Rafiki yangu mpendwa watu wengi tumejikuta katika changamoto kubwa ya pesa hasa kipato kisicho tosheleza matumizi na hapa ndipo pagumu kutoka mwandishi anakuja na suluhisho: Rafiki Yako, Maureen Kemei. kemeimaureen7@gmail.com
Month: August 2024
Mambo 10 Ambayo Nimejifunza Katika Kitabu Cha The Success Codes Na Joel Arthur.
Rafikj yangu mpendwa karibu sana siku ya leo ambapo bado tunaendelea kujifunza katika kitabu hiki cha Joel Arthur Nanukaa, ambacho anatufunza siri za mafanikio. Rafiki yako, Maureen Kemei.
Mambo 10 Nimejifunza Katika Kitabu Cha Success Codes Cha Joel Arthur Nanukaa.
Rafiki yangu mpendwa karibu sana tujifunze kutoka vitabuni, leo nimebahatika kusoma kitabu hiking kizuri, karibu nikushirikishe. 1.Ili kufanikiwa unatakiwa kufanya vitu bila kuogopa changamoto ambazo zitatokea pamoja na kuishinda hofu katika maisha. 2. Kuna maumivu ya aina mbili moja ni maumivu ya kuikabili hofu leo ni ndogo ukilinganisha na maumivu utakayoyapata utakapo gundua hauna nguvu,… Continue reading Mambo 10 Nimejifunza Katika Kitabu Cha Success Codes Cha Joel Arthur Nanukaa.
Ni Wakati Wa Kuwa Wewe.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini ndani yako kabisa unajua nini ambacho unataka kwenye maisha yako. Kuna sauti inayokuambia nini unapaswa kufanya na hata ukiipuuza sauti hiyo, bado haiondoki. Kuna mambo ukiyaona huwezi kuyavumilia, ungependa yawe bora zaidi. Huu ndiyo wakati wa wewe kuwa wewe na kuacha kupoteza muda wako na maisha yako… Continue reading Ni Wakati Wa Kuwa Wewe.
Kitu Ambacho Watu Wanakihofia Kuliko Hata Kifo.
Rafiki yangu mpendwa watu wengi husema kitu kikubwa ambacho kila mtu anahofia ni kifo, hilo siyo kweli. Kitu kikubwa ambacho kila mtu anahofia ni kuishi maisha yake kwa uhalisi wake. Watu wengi hawana uthubutu wa kuchagua kuyaishi maisha yao kwa namna wanavyochagua wao, hivyo wanalazimika kujificha kwenye utumwa wa jamii. Tumefundishwa kuyaishi maisha yetu ili… Continue reading Kitu Ambacho Watu Wanakihofia Kuliko Hata Kifo.
Madhara Ya Kufuata Mkumbo.
Rafiki yangu mpendwa kuna hali huwa zinajitokeza kwenye kundi ambapo watu wanakuwa wanafikiria kitu kimoja, hakuna anayehoji wala kukosoa pale mambo yanapoonekana hayaendi vizuri. Wanasaikolojia wanaita hali hii groupthink na imekuwa chanzo cha matatizo makubwa kwenye taasisi nyingi. Kufikiri kwa kufuata mkumbo huwa kunachochewa zaidi na mtazamo mgando. Pale taasisi inapokuwa na kiongozi ambaye anachukuliwa… Continue reading Madhara Ya Kufuata Mkumbo.
Kutoa Zaidi Kupata Zaidi.
Rafiki yangu mpendwa kuna tafiti zinaonyesha kadiri watu wanavyotoa, ndivyo wanavyopata zaidi. Utafiti uliofanywa kwa wale wanaotoa misaada ya fedha kwa wengine unaonesha kwa kila dola moja ambayo mtu anatoa kama msaada, anapata dola 3.75 zaidi kwenye kipato chake. Kinachowapelekea wale wanaotoa kupata zaidi ni furaha wanayoipata kwenye utoaji ambayo inawapa msukumo wa kufanya kazi… Continue reading Kutoa Zaidi Kupata Zaidi.
Nafsi Yako Inapoongea Na Wewe.
Rafiki yangu mpendwa roho yako kuna vitu inajua lakini akili yako kuna vitu haiwezi kuvielewa. Kuna wakati unasukumwa sana kufanya kitu fulani, ambacho huwezi kuelewa kwa nini, ila unapokifanya kinakuwa bora kwako. Hayo ndiyo tunapoita machale,nafsi yako inapoongea na wewe. Unapaswa uisikilize nafsi yako, pale inapokusukuma sana ufanye kitu fulani, isikilize na ufanye. Unaweza ukakosea,… Continue reading Nafsi Yako Inapoongea Na Wewe.
Uwepo Wa Akili
Rafiki yangu mpendwa unaweza ukafanya kazi bora kabisa kama utaweka umakini wote kwenye kile unachofanya. Na utaweza kuweka umakini kama utaacha kusumbuka na mengi na kuondokana na usumbufu. Hilo ni gumu zama hizi kwa sababu watu wanatumia ubize kama sifa, anayeonekana kuhangaika na mengi ndiye anayeonekana mchapakazi. Chukua hatua; rafiki chagua kuweka uwepo wa kiakili… Continue reading Uwepo Wa Akili
Jinsi Ya Kujua Shauku Yako.
Rafiki yangu mpendwa watu wengi wamekuwa wakiuliza wanawezaje kujua shauku yao, wanawezaje kujua kile wanachopenda kufanya, kinachotoka ndani yao. Jibu la swali hili liko wazi kabisa, ukisikiliza sauti ya ndani yako na ukachukua hatua, utaijua shauku uako. Shauku siyo kitu unachozaliwa nacho na wala haipo kwenye kitu kimoja. Shauku ni matokeo ya mchakato ambao mtu… Continue reading Jinsi Ya Kujua Shauku Yako.