Mambo 10 Ya Kuzingatia Tunapokosa Kile Ulichokuwa Unakitarajia

Rafiki yangu mpendwa matarajio yanapokuwa makubwa na uhalisia mdogo kuna asilimia kubwa ya kukosa hicho kitu. Kiwango cha furaha hupungua pia na msongo kuongezeka.

Lakini matarajio yanapokuwa madogo na uhalisia kuwa mkubwa kuna asilimia kubwa sana ya kupata hicho kitu. Kiwango cha furaha kuongezeka na msongo hupungua.

Baadhi ya mambo hayo kumi ni kama ifuatavyo;

  1. Kutambua jambo lililo ndani ya udhibiti wako.
  2. Kukabiliana na hali halisi.
  3. Punguza matarajio kwa mambo ambayo hayapo kwenye udhibiti wako.
  4. Fanya mazoezi ya shukran kwa jambo ambalo umekosa tafuta mambo 3 ya kushukuru kwanza.
  5. Jitayarishe kwa mambo ambayo hayajatokea sawa na ulivyotaka.
  6. Simama kwenye msingi wa tabia na maadili mema
  7. Tambua hali iyo ni ya muda tu.
  8. Angalia tukio kwa mtazamo wa juu.
  9. Nenda kwenye hatua inayofuata.
  10. Kujijenge uwezo wa kisaikolojia.

Rafiki, kukata tamaa, kukosa furaha, kupata msongo ni kaa sababu ya kukosa ustahimilivu.

Chukua hatua; ili kupata ustahimilivu fanya tahajudi na kujifunza. Kwenye hayo maisha utakosa mengi kuliko utakayoyapata.

Rafiki yako,

Maureen Kemei.

By Maureen Kemei

Author, psychologist.

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *