Rafiki yangu mpendwa karibu sana nikushirikishe yale ambayo nimejifunza mwezi huu wa tisa kuhusu kujenga utajiri na Doctor Kocha Makirita Amani. Jambo la kwanza ni kujua tatizo ambalo watu wengi wanalo na wapo tayari kulipia kutatua. Jambo la pili ni kutatua matatizo kwa uhakika kiasi cha kila mwenye nalo kutaka suluhisho hilo. Jambo la tatu… Continue reading Mambo Ambayo Nimejifunza Mwezi Huu Wa Tisa Kuhusu Utajiri.
Month: September 2024
Mambo 8 Ya Kuzingatia Ili Kuongeza Bahati Yako Kwenye Maisha Yako ( falsafa ya ustoa)
Rafiki yangu mpendwa habari njema ni kwamba siku ya leo tuna bahati nzuri kabisa, na bahati iyo ni hii hapa. Kwamba leo nakushirikisha jinsi ya kuongeza bahati kwenye maisha yako. Usiwe na wasiwasi wowote kwa maana falsafa hii imekuwapo tangu ni falsafa ya kutokudharau kitu chochote na pia kutokuamini kitu chochote. Mwanafalsafa Epictetus anatukumbusha kutoka… Continue reading Mambo 8 Ya Kuzingatia Ili Kuongeza Bahati Yako Kwenye Maisha Yako ( falsafa ya ustoa)
Mambo 5 Ambayo Nimejifunza Kutoka Kitabu Cha The Old Man And The Sea.
Rafiki yangu mpendwa karibu sana siku hii njema ya leo nikushirikishe yale nimejifunza kutoka hadithi hii fupi cha mzee anayepambana na bahari katika kipindi ambacho anaonekana hana bahati. Anafanikiwa kumuua samaki mkubwa, lakini anapitia magumu katika kumpeleka samaki huyo ufukweni. Anatumia kila zana kupambana nguvu, nia na akili. Yale nimejifunza ni kama yafuatayo ; Chukua… Continue reading Mambo 5 Ambayo Nimejifunza Kutoka Kitabu Cha The Old Man And The Sea.
Misingi 8 Ya Kufanikiwa Kwenye Biashara.
Rafiki yangu mpendwa karibu sana leo tunajifunza misingi nane ya kuzingatia ili kufanikiwa kwenye biashara yoyote ile, mambo haya nimejifunza kutoka kwa kipindi cha ongea na Kocha Dr Makirita Amani. Mambo haya ni kama yafuatayo ; Chukua hatua ; rafiki tunapaswa kuzingatia mambo hayo nane ili tuweze kufanikiwa kwenye biashara zetu. Rafiki yako, Maureen Kemei.… Continue reading Misingi 8 Ya Kufanikiwa Kwenye Biashara.
Dalili Za Mtu Mwenye Msongo Wa Mawazo.
Rafiki yang mpendwa karibu siku ya leo tunajifunza kuhusu dalili Za kujua kama umeathirika na msongo wa mawazo. Dalili hizi ni kama zifuatazo; Rafiki yako, Maureen Kemei.
Mambo Ya Kuzingatia Ili Kudhibiti Msongo WA Mawazo( sehemu ya Tatu).
Rafiki yangu mpendwa tunaendelea kujifunza njia tofauti za kupunguza msongo wa mawazo, karibu sana tujifunze ili tuishi maisha ya furaha kila siku. Pamoja na zile njia kumi ambazo tumeshajifunza hii hapa njia zingine sapa za kuzingatia ili kupunguza msongo wa mawazo. karibu sana. 11. Cheka: Kucheka hutoa kemikali za hisia nzuri kama endorphins, ambazo hupunguza… Continue reading Mambo Ya Kuzingatia Ili Kudhibiti Msongo WA Mawazo( sehemu ya Tatu).
Hatua Za Kuzingatia Ili Kupunguza Msongo WA Mawazo (sehemu ya pili).
Rafiki yangu mpendwa karibu twendelee kujifunze zaidi kuhusu njia hizi za kupunguza msongo wa mawazo ili tuweze kuishi maisha ya furaha. Haya ni baadhi ya njia za kupunguza msongo wa mawazo. 5. Udhibiti wa muda. Kuwa na wakati mzuri wa kupanga majukumu hili kupunguza hisia za kuvurugikana na kuahirisha mambo. Gawa kazi kubwa kuwa sehemu… Continue reading Hatua Za Kuzingatia Ili Kupunguza Msongo WA Mawazo (sehemu ya pili).
Hatua Za Kuzingatia Ili Kupunguza Msongo WA Mawazo (sehemu ya kwanza) .
Rafiki yang mpendwa Sina uhakika kama itakufaa, lakini msongo wa mawazo ni hali inayotokana na fikra nyingi ngumu za maisha. Ili kupunguza zingatia hatua zifuatazo: Chukja hatua: Rafiki baada ya kugundua ishara za msongo wa mawazo unaweza kujaribu njia hizi na unaweza kupunguza msongo haya. Rafiki yako, Maureen Kemei.
Tabia 5 Za Kuishi Kila Siku.
Rafiki yangu mpendwa mafanikio yetu yanajengwa au kubomolewa na tabia tunazoziishi kila siku. Ndiyo maana Huwa inasemekana kwamba tunajenga tabia na kisha tabia zinatujenga. Tabua hayo 5 ni kama yafuatayo; Chukua hatua; rafiki yangu ni mambo hayo matano tukifanyia kazi bila kuacha tutaweza kufanya makubwa. Rafiki Yako, Maureen Kemei.
Mambo 4 Muhimu Ambayo Nimejifunza Kutoka Kwa Mwanaharakati Wa Afrika Kusini Desmond Tutu.
Rafiki yangu mpendwa karibu nikushirikishe mambo makubwa muhimu kutoka kwa maisha ya aliyekuwa na Nelson Mandela katika harakati ya kuikomboa Afrika Kusini na kuponya majeraha ya ubaguzi. Yafuatayo ni mambo hayo muhimu; Sisi binadamu tuna nguvu kubwa ambayo ipo ndani yetu, ni wajibu wetu kuitambua na kuianza kuitumia ili kuweza kufanya makubwa. Rafiki yako, Maureen… Continue reading Mambo 4 Muhimu Ambayo Nimejifunza Kutoka Kwa Mwanaharakati Wa Afrika Kusini Desmond Tutu.