Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kama kuna kitu umekipenda na kujikubali sana kutoka kwa watu wengine, kiige, kuna kazi ya sanaa umekipenda kutoka kwa wengine iige. Kuna biashara nzuri umeona wengine wanafanya na ukakubali sana, iige. Huwa tunafikiria ili ufanikiwe lazima uje na kitu kipya na cha kipekee sana. Huo siyo ukweli,… Continue reading Jinsi Unavyoweza Kuwa Kioo Ambacho Hakijakamilika.
Month: April 2024
Mambo 5 Ya Kusema Hapana Kwenye Maisha Yako.
Rafiki tangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, ni kwenye muda pekee ndipo penye demokrasia ya kweli duniani. Ndiyo kitu pekee ambacho wote tumepewa kwa usawa.Sasa kwa kuwa tumepewa kwa usawa, ila wapo ambao wanafanya makubwa sana kwenye muda huo huo, ina maana kuna vitu wanafanya kwa utofauti. Na hapo ndipo muda unapokuwa muhimu sana.Na ndiyo… Continue reading Mambo 5 Ya Kusema Hapana Kwenye Maisha Yako.
Umuhimu Wa Kuzungukwa Na Watu Sahihi.
Rafiki yangu mpendwa kufanya makubwa siyo kitu rahisi kuna changamoto na vikwazo, kuna kushindwa na kukata tamaa. Utaweza kuyavuka hayo kama utakuwa umezungukwa na watu sahihi. Tafuta watu ambao wanafanya makubwa, k7isha zungukwa nao, kuwa na kikundi cha watu wanaofanya makubwa ambao mnapeana moyo wa kuendelea na mapambano. Usisubiri mpaka watu waje wakuite na kukuweke… Continue reading Umuhimu Wa Kuzungukwa Na Watu Sahihi.
Kile Kinachodhihirisha Thamani Yetu.
Rafiki yangu mpendwa kabla hujafanya maamuzi, unaweza kusema utakavyo, lakini watu wataamini zaidi kile unachofanya kuliko unachoongea. Maneno ni rahisi kila mtu anaweza kusema atakavyo, lakini matendo ni magumu na hayo na ndiyo yanadhihirisha kweli mtu anasimama wapi. Kama kweli kitu ni muhimu kwako utakifanya, hutaishia tu kusema. Kama unakitaka kitu kweli utakifanya kila namna… Continue reading Kile Kinachodhihirisha Thamani Yetu.