Mambo 5 Ya Kusema Hapana Ambayo Hayana Mchango Kwenye Maisha Yako Na Mafanikio Yako.

Rafiki yangu wanasema ni kwenye muda pekee ndipo penye demokrasia ya kweli duniani. Ndiyo kitu pekee ambacho tumepewa kwa usawa. Kwa kuwa tumepewa kwa usawa, ila wapo ambao wanafanya makubwa sana kwenye muda huo huo, ina maana kuna vitu wanafanya kwa utofauti. Dr Kocha Makitita Amani anasema kuwa siri kuu ya kutumia muda vizuri ni… Continue reading Mambo 5 Ya Kusema Hapana Ambayo Hayana Mchango Kwenye Maisha Yako Na Mafanikio Yako.

Mambo 10 Muhimu Kuhusu Kazi.

Rafiki yangu mpendwa kazi ni asili ya wanadamu. Siyo adhabu, kazi ni zawadi toka kwa Mungu, mtu asiyetaka kufanya kazi na asile chakula. Kazi bora zaidi kuliko zingine ni ile ambayo unaifanya. Fikra na mtazamo wako ndiyo kazi bora unayoifanya. Mambo kumi kuhusu kazi ni kama yafuatayo; Chukua hatua rafiki yangu tunapaswa kupenda kufanya kazi… Continue reading Mambo 10 Muhimu Kuhusu Kazi.