Rafiki yangu mpendwa karibu tena siku ya leo nikishirikishe mambo muhimu 12 Ambayo naendelea kujifunza kutoka kitabu hiki kuzuri cha don’t go back to school. Mambo hayo ni kama yafuatayo; 6. Alama zako ulizopata darasani hazina maana kama huna ujuzi. Ujuzi ndio unaotumika katika maisha na siyo alama ulizopata darasani. Tunapojifunza tutumie ujuzi zaidi tulionao… Continue reading Mambo 12 Ambayo Ninajifunza kutoka Kitabu Cha Don’t Go Back To School By Kio Stark.
Month: November 2024
Mambo 5 Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Don’t Go Back To School
Rafiki yangu mpendwa karibu siku ya leo nikishirikishe mambo 5 nininayo jifunza kutoka kitabu cha don’t go back to school. Mambo 20 ninayojifunza katika kitabu Cha (Don’t Go Back To School) by Kio Stark ni kama ifuatavyo; Chukia hatua huwezi kuleta sababu tena za kwa nini hujifunzi kwa bidii wakati elimu inapatikana hapo ulipo ni… Continue reading Mambo 5 Ya Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Don’t Go Back To School
Mitazamo 6 Sahihi Kuhusiana Na Utajiri.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kuna mitazamo sahihi ambayo unapaswa kuijenga ili uweze kupata mafanikio na utajiri ambao unaitamani kwenye maisha yako. Yafuatayo ni njia sita ya kujenga mtazamo sahihi. Chukua hatua; rafiki moja kati ya mafanikio kwenye maisha ni kuwa na mtazamo sahihi juu ya mafanikio yako kwa ujumla. Kwa hivyo… Continue reading Mitazamo 6 Sahihi Kuhusiana Na Utajiri.
Jinsi Ya Kuvunja Imani Zenye Ukomo.
Rafiki yangu mpendwa ili uweze kuwa huru kufikiri na kufanya makubwa, lazima kwanza uvunje imani zote zenye ukomo ulizonazo. Hapa kuna hatua tatu za kuvunja imani hizo; Hatua ya kwanza ni kutambua imani za ukomo ulizonazo. Jisikilize sauti zinazotoka ndani yako, kwenye kila unachojiambia huwezi au haiwezekani, jua hapo una ukomo wa imani. Hata kama… Continue reading Jinsi Ya Kuvunja Imani Zenye Ukomo.
Sababu 5 Za Kujua Kwa Nini Kubwa Za Mbona Wewe Uteseke??
Rafiki yangu mpendwa unajiuliza sasa hivi kuteseka huku kunamaanisha nini haswa? Kuteseka huku ni kuvumilia changamoto unazopitia wakati unapambana, wakati unajituma ili kufikia ndoto zako kubwa kwenye maisha. Kwa hivyo basi, unapaswa kujua kwa nini uteseke, unateseka ili uweze kupata njia ya kutokea na kuboresha mwanzo wako. Kama hauna kwa nini kubwa inayokusukuma kila siku… Continue reading Sababu 5 Za Kujua Kwa Nini Kubwa Za Mbona Wewe Uteseke??
Mambo 5 Muhimu Ya Kuzingatia Kwenye Maisha Yako.
Rafiki yangu mpendwa kwenye kitabu cha 12 rules of life mwandishi Jordan Peterson anatushirikisha mambo muhimu ya kuzingatia katika maisha yetu. Na baadhi ya mambo ambayo mwandishi anatushirikisha ni kama ifuatavyo; Hatua ya kuchukua leo; nenda kuyaishi mambo haya kwa vitendo na utakuja kunishukuru baadaye. Sema ukweli, usifanye kitu unachokichukia. Fanya kwa namna ambavyo utaweza… Continue reading Mambo 5 Muhimu Ya Kuzingatia Kwenye Maisha Yako.
Mambo Ya Kuzingatia Wakati Wa Kuandaa Bajeti.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kuweka bajeti inakusaidia kufanikisha mambo mengi ya kifedha kama; kuweka malengo, kujenga nidhamu yako ya kifedha, inakusaidia kuepuka madeni ya kiholela holela, unakuwa na picha kamili ya kile ambacho kitatumika na na kuona halisi ya kifedha. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuandaa bajeti. Chukua… Continue reading Mambo Ya Kuzingatia Wakati Wa Kuandaa Bajeti.
Utatokaje Kwenye Tabia Hii Ya Kutokusamehe.
Rafiki yangu mpendwa maandiko yanasema hivi kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi. Bali msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu. Utatoka kwenye tabia hii ya kutokusamehe kwa kufanya yafuatayo; Chukua hatua; rafiki katika kusamehe utaishi maisha yenye amani na furaha na itakusaidia kufika kwenye… Continue reading Utatokaje Kwenye Tabia Hii Ya Kutokusamehe.
Utajuaje Una Tabia Ya Kutokusamehe.
Rafiki yangu mpendwa Kutokusamehe ni mlango ambao unafunga mafanikio, baraka na ndoto yako hapa duniani. Aliyewahi kuwa Raisi wa Afrika Kusini Nelson Mandela aliwahi kupitia kipindi kigumu sana kabla ya kuwa Rais ya Nchi hiyo. Moja ya vipindi vigumu alivyopitia ni kufungwa jela kwa miaka 27. Na kipindi yupo gerezani wale askari walikuwa wakimfanya dhihaka… Continue reading Utajuaje Una Tabia Ya Kutokusamehe.
Misingi 11 Ya Charles T Munger.
Rafiki yangu mpendwa karibu sana tujifunze misingi haya ambayo Charles T Munger aliyaishi kwenye maisha yake, ili tuweze kuwa na maisha bora na yenye mafanikio makubwa Mafunzo haya yanatokana na mfumo wa maisha ya Charles ambao unaendeshwa na misingi ifuatayo; Charlie alikuwa anatumia hadithi na vichekesho ili kufikisha ujumbe wake, kitu ambacho kinawafanya watu wamwelewe… Continue reading Misingi 11 Ya Charles T Munger.