. Alikuwa anajituma sana kwenye muziki wake na kupendwa na wengi. Siku moja akaanguka na kupata degedege kali. Baada ya vipimo aligundulika kuwa na uvimbe kwenye ubongo. Uvimbe ambao hauwezi kupona na maisha yake hayakuwa marefu. Alishauriwa… Continue reading Jinsi matatizo yanakufanya uwe imara.
Hadithi: mfano wa kutotosheka.
Rajat Gupta alizaliwa kolkata India na kukulia kwenye umaskini mkubwa kama yatima. Lakini kwa kujituma aliweza kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yake. Akiwa kwenye umri wa miaka 40, na Gupta alikuwa CEO wa McKinsey kampuni kubwa ya ushauri elekezi. Mwaka 2007 alistaafu kazi yake akiwa bado ni kijana lakini aliyefikia uhuru wa kifedha. Mwaka 2008… Continue reading Hadithi: mfano wa kutotosheka.
Namna ya kuepuka fursa mpya.
Kujifunza kwa simba. Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini mnyamapori akimwona simba huona kifo machoni pake, lakini habari ni tofauti kwa simba, yeye akimuona mnyamapori anaona ni kitoweo kilichokaribia mdomoni mwake. Simba akimuona mnyama yoyote yule bila kujali ukubwa na ukatili wake, akili wake huona kitoweo. Tunajifunza kwamba tunapaswa kutengeneza maono yetu alafu… Continue reading Namna ya kuepuka fursa mpya.
Hatua 3 za kuvunja imani zenye ukomo.
Rafiki yangu mpendwa ili uweze kuwa huru kufikiri na kufanya makubwa, lazima kwanza uvunje imani zote zenye ukomo ulizonazo. Hapa kuna hatua tatu za kuvunja imani hizo. Hatua ya kwanza ni kutambua imani za ukomo ulizonazo. Jisikilize sauti zinazotoka ndani yako, kwenye kila unachojiambia huwezi au haiwezekani, jua hapo una ukomo wa kiimani. Hata kama… Continue reading Hatua 3 za kuvunja imani zenye ukomo.
Mambo 3 ya kuondoa ukomo.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kama kuna chochote unachotaka kwenye maisha yako ila hujakipata, kuna maeneo matatu ambayo utakuwa umejiwekea ukomo. Eneo la kwanza ni mtazamo ulionao, kwa wengi huwa wana mitazamo hasi na ya kushindwa, kitu kinachokuwa kikwazo kwao kuona uwezekano mkubwa na kuufanyia kazi. Eneo la pili ni motisha kama… Continue reading Mambo 3 ya kuondoa ukomo.
Umuhimu wa kuwa mnyenyekevu.
Rafiki yangu mpendwa Robin kwenye kitabu chake cha ‘everyday manifesto’ anatushirikisha hadithi ya kipindi akiwa mtoto, familia yao walikuwa mapumzikoni. Siku moja wakiwa kwenye gari njiani wakapishana na gari la aliyekuwa mpiganaji maarufu Muhammad Ali. Mama yake Robin alimtaka baba yao aliyekuwa anaendesha gari ageuze na kuifuata gari ya Muhammad Ali. Walifanya hivyo mpaka kuikaribia… Continue reading Umuhimu wa kuwa mnyenyekevu.