Kukosolewa ni sehemu ya maisha.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini pale unapofanya kitu chochote cha tofauti na cha kibunifu, moja kwa moja unakuwa umekaribisha wakosoaji. Rafiki yangu, nadhani bado hujaweza kuelewa kuwa kukosolewa ni sehemu ya maisha ya kila siku. Yaani kila siku kuna watu wanakukosoa kwa namna mbalimbali. Unavyovaa, unavyofanya kazi zako, unavyoishi maisha yako. Watu… Continue reading Kukosolewa ni sehemu ya maisha.

Jinsi ya kukataa kukataliwa.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kuamini kwamba kila kitu kinawezekana hakumaanishi kila wakati utapata kile unachotaka. Utakutana na watu wengi watakaokupinga na kukukatalia, watakaokuambia huwezi na haiwezekani. Ikiwa kweli unakadiria kupata unachotaka, basi lazima ukatae kukataliwa. Watu wanapokukatalia usikubaliane nao, wewe kataa na amini kile unachotaka kinawezekana na kuwa ta tayari kukipambania.… Continue reading Jinsi ya kukataa kukataliwa.

Unajua unachagua kuwa na furaha.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini furaha, upendo na hamasa siyo vitu unavyotafuta, bali ni machaguo unayofanya. Akili zetu ni kitu unachochagua na ujuzi unaojijengea. Akili zetu wanadamu huwa zinabadilika kama iliyo miili yetu, huwa tunakazana kubadili mambo ya nje badala ya kubadili mambo ya ndani ambayo ndiyo yapo ndani ya uwezo wetu.… Continue reading Unajua unachagua kuwa na furaha.

Uongo unaokuzuiausianze.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini licha ya watu wengi kujua wanachotaka, wengi wamekuwa hawaanzi kukifanyia kazi kwa sababu wanakubali uongo ambao wamekuwa wanajiambia kwa muda mrefu. Uongo huo ni kwamba bado hawajawa tayari. Ukweli unayopaswa kujua ni kwamba inapokuja kwenye kufanya chochote kikubwa na muhimu, hakuna wakati utajiona uko tayari. Hofu ya… Continue reading Uongo unaokuzuiausianze.

Hatua ya 1 ya kupata unachotaka.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini watu wengi huwa hawapati wanachotaka kwa sababu hawajui nini hasa wanachotaka. Unaweza kushangaa hapo kwamba iweje mtu asijue anachotaka, lakini huo ndiyo ukweli. Watu wanaweza tamani kupata vitu fulani kwenye maisha yao. Lakini ni wachache sana wanaoamua nini hasa wanataka na kuamua lazima wakipate bila ya kujali… Continue reading Hatua ya 1 ya kupata unachotaka.

Maamuzi makubwa 3 yakufanya kwenye maisha yako.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kuna maamuzi makubwa matatu unayoyafanya kwenye maisha yako, eneo unaloishi, watu unaishi nao na kile unachofanya. Haya ni maamuzi ambayo yataathiri sana maisha yako, lakini wengi hawayapi uzito unaostahili. Wengi huyafanya kwa mkumbo na siyo kufikiria wapi wanataka kufika kisha kufanya maamuzi hayo kwa mwongozo huo. Eneo… Continue reading Maamuzi makubwa 3 yakufanya kwenye maisha yako.