Hatua Ya 1 Kuchukua Ili Kubadili Maisha Yako.

“The moment you accept responsibility for everything in your life is the moment you can change anything in your life.” Hal Elrod. Rafiki yangu hatua ya kwanza kuchukua ili kubadili maisha yako, ni kukubali kwamba kila kitu kwenye maisha yako ni wajibu wako. Hapa unaondokana kabisa na kulaumu na kulalamikia wengine pale ambapo maisha yako… Continue reading Hatua Ya 1 Kuchukua Ili Kubadili Maisha Yako.

Umuhimu Wa Kuacha Kutumia Maneno Hasi.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini maneno tunayotumia huwa yana maana kubwa na kuathiri sana maisha yetu. Maneno unayotoa yanatuma ujumbe ni aina gani ya fikra zinazotawala akili yako. Aina ya fikra zinazotawala akili yako ndiyo zitaamua kama utafanikiwa au kushindwa. Kuna maneno hasi huwa tunayatumia kama utani kivumishi cha vitu mbalimbali. Mfano,… Continue reading Umuhimu Wa Kuacha Kutumia Maneno Hasi.

Je, Unajua Wewe U Adui Wako M8wenyewe?

Rafiki yangu mpendwa moja ya changamoto kubwa zinazowazuia watu wengi kufuata kile wanachotaka ili kufikia mafanikio wanayotarajia ni kuwa wapinzani wao wenyewe. Kuwa adui wangu mwenyewe ni kikwazo namba moja kwangu kwenye kubadili maisha yangu na kufikia mafanikio makubwa. Kama sitaacha kuwa adui wangu mwenyewe hakuna kitakachobadilika maishani mwangu. Safari ya kuibadili maisha yangu na… Continue reading Je, Unajua Wewe U Adui Wako M8wenyewe?

Sababu Ya Kusema Hapana Kwa Mengine Yote.

Rafiki yangu mpendwa unapochagua kitu ambacho utakifanya, unapaswa kukifanya kweli hadi kikamilike. Wengi hushindwa kwenye hili kwa sababu huhadaiwa na fursa nyingi mpya zinazowajia. Wanaacha kile walichochagua kufanya na kuanza kuhangaika na vitu vingine. Sina uhakika kama itakufaa, lakini kama unataka kufanikiwa usiwe kama hao wengi. Tumia kigezo cha NDIYO KUBWA kuchagua kile muhimu kwako… Continue reading Sababu Ya Kusema Hapana Kwa Mengine Yote.

Changamoto 2 Kubwa Kwenye Mabadiliko Ya Tabia.

Rafiki yangu mpendwa tunapojaribu kubadili tabia, iwe ni kujenga tabia mpya au ni kuvunja tabia mbaya. Huwa tunakwama kwa sababu ya changamoto kubwa mbili. Moja tunajaribu kubadili kitu kisicho sahihi, yaani tunachobadili siyo kinachoweza kutuletea matokeo tunayoyataka. Mbili ni tunajaribu kubadili tabia kwa njia isiyo sahihi. Sina uhakika kama itakufaa, lakini kwenye kubadili kisicho sahihi,… Continue reading Changamoto 2 Kubwa Kwenye Mabadiliko Ya Tabia.

Uwekezaji Bora Na Rahisi Kufanya .

Rafiki yangu mpendwa uwekezaji bora kabisa na muhimu kwenye maisha yako, tena ambao hautakugharimu ni kwenye vitabu. Kwa gharama ndogo sana utanunua uzoefu wa watu walioishi miaka mingi na kufanya makubwa. Hivyo kila unapopata, fanya uwekezaji huu, nunua vitabu vingi kuliko hata unavyoweza kuvisoma. Na katika usomaji wa vitabu, jua havifanani, kuna vitabu ambavyo hutamaliza… Continue reading Uwekezaji Bora Na Rahisi Kufanya .

Maadili 13 Ya Benjamin Franklin.

Rafiki yangu mpendwa tunajifunza leo kuhusu msingi wa maisha ambao Benjamin Franklin alijijengea kwenye maadili 13 aliyochagua kuyaishi na kujipima nayo. Maadili hayo ni kama yafuatayo; Moja. Ujasiri kuwa makini kwenye unywaji na vyakula. Pili. Ukimya kuepuka mazungumzo yasiyo na maana na kuepuka kutumia maneno machafu Tatu. Mpangilio kila kitu kifanyike kwa mpangilio mzuri. Nne.… Continue reading Maadili 13 Ya Benjamin Franklin.

Uhitaji Wa Kuwa Tayari Kujaribu.

Rafiki yangu mpendwa mara kwa mara umekuwa ukipata mawazo mazuri na bora sana ambayo yana nguvu ya kuleta mafanikio makubwa. Labda ni namna ya kufanya kazi yako kwa ubora zaidi. Au namna unaweza kuifanya biashara yako kwa viwango vya juu. Lakini kadiri unavyoendelea kuyafikiria mawazo hayo mazuri, wasiwasi unaibuka ndani yako, unaona huwezi kuyatekeleza ,… Continue reading Uhitaji Wa Kuwa Tayari Kujaribu.

Hofu 1 Inayoongoza Kwa Kuua Ndoto Za Watu

Rafiki yangu mpendwa kama kuna kitu ambacho kinawazuia watu wengi kufanikiwa ni hofu. Hofu imekuwa kikwazo kwa watu wengi kuchukua hatua na kuweza kufanikiwa kwenye maisha yao. Watu wanakuwa na ndoto kubwa, wanaweka mipango mizuri, lakini inapofika kwenye utekelezaji ndipo hofu huchukua nafasi hiyo na basi watu hawaanzi. Zipo hofu nyingi, lakini hofu moja kubwa… Continue reading Hofu 1 Inayoongoza Kwa Kuua Ndoto Za Watu

Sifa 4 Za Kufanya Kwa Makusudi.

Rafiki yangu mpendwa ili uweze kufaulu kwa mambo yako unayofanya unapaswa ufanye kwa makusudi maalumu. Inasemekana kwamba inachukua mtu masaa elfu kumi ya kufanya kwa makusudi ili kuweza kufikia mafanikio makubwa. Yaani angalau miaka kumi ili kufikia ‘ the world class ‘ kufanya bila kuacha. Jambo la kwanza ni kuweka malengo . Watu wengi wanafanya… Continue reading Sifa 4 Za Kufanya Kwa Makusudi.