Uwekezaji Bora Kufanya Kwenye Maisha.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini uwekezaji bora kabisa unaoweza kufanya kwenye maisha yako, tena ambao hautakugharimu sana ni kwenye vitabu. Kwa gharama ndogo sana utaweza kununua uzoefu wa watu walioishi miaka mingi na kufanya makubwa. Hivyoo kila unapopata nafasi, fanya uwekezaji huu, nunua vitabu vingi kuliko hata unavyoweza kuvisoma. Na katika usomaji… Continue reading Uwekezaji Bora Kufanya Kwenye Maisha.

Ushindi Mkuu Wa Maisha.

Rafiki yangu mpendwa, bila shaka natumia u buheri wa afya, nikukaribishe siku ya leo twendelee mbele kwenye kujifunza kama kawaida yetu. Karibu sana . Leo tunajifunza mambo ya kufanya ili tuweze kupata ushindi mkubwa kwenye maisha yetu ya kila siku 1.Ukweli ni kwamba kila kitu tunachohangaika nacho kwenye maisha kuna hatari yakukipoteza 2.Ushindi ulio mkuu… Continue reading Ushindi Mkuu Wa Maisha.

Hatua 10 Ambazo Mjasiriamali Anapaswa Kupitia Kabla Hajafanikiwa.

Rafiki yangu mpendwa hofu ya kushindwa ndiyo sababu kuu kwa nini watu wengi wanashindwa kufanikiwa kwenye maisha. Mfumo wetu wa elimu na hata ajira umetengenezwa kwenye msingi wa kutokufanya makosa, kwa sababu ukikosea shuleni au kazini basi unaadhibiwa. Lakini ulimwengu wa biashara upo tofauti kabisa, kama hukosei, huwezi kupiga hatua na kufanikiwa. Ni kupitia kukosea… Continue reading Hatua 10 Ambazo Mjasiriamali Anapaswa Kupitia Kabla Hajafanikiwa.

Hatua 5 Muhimu Za Kupiga Ili Kutoka Kwenye Uathirika Victim Kwenda kwenye Ushujaa Hero.

Rafiki yangu mpendwa ili uweze kufanya makubwa, lazima kwanxa utoke kwenye hali ya uathirika kwenda kwenye hali ya ushujaa. Hili ni zoezi ambalo linapaswa kuanzia ndani yako, zoezi ambalo siyo rahisi, lakini ukilifanya utapiga hatua kubwa. Hatua ya kwanza; Ondoka kwenye mtazamo wa haiwezekani kwenda kwenye mtazamo wa inawezekana. Waathirika huwa wanaona mambo hayawezekani wanaona… Continue reading Hatua 5 Muhimu Za Kupiga Ili Kutoka Kwenye Uathirika Victim Kwenda kwenye Ushujaa Hero.

Naendelea Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Success Codes Na Joel Arthur Nanukaa.

Rafiki yangu mpendwa karibu pia siku ya leo tujifunze zaidi kutoka kitabu cha Success codes na Joel Arthur Nanukaa. Leo tunajifunza mambo kumi ambayo yanatusaidia kwenye safari yetu ya mafanikio, karibu sana. 1.Tunatakiwa kufanya kazi ili kuvutia fursa kubwa kwenye maisha haijalishi zipo kwa muda huo au hazipo tunatakiwa kujiandaa muda wote ili zikitokea zitukute… Continue reading Naendelea Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Success Codes Na Joel Arthur Nanukaa.