Mambo 5 Yanayosababisha Changamoto Kubwa Kwenye Zama Hizi.

Rafiki yangu mpendwa jamii ya Kisasa zina maendeleo makubwa sana ukilinganisha na za asili. Lakini zina changamoto makubwa ukilinganisha na za asili kama upweke ni mkubwa, magonjwa ya akili yapo kwa kiwango kikubwa na pia hali ya watu kujiua, ipo zaidi. Changamoto hizi zinasababishwa na haya: Moja; hali ya ubinafsi mkubwa, watu huweza kujitegemea kwa… Continue reading Mambo 5 Yanayosababisha Changamoto Kubwa Kwenye Zama Hizi.

Falsaya Ya Kurudi Kwenye Ubinadamu.

Rafiki yangu mpendwa watu huwa wanasema ubinadamu ni kazi, lakini siyo kazi ngumu kama ukiishi kwa falsafa sahihi. Robin Sharma anatushirikisha falsafa sahihi ya kuishi kwenye kitabu cha the daily manifesto ambayo huturudisha kwenye ubinadamu. Falsafa hiyo ni kuzingatia yafuatayo; Yaendee maisha kwa moyo uliojaa ushujaa na macho yanayoangalia nguvu kubwa iliyo ndani yako. Tambua… Continue reading Falsaya Ya Kurudi Kwenye Ubinadamu.

Njia 8 za kukusaidia kutulia wakati wa mgogoro.

Rafiki yangu mpendwa karibu kwenye makala hii ambayo itajadili njia unazopaswa kuchukua wakati unapitia majaribu na changamoto mbalimbali. Wengi waliofanikiwa zaidi duniani, wakiwemo wafanyabiashara, wanariadha na wasanii, hawakuweza kufikia kiwango chao cha mafanikio bila kujifunza jinsi ya kukaa watulivu sana chini ya shinikizo. Wana uwezo wa kukuza na kudumisha hali fulani ya utayari wa kisaikolojia,… Continue reading Njia 8 za kukusaidia kutulia wakati wa mgogoro.

Jinsi Ya Kuivunja Tabia Ya Kukurupuka.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini hakuna kitu kinatuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yetu kama maamuzi ya kukurupuka. Unakuwa unafanya maamuzi bila ya kufikiri kwa kina na mwishowe yanakuwa na madhara makubwa kwako. Wakati unafanya maamuzi hayo unaona kila kitu kipo sawa, lakini unapokuja kukaa chini na kufikiri kwa kina, unaona namna… Continue reading Jinsi Ya Kuivunja Tabia Ya Kukurupuka.

Kitu Kinachopoteza Zaidi Kwenye Maisha.

Rafiki yangu mpendwa, kinachokupoteza ni kujilinganisha na watu wa nje.Unataka kuishi kama mtu ambaye tayari ameyapatia maisha, unataka kuishi kama mtu ambaye yuko katika nchi zilizoendelea na wakati wewe uko katika nchi zinazoendelea. Kwa mfano, kwenye kazi unataka kufanya kidogo huku ukiwa na matarajio ya mfano makubwa. Unajilinganisha na mabilionea ambao wakati wanaanza walikuwa hawaishi… Continue reading Kitu Kinachopoteza Zaidi Kwenye Maisha.

Usikubali Hofu Ikutawale.

Rafiki yangu nikupendaye, hofu ni zao la akili. Ni vitu ambavyo hata havipo, ni vitu ambavyo vinazalishwa ndani ya akili yako. Pata picha mtu yuko mwezi wa tisa leo, anaanza kufikiria hivi mwezi wa kumi utakuwaje? Rafiki yangu, hata kwa wale wanaosali, Yesu aliwafundisha wanafunzi wake sala na kwenye sala hiyo hakuna mahali alipoomba mambo… Continue reading Usikubali Hofu Ikutawale.

Umuhimu Wa Kuanza Na Wewe Kwanza.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini unapaswa kuanza na wewe kwanza, kama kuna watu hawakupi kile ambacho wewe unataka kwenye maisha yako, anza kwanza wewe mwenyewe kujipa kitu hicho ambacho unataka kutoka kwao. Kwa mfano, kama unataka upendo kutoka kwa wengine, anza kwanza kujipenda wewe mwenyewe, penda kile unachofanya na kisha wapende wengine… Continue reading Umuhimu Wa Kuanza Na Wewe Kwanza.

Kwa Nini Hupaswi Kununua Matatizo Ya Wengine.

Rafiki yangu mpendwa nianze kwa kusema, usinunue matatizo ya wengine. Rafiki matatizo uliyonayo, tayari yanakutosha hivyo usinunue mengine. Muda uliokuwa nao kufanya vitu vya msingi ni mdogo mno. Ukisema uhangaike na kila kitu kwenye hii dunia basi utakufa haraka. Ukisema uhangaike na matatizo ya kila mtu hutaweza kuyamaliza. Kwanza matatizo ya watu, huwa yanamalizwa na… Continue reading Kwa Nini Hupaswi Kununua Matatizo Ya Wengine.

Kama Huna Tabia Hizi Mafanikio Makubwa Hayakuhusu.

Rafiki yangu mpendwa kwa kuanzia, hebu tuchunguze tabia zetu kwa tunazoishi kwenye maisha yetu, kwa sababu kila kitu kwenye maisha yetu huwa kinajengwa na tabia. Watu wengi mambo tunayofanya kila siku yanatokana na tabia ambazo tumejijengea huko nyuma. Watu hawafanyi kitu kama siyo tabia yao. Vitu vingi ambavyo unafanya ni kwa sababu ni tabia yako… Continue reading Kama Huna Tabia Hizi Mafanikio Makubwa Hayakuhusu.

Sheria Za Kuwa Na Maisha Marefu.

Rafiki yangu mpendwa leo tutachunguza kwa kina sheria za kuwa na maisha marefu na ya mafanikio bilionea na mwekezaji Charlie’s Munger ambaye kwa sasa ana miaka 99. Aliulizwa na mwandishi aseme siri za kuwa na maisha marefu na ya mafanikio. Moja ni usiwe na wivu. Wivu ni hali ya kujiona wewe una stahili kuliko mwingine.Ukiishi… Continue reading Sheria Za Kuwa Na Maisha Marefu.