Jinsi ya kubali yaliyo nje ya uwezo wetu.

Rafiki yangu mpendwa kwenye falsafa ya ustoa, kuna dhana moja ambayo inaitwa amori fati ikiwa na maana kwamba, ipende hatima yako yaani love your fate. Maana ya kubwa ya dhana hii kwenye falsafa ya ustoa ni kwamba wastoa waliamini tunapaswa kupokea kila kitu kinachotokea kama vile tulitaka kitokee. Hii ina maana kwamba, chochote kile kinachotokea,… Continue reading Jinsi ya kubali yaliyo nje ya uwezo wetu.

Umuhimu Wa Wewe Kuwa Tajiri.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kinachowatofautisha wanaotajirika na wanaobaki masikini ni tabia. Hivyo kwa kuzijua tabia za kitajiri na kuziishi kwenye maisha yako ya kila siku, unakuwa kwenye nafasi nzuri ya kufikia utajiri pia. Mambo mengi sana yamekuwa yanasemwa kuhusu utajiri na matajiri, lakini mengi kati ya mambo hayo siyo sahihi. Mengi… Continue reading Umuhimu Wa Wewe Kuwa Tajiri.

Tatizo la kukata tamaa.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini je, unatumia muda mwingi kufikiria kuwa wewe huyuko mzuri sana kwenye kuchukua hatua ili kufikia malengo yako. Aina kama hizi za mawazo zinakuzuia kwenye kuifikia malengo yako . Ukikata tamaa mapema, utakaso fursa nzuri kwenye maisha yako. Kuanguka ni nafasi nzuri kwenye maisha kama tu utasonga mbele… Continue reading Tatizo la kukata tamaa.

Zawadi Yenye Thamani Kubwa.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kitu kigumu zaidi kurudisha kwenye maisha ni muda uliopotea. Ukishapoteza muda, huwezi tena kuupata. Muda ni zawadi yenye thamani kubwa, kwa sababu ni kupitia muda ndiyo tunaweza kufanya yote tunayopanga kufanya. Lakini wapo maadui wawili ambao wamekuwa wakiiba na kupoteza muda wa wengi. Maadui hao ni uvivu… Continue reading Zawadi Yenye Thamani Kubwa.

Je, unajua kila kitu kinawezekana?

Rafiki yangu mpendwa familia,shule, jamii na dunia kwa ujumla imekuwa inakuaminisha kwamba kuna vitu unaweza na zingine huwezi. Sina uhakika kama itakufaa, lakini ni wakati sasa wa kujua nini hasa unachotaka na kupambana mpaka kukipata. Cha muhimu ni kuwa tuna ushahidi wa kila aina wa watu ambao waliweza kufanya makubwa ambayo yalionekana hayawezekani. Kabla hujafanya… Continue reading Je, unajua kila kitu kinawezekana?

Njia 10 za kusuluhisha changamoto.

Rafiki yangu mpendwa Roger Dawson kwenye kitabu chake cha The Secrets Power Problem Solving. Anatushirikisha njia kumi za kusuluhisha changamoto. Kuchukua hatua; akili yetu lina nguvu kubwa, linaweza kuleta suluhisho la kila changamoto kama tutaweza tu kutumia vizuri kwa kutulia, kutafakari,kufanya tahajudi na kuruhusu Mungu atawala fikra zetu. Tutaweza kufanya makubwa na kuvuka changamoto za… Continue reading Njia 10 za kusuluhisha changamoto.

Kwa Nini Unapaswa Kuamini Nguvu Kubwa Iliyo Ndani Yako?

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini Robin Sharma anatushirikisha ujumbe muhimu ambao ulimjia na kusukumwa kuutoa kwa wengine. Pata picha wakati mambo yanapoonekana kuwa magumu, unapaswa kufanya nini? Habari njema ni kuwa umepewa nafasi ya kuamini nguvu iliyo ndani yako. Wakati wa mkanganyiko ndipo penye dirisha la kupata uelewa wa juu. Wakati unapohoji… Continue reading Kwa Nini Unapaswa Kuamini Nguvu Kubwa Iliyo Ndani Yako?

Kitu kinachowafanya watu wakose furaha.

Kinachowafanya watu wengi kukosa furaha kwenye maisha yao ni kuishi maisha ambayo yako chini ya uwezo wao. Kwa mfano, mtu anajijua kwamba anaweza kuwa na maisha bora kuliko aliyonayo sasa, anaweza kufanya kazi yake kwa ubora kuliko anavyofanya sasa na pia anaweza kupata kipato kikubwa kuliko anachopata sasa lakini hakuna hatua anazochukua kufikia ule uwezo… Continue reading Kitu kinachowafanya watu wakose furaha.

Jinsi ya kuwa paka kwenye zama hizi.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini Mwandishi Jaron katika kitabu chake cha Ten Arguments for Deleting Your Social Media Accounts Right Now, anatushirikisha mfano ya wanyama wawili ambao binadamu tunaishi nao, anasema wanyama hao ni paka na mbwa. Anasema mbwa walianza kuishi na binadamu kwa sisi binadamu kuwakamata nakuwafuga, hivyo mbwa wamekuwa wakimsikiliza… Continue reading Jinsi ya kuwa paka kwenye zama hizi.