Jinsi Ya Kuishi Wito Wako.

Rafiki yangu mpendwa kila mtu ana wito fulani ndani yake, asili inayomvuta zaidi kufanya zaidi vitu vya aina fulani. Sina uhakika kama itakufaa, lakini mtu anapofanya kitu cha wito wake,anafurahia anakuwa na hamasa na hachoki,anajituma zaidi katika kukifanya. Wale wanaofanikiwa sana ni wale wanaojua wito wa maisha yao na kuuishi kwa viwango vya juu sana.… Continue reading Jinsi Ya Kuishi Wito Wako.

Njia Kuu 2 Za Kuishi.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kuna njia mbili ya kuishi. Njia ya kwanza ni kuishi kama ambavyo watu wanataka wewe uishi. Kwa kufanya na kuishi kama vile wengine wanataka ni kujichelewesha mwenyewe na pia ni kama kuruhusu wengine waendeshe maisha yako. Sifanyi kile ambacho kila mtu anafanya hata kama sina msukumo wowote… Continue reading Njia Kuu 2 Za Kuishi.

Hatua Ya 1 Kuchukua Ili Kubadili Maisha Yako.

“The moment you accept responsibility for everything in your life is the moment you can change anything in your life.” Hal Elrod. Rafiki yangu hatua ya kwanza kuchukua ili kubadili maisha yako, ni kukubali kwamba kila kitu kwenye maisha yako ni wajibu wako. Hapa unaondokana kabisa na kulaumu na kulalamikia wengine pale ambapo maisha yako… Continue reading Hatua Ya 1 Kuchukua Ili Kubadili Maisha Yako.

Umuhimu Wa Kuacha Kutumia Maneno Hasi.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini maneno tunayotumia huwa yana maana kubwa na kuathiri sana maisha yetu. Maneno unayotoa yanatuma ujumbe ni aina gani ya fikra zinazotawala akili yako. Aina ya fikra zinazotawala akili yako ndiyo zitaamua kama utafanikiwa au kushindwa. Kuna maneno hasi huwa tunayatumia kama utani kivumishi cha vitu mbalimbali. Mfano,… Continue reading Umuhimu Wa Kuacha Kutumia Maneno Hasi.

Je, Unajua Wewe U Adui Wako M8wenyewe?

Rafiki yangu mpendwa moja ya changamoto kubwa zinazowazuia watu wengi kufuata kile wanachotaka ili kufikia mafanikio wanayotarajia ni kuwa wapinzani wao wenyewe. Kuwa adui wangu mwenyewe ni kikwazo namba moja kwangu kwenye kubadili maisha yangu na kufikia mafanikio makubwa. Kama sitaacha kuwa adui wangu mwenyewe hakuna kitakachobadilika maishani mwangu. Safari ya kuibadili maisha yangu na… Continue reading Je, Unajua Wewe U Adui Wako M8wenyewe?