Jinsi Usomaji wa vitabu unavyorefusha maisha.

Rafiki yangu mpendwa unajua nini kuhusu usomaji wa vitabu na umuhimu wake katika maisha yako kwa ujumla? Sitaki kukuchosha na maneno mengi lakini usiwe na wasiwasi maana kusoma huku kunakusaidia kurefusha maisha yako bila shaka. Sina uhakika kama itakufaa, lakini iwapo unataka kuwa na afya njema na kuishi muda mrefu, utafiti unaonyesha kwamba ulaji wa… Continue reading Jinsi Usomaji wa vitabu unavyorefusha maisha.

Nguvu ya ukaribu kwenye maendeleo binafsi.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kitu kinachochangia kwenye changamoto zilizopo kwenye jamii za kisasa ni kukosekana kwa ukaribu wa watu. Ukaribu wa watu ni muhimu sana kwenye maendeleo binafsi kwani bila hiyo ni vigumu mtu kupata utulivu wa akili. Tatizo hili linaanzia utotoni. Wakati kwenye jamii za asili watoto wanalelewa na wazazi… Continue reading Nguvu ya ukaribu kwenye maendeleo binafsi.

Mahitaji makuu 3 ya maisha.

Rafiki yangu mpendwa ili tuweze kuridhika na maisha yetu na yawe na maana kubwa kwetu, sisi binadamu tunahitaji vitu vikuu vitatu. Kwanza; tunahitaji uhuru binafsi yaani autonomy wa kuweza kujitawala sisi wenyewe na kuchagua namna tunavyoishi maisha yetu. Pale tunapoona tunalazimishwa kuwa na maisha ya aina fulani, yanakosa maana na tunashindwa kuyafurahia. Pili; tunahitaji ubobezi… Continue reading Mahitaji makuu 3 ya maisha.

Kwa nini hupaswi kufurahisha kila mtu.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini Winston Churchill anatushirikisha kwamba kuwa na maadui ni kitu kizuri. Inathibithisha kwamba umewahi kusimamia kitu fulani kwenye maisha yako.’ Rafiki yangu hupaswi kufurahisha kila mtu. Furahia kuwa na maoni yanayowavuruga watu. Unapaswa kubali kwamba utatengeneza maadui kadiri unavyokuwa unafanikiwa. Lazima usimamie kitu ambacho kitawavuruga watu wengi na… Continue reading Kwa nini hupaswi kufurahisha kila mtu.

Njia 3 za kujenga kujiamini.

Rafiki yangu mpendwa utajiskiaje kama utajenga ujasiri zaidi kwenye maisha yako? Vizuri sio ndio? Hivyo kujenga kujiamini kwako na kujitathmini ni kazi kubwa. Bado kujenga ujasiri wako kunaweza kukunufaisha katika maeneo mengi ya maisha yako, kadiri unavyohisi vizuri, ndivyo kwa shughuli au changamoto mpya, na uwezekano mdogo wa kuanguka katika maovu ili kupata faraja. Sina… Continue reading Njia 3 za kujenga kujiamini.

Kitu Kubwa Kinachoua Ndoto Zako.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kitu kikubwa kinachoua ndoto zako ni hofu, hofu huwa inasambaa kwa kasi ya ajabu. Kwa kuwa zama hizi tunazoishi kila mtu ana uwezo wa kutoa habari, kupitia mitandao ya kijamii, basi hofu imezidi kuwa ugonjwa mkali. Kwa sababu mtu mmoja anaweza kuwa na hofu zake, akaanza kuzisambaza… Continue reading Kitu Kubwa Kinachoua Ndoto Zako.

Kwa nini watu hawaweki maisha halisi kwenye mtandao wa kijamii.

Rafiki yangu mpendwa mwandishi Jaron Lanier kwenye kitabu chake cha Ten Arguments for Deleting Your Social Media Accounts Right Now. Mwandishi anatushirikisha jinsi mtandao wa kijamii inavyofuatilia maisha ya watu na pia inatumia nguvu kuhakikisha unakuwa msikivu na mtii kwa mtandao hiyo. Nguvu iyo ni shinikizo la kijamii. Sina uhakika kama itakufaa, lakini sisi binadamu… Continue reading Kwa nini watu hawaweki maisha halisi kwenye mtandao wa kijamii.

Mikakati 2 inayoweza kukusaidia unapochukua hatua za hatari.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini iwe unachukua hatua kubwa katika taaluma yako, au unaogopa kuchukua hatari ndogo ya kijamii kama vile kumwalika mtu unayejuana naye kwa kahawa, kujifunza kuchukua hatua ya hatari kunaweza kufungua milango mipya na kuboresha maisha yako. Lakini hatari sio lazima ziwe za kutojali. Na ingawa kuzuia hatari zote… Continue reading Mikakati 2 inayoweza kukusaidia unapochukua hatua za hatari.

Mabadiliko hayayokei hadi uyatake kweli.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini mabadiliko siyo rahisi, kuvunja mazoea ambayo tayari yapo ni kitu kigumu sana kwa watu. Hivyo kama unataka mabadiliko yatokee, lazima uyatake kweli. Lazima uwe umedhamiria kweli kubadilika na kuwa tayari kufanya kila kinachohitajika ili uweze kuweza kubadilika. Kwenye hii dunia, hakuna chochote unachokitaka kweli ambacho utakikosa. Kama… Continue reading Mabadiliko hayayokei hadi uyatake kweli.