40/100. Mungu anatumikia taifa.

Karibu, katika kujifunza kwetu kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century ambacho kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Tumejifunza na kufahamu baadhi ya changamoto tunazokabiliana nazo katika zama hizi. Leo tunajifunza kuhusu uwepo katika mataifa. Kwa kipindi kirefu dini zimekuwa na nguvu kubwa Sana kwenye jamii. Katika zama zilizopita dini na serikali… Continue reading 40/100. Mungu anatumikia taifa.

39/100. Matatizo ya kimataifa yanahitaji majibu ya kimataifa.

Karibu, tunajifunza kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Kama  tulivyoona kwamba sisi binadamu ni viumbe wa kijamii na kwa sasa dunia nzima inakuwa kama jamii moja. Hii ni kwa sababu changamoto zinazotukabili dunia kwa Sasa haziwezi kuathiri nchi moja na hakuna nchi moja inayoweza kutatua… Continue reading 39/100. Matatizo ya kimataifa yanahitaji majibu ya kimataifa.

39/100. Ustaarabu moja tu duniani.

Karibu, tunaendelea kufahamu changamoto za karne ya 21. Kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Dunia imepitia vipindi tofauti ambapo kila jamii ilikuwa na ustaarabu wake na namna ya kufanya mambo yake. Pia ndani kumekuwa  na mgawanyiko wa watu kulingana na dini au makabila yao. Hivyo… Continue reading 39/100. Ustaarabu moja tu duniani.

38/100. Umuhimu wa jumuiya.

Ni katika harakati ya kujifunza zaidi kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century ambacho kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Yale nimejifunza ni kwamba; Sisi binadamu ni viumbe wa kijamii, tumezoea kuwa sehemu ya jamii kubwa. Kupona kwetu kama binadamu ni kwa sababu tuliishi kama jamii tangu enzi na enzi. Jamii ilikuwa… Continue reading 38/100. Umuhimu wa jumuiya.

37/100.Anayemiliki taarifa anaimiliki kesho.

Karibu Mwana mafanikio, katika harakati ya kujifunza zaidi kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century ambacho kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Mwandishi anatukumbusha kwamba, dunia imepitia zama mbalimbali, zama za kilimo waliomiliki ardhi ndiyo waliokuwa watawala na wao walimiliki uchumi pia. Katika zama za viwanda, waliomiliki viwanda ndiyo waliomiliki uchumi. Na… Continue reading 37/100.Anayemiliki taarifa anaimiliki kesho.

36/100. Kufuatiliwa kwa ukaribu kuliko tunavyofikiri.

Karibu, tunazidi kujifunza changamoto zinazotukabili zama hizi, ikiwa leo tunaangazia, changamoto ya kufuatiliwa na wanaomiliki taarifa nyingi za watu. Kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Mwandishi anatusimulia kuwa kipindi cha nyuma wakati wa ukoloni, mataifa makubwa yalikuwa yanapigania kushika ardhi kwenye nchi nyingi. Hili lilizalisha… Continue reading 36/100. Kufuatiliwa kwa ukaribu kuliko tunavyofikiri.

34/100.ujasiri

Karibu tunaendelea kujifunza kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Yale nimejifunza ni kwamba: Binadamu tumezoea kuishi kwa hadithi, kila zama zimekuwa na hadithi zake, zama za kifashisti hadithi ilikuwa nchi yangu ni bora kuliko nyingine. Zama za kikomunisti nchi yangu inanijali na kunipatia kila ninachotaka.… Continue reading 34/100.ujasiri

33/100.Ukweli.

Karibu, katika uendelezo wetu wa kujifunza kutoka kitabu cha 21 lessons for the 21st century kimeandikwa na Mwana historia Yuval Noah Harari. Nikafahamu kwamba: Kama naona kuwa navurugwa na kuzidiwa na mambo yanavyokwenda kasi duniani, basi nijue nipo mahali sahihi na angalau nina uelewa wa mambo yanavyokwenda. Mfumo wa kidunia imekuwa migumu sana kwa mtu… Continue reading 33/100.Ukweli.