Jinsi Ya Kuepuka Migogoro Isiyofaa.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kuna wakati watu wanatukwaza na kufanya mambo yanayoenda kinyume na yale tunayosimamia. Katika nyakati hizo huwa tupo tayari kupambana nao ili kusimamia maadili au maamuzi yetu. Hili ni sahihi, kwa sababu kama huna unachosimamia, kila kitu kitakuangusha. lakini siyo kila vita unapaswa kupigania, siyo kila mgogoro unapaswa… Continue reading Jinsi Ya Kuepuka Migogoro Isiyofaa.

Mambo 6 Ya Kujifunza Kutoka Kwa Leonardo Da Vinci.

Rafiki yangu mpendwa Robina anatushirikisha aliyojifunza baada ya kutembelea jumba la makumbusho ya kazi za Leonardo da Vinci ambaye anachukuliwa kuwa mtu mbunifu zaidi kuwahi kuishi hapa duniani. Wengi waliamini uwezo wake haukuwa wa kibinadamu, bali kulikuwa na uungu ndani yake. Kwani katika kipindi chake alifanya makubwa kwenye sekta mbalimbali kama usanifu, uinjinia, sayansi ya… Continue reading Mambo 6 Ya Kujifunza Kutoka Kwa Leonardo Da Vinci.

Siri 4 Za Kujenga Mtazamo Wa Uwezekano.

Rafiki yangu mpendwa tunaishi kwenye kipindi ambacho mambo hasi yanapewa nguvu kubwa na ni rahisi sana kukata tamaa. Lakini pia njia za mkato ambazo siyo sahihi zimekuwa nyingi na kuwapoteza wengi. Tunapaswa kuwa na njia ya kujilinda ili kutokukata tamaa na kufanya yaliyo sahihi. Ili kutokukata tamaa, tunapaswa kujaza akili zetu fikra sahihi za ndoto… Continue reading Siri 4 Za Kujenga Mtazamo Wa Uwezekano.

Uongo Wa Kufikiri Chanya.

Rafiki yangu mpendwa, bila shaka umekuwa ukisikia kufikiri chanya kunahubiriwa sana kwenye kutengeneza mtazamo sahihi wa mafanikio. Ni kweli kufikiri chanya kuna manufaa kuliko kufikiri hasi, lakini pia pasipokuwa na mpango sahihi, kufikiri chanya kunaweza kuwa tatizo kubwa. Watu wengi wamekuwa wakitumia kufikiri chanya kama njia ya kukwepa na kujaribu kuzika hisia zao. Pale wanapokutana… Continue reading Uongo Wa Kufikiri Chanya.

Kwa Nini Unapaswa Kujijengea Ujasiri Mkubwa.

Rafiki yangu mpendwa, sina uhakika kama itakufaa, lakini Robin ila Ro anatushirikisha hadithi ya Niki lauda, mshiriki wa mbio za magari ambaye alipata ajali mbaya kwenye mashindano na kuungua kichwa na uso. Alipelekwa hospitalini akiwa taabani na kila mtu alijua hawezi kupona. Lakini siku 40 baadaye alirudi kwenye mbio za magari, kabla hata hajapona vizuri.… Continue reading Kwa Nini Unapaswa Kujijengea Ujasiri Mkubwa.

Kwa Nini Unapaswa Kuishi Maisha Yako Halisi?

Watu wengi wamekuwa wanafanya mambo kwa akili ya kujijengea sifa baada ya kuondoka hapa duniani. Wanafanya kwa lengo la kuendelea kukumbukwa vizazi kwa vizazi kwa majina yao kuandikwa maeneo muhimu au kuchongwa sanamu. Lakini kama ilivyo mambo mengine ya maisha, unapolazimisha kitu huwa hakitokei. Unapofanya mambo Ili ukumbukwe, hakuna anayekukumbuka, kwa sababu unakuwa siyo halisi.… Continue reading Kwa Nini Unapaswa Kuishi Maisha Yako Halisi?