Jinsi Ya Kutengeneza Mchakato.

Rafiki yangu mpendwa kila unayemwona ameweza kufanya makubwa kwenye maisha yake, haikutokea kama bahati au ajali. Bali ni matokeo ya mchakato ambao mtu huyo ameufuata kwa muda mrefu. Japo mchakato wowote hauna matokeo ya uhakika, kwa kufuata mchakato wengi wameweza kuzalisha matokeo bora. Mchakato unahusisha mitazamo na misingi ambayo mtu anatumia kufanya maamuzi. Hapa ni… Continue reading Jinsi Ya Kutengeneza Mchakato.

Mambo 10 Ambayo Brian Tracy Anatufunza Kuhusu Watu Waliofanikiwa.

Rafiki mpendwa kwenye kitabu ambacho mwandishi Brian Tracy ameandika, anaeleza kuwa ni matokeo ya miaka 15 ya utafiti, kufundisha na mazoezi binafsi juu ya namna matajiri walivyotengeneza utajiri wao. Hayo ni mambo 10 ambayo nimetoka nayo: Chukua hatua tunapaswa kufanyia kazi mambo hayo ili kupata mafanikio tunayoyataka kwenye maisha yetu. Rafiki Yako, Maureen Kemei. kemeimaureen7@gmail.com