Jinsi Utulivu Unavyoibua Upekee Wako.

Rafiki yangu mpendwa unapokuwa na chanzo kimoja cha sauti inakupa uwezo mzuri wa kufikiri kwa kina. Kuna wachache tu waliofanikiwa kutengeneza utulivu wao dhidi ya kelele za dunia zilizopo kila kona. Hii imewasaidia kuamsha uwezo wao halisi na kuleta mafanikio. Jambo la kwanza; Ni kujitenga na kundi. Si rahisi kuamini upekee katika kundi. Kwa sababu… Continue reading Jinsi Utulivu Unavyoibua Upekee Wako.

Mambo 28 Ambayo Nimejifunza Kwenye Safari Yangu Ya Maisha.

Rafiki yangu mpendwa, sina uhakika kama itakufaa, lakini naona bora nikushirikishe yale nimekuwa nikijifunza kwenye safari yangu ya maisha. Ninaposherekea siku ya kuzaliwa kwangu, ikiwa leo nina miaka 28, yapo mambo mengi ambayo nimejifunza, ninapoendela kupigania ndoto ya maisha yangu ya kuwa mshauri, mwandishi na pia muuzaji bora kuwahi kutokea. Napenda kushukuru Mungu kwa uhai… Continue reading Mambo 28 Ambayo Nimejifunza Kwenye Safari Yangu Ya Maisha.

Jinsi Ya Kujijengea Tabia Za Furaha.

Rafiki yangu mpendwa hebu tuanzie kwa kuchunguza tabia za furaha. Kama inavyosemekana kwamba tabia tulizonazo zinaathiri sana furaha zetu. Rafiki hapa kuna orodha ya tabia ambazo ukijijengea, utaweza kuwa na furaha kwenye maisha yako. 1. Kufanya tahajudi ( meditation). 2. Kuacha kuwalaumu wengine. 3. Kupata mwanga wa jua na tabasamu 4. Kuondokana na tamaa yoyote… Continue reading Jinsi Ya Kujijengea Tabia Za Furaha.

Mambo 10 Ya Kufanya Yatakayo Badili Maisha Yako.

Rafiki yangu mpendwa yapo mambo kumi tunayopaswa kufanya yatakayo badili maisha. Yafuatayo ni mambo hayo kumi; Kama unafanya biashara una majukumu mengi zaidi. a).Unatakiwa kujijua wewe mwenyewe, kujua uwezo wako, ni vitu gani kwenye biashara yako ambavyo uko vizuri. Pia kujua ni maeneo gani haupo vizuri sana una madhaifu gani. Kinahitaji jitihada za ziada za… Continue reading Mambo 10 Ya Kufanya Yatakayo Badili Maisha Yako.

Njia 5 Zinazoweza Kuwahamasisha Wengine Kuchukua Hatua.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kwenye maisha Kuna mambo ambayo tukizingatia yanaweza kutuhamasisha kuchukua hatua. Kwanza; Hadhi, ubongo wetu unajali sana hadhi yetu kwa kujilinganisha na wengine. Unapopewa hadhi ya juu, unajisukuma kufanya vizuri zaidi. Pili; Uhakika, ukiwa na uhakika wa jambo fulani, ubongo unakuwa tayari kuchukua hatua fulani. Tatu; Udhibiti, unapokuwa… Continue reading Njia 5 Zinazoweza Kuwahamasisha Wengine Kuchukua Hatua.

Tiba Ya Kuongeza kipato Kutoka Kitabu Cha The Richest Man in Babylon Na George Clason.

Rafiki yangu mpendwa kwenye hii tiba ya kuongeza kipato nimejifunza vitu vifuatavyo. 1. Ni lazima kutafuta namna yeyote ya kuongeza kipato ili kufikia uhuru wa kifedha. 2. Kutamani tu kuwa tajiri hakutakufikisha popote. Ila kutamani kupata vipande vitano vya dhahabu ni kitu kinachoeleweka na kinaweza fanyiwa kazi hadi kikatimizwa. 3. Lengo lako la kufikia utajiri… Continue reading Tiba Ya Kuongeza kipato Kutoka Kitabu Cha The Richest Man in Babylon Na George Clason.

Sheria 5 Za Dhahabu.

Rafiki yangu mpendwa leo tunajifunza sheria tano za dhahabu kutoka kitabu cha ‘ the richest man in Babylon.’ Kati ya fedha na busara ama hekima, hekima ndio kitu cha kwanza kuchukua kabla hujachukua, nami nimechukua yafuatayo; 1. Mbwa mwitu wanavyolia kwa kunung’unikia njaa, ukisema uwapatie chakula nini kitatokea??, watapigana zaidi na kuzurura basi, hivyo ndiyo… Continue reading Sheria 5 Za Dhahabu.

Mambo 7 Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Atomic Habits By James Clear.

Rafiki yangu mpendwa karibu tujifunze pamoja kutoka kitabu cha atomic habits. 1. Wewe Unajengwa au kubomolewa na tabia zako ( your habits). Matokeo yako ni kutokana na tabia zako. 2. Pesa ulionayo ( either tajiri, masikini au wakati) ni matokeo ya tabia Yako ya kifedha. 3. Mwili ulionao ( uzito , magonjwa, etc) ni matokeo… Continue reading Mambo 7 Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Atomic Habits By James Clear.