Jiamini Na Utafikia Ndoto Zako.

Henry Ford aliwahi kunukuliwa akisema, kama unaamini unaweza au unaamini huwezi uko sahihi.” – Henry Ford Kama unaamini kitu kinawezekana na mtizamo wako ni kuwa tayari kufanya chochote na kwa muda wowote kukipata, basi mafanikio kwako ni swala la muda tu. Kwa hali hii unakuwa na uhakika wa kufikia mafaniko kwenye jambo lolote unalofanya. Unaweza… Continue reading Jiamini Na Utafikia Ndoto Zako.

Kwa Nini Unapaswa Kuacha Kuahirisha Ndoto Zako.

Rafiki yangu mpendwa nianze kwa kusema kwamba kila mtu ana ndoto kubwa kwenye maisha yake. Kuna picha ambayo kila mtu anayo ya namna maisha yake anataka yawe. Lakini kwa kwa bahati mbaya sana, wengi wamekuwa wakiahirisha ndoto zao kila wakati. Wakijua kabisa wanapaswa kufanya nini, lakini wanaahirisha na kujitambua hawajawa tayari au muda bado. Tunajua… Continue reading Kwa Nini Unapaswa Kuacha Kuahirisha Ndoto Zako.