Njia 2 za kuyakabili magumu.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini wastoa wanatushirikisha njia kuu mbili tunazoweza kuzitumia kuyakabili magumu ili yasivuruge maisha yetu. Njia ya kwanza ni kutambua wema pekee ndiyo kitu bora. Hapa ustoa unatukumbusha kurudi kwenye asili yetu binadamu ambayo ni viumbe wa kufikiri. Hivyo tunapaswa kuziweka fikra zetu vizuri na tusitawaliwe na hisia zozote… Continue reading Njia 2 za kuyakabili magumu.

Jinsi usomaji wa vitabu unavyopunguza msongo wa mawazo.

Rafiki yangu mpendwa msongo wa mawazo umekuwa ni sehemu ya maisha yetu, na kutafuta njia za kupunguza ni muhimu sana kwa afya zetu. Kama ilivyo njia nyingi za kuondoa msongo wa mawazo kama vile; kufanya tahajudi, yoga na mazoezi, kusoma ni njia nzuri zaidi ya kupunguza msongo na kupumzisha mwili. Usomaji wa vitabu unasaidia kutoa… Continue reading Jinsi usomaji wa vitabu unavyopunguza msongo wa mawazo.

Madhara makubwa ya hasira.

Rafiki yangu mpendwa hasira ina madhara siyo tu kwa mtu anayepata hasira, bali kwa familia, jamii na hata taifa kwa ujumla. Familia nyingi zimevunjika kwa sababu ya hasira. Jamii zimekuwa na uhasama na watu wameuana kwa sababu ya hasira. Mataifa yameingia kwenye vita na damu nyingi kumwagwa kwa sababu ya hasira. Mwanafalsafa Seneca anaeleza nguvu… Continue reading Madhara makubwa ya hasira.

Jinsi ya kuondokana na hali ya kujiskia vibaya.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini sis binadamu ni kama viumbe wa kihisia ila kuna wakati hutokea tunakuwa hatujiskii vizuri. Katika nyakati hizo tunakuwa chini sana na tunakosa msukumo wa kufanya chochote. Derek kwenye kitabu chake cha Hell yeah or no, anatushirikisha maswali matano ya kujiuliza na kujibu ili kuweza kuondokana kwenye hali… Continue reading Jinsi ya kuondokana na hali ya kujiskia vibaya.