Jiamini Na Amini Kwenye Ndoto Yako Kubwa.

“Believe in yourself and you will be unstoppable.” Emily Guay. Utakapojaribu kufanya kitu chochote kikubwa kwenye maisha yako, ndiyo utaujua uhalisia wa dunia, kila kitu kutaibuka kukupinga na kukuzuia . Vitaibuka vikwazo ambavyo hata hukuwahi kuvifikiria. Hata ndugu na jamaa wa karibu watakuwa kikwazo kikubwa kwako. Nguvu ya kukupinga itakuwa kubwa kiasi kwamba huwezi kabisa… Continue reading Jiamini Na Amini Kwenye Ndoto Yako Kubwa.

Salaam Za Kheri Ya Mwaka Mpya 2024 Kutoka Kwa Maureen Kemei.

Rafiki yangu mpendwa, salaam alaikum. Napenda nichukue nafasi hii kukutakia kheri ya mwaka mpya 2024. Sina uhakika kama itakufaa, lakini ule mwaka uliokuwa umesubiri sana kwa hamu ndio huu hapa umefika. Bila shaka umeanza kufanyia kazi mambo yote uliyokuwa umesema kwamba utayafanya ndani ya huu mwaka, sasa ndiyo muda nzuri sana wa kufanya na kukamilisha… Continue reading Salaam Za Kheri Ya Mwaka Mpya 2024 Kutoka Kwa Maureen Kemei.

Ni Kitu Gani Unathamini Sana Kwenye Maisha Yako?

Karibu kwenye makala hii ambayo itajadili kuhusu kitu muhimu ambayo watu wanaithamini sana kwenye maisha. Kila mtu kuna kitu anachokithamini zaidi kwenye maisha na hiyo ndiyo kinamsukuma kufanya maamuzi yote ya maisha yake. Wanaofanikiwa ni wale wanaojua kile wanachothamini zaidi na kuishi maisha yao kwa namna ambayo wanakifanyia kazi. Sina uhakika kama itakufaa, lakini huwezi… Continue reading Ni Kitu Gani Unathamini Sana Kwenye Maisha Yako?