Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini tabia ya hasira imepelekea watu wengi kutokufikia kwenye ndoto zao, na wengine wanaichukulia kama sehemu yao ya kujihami endapo changamoto zitatokea kama ugomvi. Watu wengi wenye hasira mara zote siyo watu wanaotumia akili zao kufikiria juu ya changamoto iliyojitokeza mara nyingi wanatumia hisia zao ambazo ni hasira… Continue reading Jinsi Ya Kujua Una Tabia Ya Hasira.
Month: November 2024
Umuhimu Wa Kuishi Wito Wako.
Rafiki yangu mpendwa kila mtu ana wito fulani ndani yake, asili inayomvuta kufanya zaidi vitu vya aina fulani. Mtu anapofanya kitu cha wito wake, anafurahia, anajituma na anakuwa na hamasa na hachoki katika kufanya. Wale wanaofanikiwa sana ni wale wanaojua wito wa maisha yao na kuuishi kwa viwango vya juu sana. Kujua wito wako, anza… Continue reading Umuhimu Wa Kuishi Wito Wako.
Jinsi Ya Kutofautisha Yaliyo Ndani Na Nje ya Uwezo Wetu Na Mstoa Epictetus.
Rafiki yangu mpendwa mwanafalsafa Epictetus aliweza kujifunza falsafa akiwa mtumwa, kwenye utumwa huo haukumwacha salama bali alipata kilema. Akiwa kilema aliweza kuishi maisha yake kama mstoa, aliweza kuandikia wanafunzi wake falsafa ya kuweza kuishi maisha kwa utulivu mkubwa bila kuyumbishwa na mambo mengine. Baadhi ya mambo yapo ndani ya uwezo wetu na mengine yapo nje… Continue reading Jinsi Ya Kutofautisha Yaliyo Ndani Na Nje ya Uwezo Wetu Na Mstoa Epictetus.
Mambo 35 Ambayo Nimejifunza Kutoka Kitabu Cha (The Excellent Advice For a living). Na Kevin Kelly.
Rafiki yangu mpendwa karibu tujifunze mambo hayo 35 muhimu ya kuishi kila siku kwenye safari yetu ya mafanikio. Mambo haya muhimu ya ushauri muhimu kwenye maisha ni kama yafuatayo; Hatua ya kuchukua tunapaswa kuchukua hatua kwenye mambo haya ambayo tumejifunza leo na kuyaishi mambo haya kwenye maisha yetu. Rafiki yako, Maureen Kemei.