Hatua 10 Ambazo Mjasiriamali Anapaswa Kupitia Kabla Hajafanikiwa.

Rafiki yangu mpendwa hofu ya kushindwa ndiyo sababu kuu kwa nini watu wengi wanashindwa kufanikiwa kwenye maisha. Mfumo wetu wa elimu na hata ajira umetengenezwa kwenye msingi wa kutokufanya makosa, kwa sababu ukikosea shuleni au kazini basi unaadhibiwa. Lakini ulimwengu wa biashara upo tofauti kabisa, kama hukosei, huwezi kupiga hatua na kufanikiwa. Ni kupitia kukosea… Continue reading Hatua 10 Ambazo Mjasiriamali Anapaswa Kupitia Kabla Hajafanikiwa.

Hatua 5 Muhimu Za Kupiga Ili Kutoka Kwenye Uathirika Victim Kwenda kwenye Ushujaa Hero.

Rafiki yangu mpendwa ili uweze kufanya makubwa, lazima kwanxa utoke kwenye hali ya uathirika kwenda kwenye hali ya ushujaa. Hili ni zoezi ambalo linapaswa kuanzia ndani yako, zoezi ambalo siyo rahisi, lakini ukilifanya utapiga hatua kubwa. Hatua ya kwanza; Ondoka kwenye mtazamo wa haiwezekani kwenda kwenye mtazamo wa inawezekana. Waathirika huwa wanaona mambo hayawezekani wanaona… Continue reading Hatua 5 Muhimu Za Kupiga Ili Kutoka Kwenye Uathirika Victim Kwenda kwenye Ushujaa Hero.

Naendelea Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Success Codes Na Joel Arthur Nanukaa.

Rafiki yangu mpendwa karibu pia siku ya leo tujifunze zaidi kutoka kitabu cha Success codes na Joel Arthur Nanukaa. Leo tunajifunza mambo kumi ambayo yanatusaidia kwenye safari yetu ya mafanikio, karibu sana. 1.Tunatakiwa kufanya kazi ili kuvutia fursa kubwa kwenye maisha haijalishi zipo kwa muda huo au hazipo tunatakiwa kujiandaa muda wote ili zikitokea zitukute… Continue reading Naendelea Kujifunza Kutoka Kitabu Cha Success Codes Na Joel Arthur Nanukaa.

Mambo 10 Nimejifunza Katika Kitabu Cha Success Codes Cha Joel Arthur Nanukaa.

Rafiki yangu mpendwa karibu sana tujifunze kutoka vitabuni, leo nimebahatika kusoma kitabu hiking kizuri, karibu nikushirikishe. 1.Ili kufanikiwa unatakiwa kufanya vitu bila kuogopa changamoto ambazo zitatokea pamoja na kuishinda hofu katika maisha. 2. Kuna maumivu ya aina mbili moja ni maumivu ya kuikabili hofu leo ni ndogo ukilinganisha na maumivu utakayoyapata utakapo gundua hauna nguvu,… Continue reading Mambo 10 Nimejifunza Katika Kitabu Cha Success Codes Cha Joel Arthur Nanukaa.

Ni Wakati Wa Kuwa Wewe.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini ndani yako kabisa unajua nini ambacho unataka kwenye maisha yako. Kuna sauti inayokuambia nini unapaswa kufanya na hata ukiipuuza sauti hiyo, bado haiondoki. Kuna mambo ukiyaona huwezi kuyavumilia, ungependa yawe bora zaidi. Huu ndiyo wakati wa wewe kuwa wewe na kuacha kupoteza muda wako na maisha yako… Continue reading Ni Wakati Wa Kuwa Wewe.

Kitu Ambacho Watu Wanakihofia Kuliko Hata Kifo.

Rafiki yangu mpendwa watu wengi husema kitu kikubwa ambacho kila mtu anahofia ni kifo, hilo siyo kweli. Kitu kikubwa ambacho kila mtu anahofia ni kuishi maisha yake kwa uhalisi wake. Watu wengi hawana uthubutu wa kuchagua kuyaishi maisha yao kwa namna wanavyochagua wao, hivyo wanalazimika kujificha kwenye utumwa wa jamii. Tumefundishwa kuyaishi maisha yetu ili… Continue reading Kitu Ambacho Watu Wanakihofia Kuliko Hata Kifo.

Madhara Ya Kufuata Mkumbo.

Rafiki yangu mpendwa kuna hali huwa zinajitokeza kwenye kundi ambapo watu wanakuwa wanafikiria kitu kimoja, hakuna anayehoji wala kukosoa pale mambo yanapoonekana hayaendi vizuri. Wanasaikolojia wanaita hali hii groupthink na imekuwa chanzo cha matatizo makubwa kwenye taasisi nyingi. Kufikiri kwa kufuata mkumbo huwa kunachochewa zaidi na mtazamo mgando. Pale taasisi inapokuwa na kiongozi ambaye anachukuliwa… Continue reading Madhara Ya Kufuata Mkumbo.