Fanya Mazoezi Ili Kuwa Mbunifu.

Rafiki yangu mpendwa watu wengi wanaposikia na kufikiria kuhusu kufanya mazoezi, huwa wanajiangalia wao wenyewe. Huona wanafanya mazoezi ili kupunguza uzito au kuwa na afya bora. Lakini mazoezi ni zaidi ya wewe kupunguza uzito na kuwa na afya bora, na imara itakayokuwezesha kufanya kazi yako kwa muda mrefu zaidi bila kuchoka haraka. Unapofanya mazoezi akili… Continue reading Fanya Mazoezi Ili Kuwa Mbunifu.

Kwa Nini Furaha Yako Isitegemee Vitu Vya Nje.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini ili uwe na maisha ya furaha kila mara kwenye maisha yako, furaha yako haifai kabisa itegemee vitu vya nje kama; magari,vyumba,pesa,na kadhalika. Bali inafaa itoke ndani yako hufurahie yale umejaaliwa kuwa nayo. Kama unataka kuwa huru kwenye haya maisha basi hakikisha furaha yako isitoke au kutegemea vitu… Continue reading Kwa Nini Furaha Yako Isitegemee Vitu Vya Nje.

Kuwa Chanya Asubuhi.

Rafiki yangu mpendwa, unapoianza siku yako na kama unataka siku yako nzima iwe nzuri unapaswa kuianza asubuhi. Kuwa na mawazo chanya asubuhi, unakuwa ni wakati wa kuibadilisha kabisa siku yako. Kitendo tu cha kujitamkia maneno chanya, kinabadili kabisa siku yako nzima. Asubuhi unapoamka , jiambie maneno chanya kama vile. Mimi ni mshindi nimezaliwa kushinda. Leo… Continue reading Kuwa Chanya Asubuhi.

Jiamini Na Amini Kwenye Ndoto Yako Kubwa.

“Believe in yourself and you will be unstoppable.” Emily Guay. Utakapojaribu kufanya kitu chochote kikubwa kwenye maisha yako, ndiyo utaujua uhalisia wa dunia, kila kitu kutaibuka kukupinga na kukuzuia . Vitaibuka vikwazo ambavyo hata hukuwahi kuvifikiria. Hata ndugu na jamaa wa karibu watakuwa kikwazo kikubwa kwako. Nguvu ya kukupinga itakuwa kubwa kiasi kwamba huwezi kabisa… Continue reading Jiamini Na Amini Kwenye Ndoto Yako Kubwa.

Salaam Za Kheri Ya Mwaka Mpya 2024 Kutoka Kwa Maureen Kemei.

Rafiki yangu mpendwa, salaam alaikum. Napenda nichukue nafasi hii kukutakia kheri ya mwaka mpya 2024. Sina uhakika kama itakufaa, lakini ule mwaka uliokuwa umesubiri sana kwa hamu ndio huu hapa umefika. Bila shaka umeanza kufanyia kazi mambo yote uliyokuwa umesema kwamba utayafanya ndani ya huu mwaka, sasa ndiyo muda nzuri sana wa kufanya na kukamilisha… Continue reading Salaam Za Kheri Ya Mwaka Mpya 2024 Kutoka Kwa Maureen Kemei.

Ni Kitu Gani Unathamini Sana Kwenye Maisha Yako?

Karibu kwenye makala hii ambayo itajadili kuhusu kitu muhimu ambayo watu wanaithamini sana kwenye maisha. Kila mtu kuna kitu anachokithamini zaidi kwenye maisha na hiyo ndiyo kinamsukuma kufanya maamuzi yote ya maisha yake. Wanaofanikiwa ni wale wanaojua kile wanachothamini zaidi na kuishi maisha yao kwa namna ambayo wanakifanyia kazi. Sina uhakika kama itakufaa, lakini huwezi… Continue reading Ni Kitu Gani Unathamini Sana Kwenye Maisha Yako?

Jinsi Ya Kuepuka Migogoro Isiyofaa.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kuna wakati watu wanatukwaza na kufanya mambo yanayoenda kinyume na yale tunayosimamia. Katika nyakati hizo huwa tupo tayari kupambana nao ili kusimamia maadili au maamuzi yetu. Hili ni sahihi, kwa sababu kama huna unachosimamia, kila kitu kitakuangusha. lakini siyo kila vita unapaswa kupigania, siyo kila mgogoro unapaswa… Continue reading Jinsi Ya Kuepuka Migogoro Isiyofaa.

Mambo 6 Ya Kujifunza Kutoka Kwa Leonardo Da Vinci.

Rafiki yangu mpendwa Robina anatushirikisha aliyojifunza baada ya kutembelea jumba la makumbusho ya kazi za Leonardo da Vinci ambaye anachukuliwa kuwa mtu mbunifu zaidi kuwahi kuishi hapa duniani. Wengi waliamini uwezo wake haukuwa wa kibinadamu, bali kulikuwa na uungu ndani yake. Kwani katika kipindi chake alifanya makubwa kwenye sekta mbalimbali kama usanifu, uinjinia, sayansi ya… Continue reading Mambo 6 Ya Kujifunza Kutoka Kwa Leonardo Da Vinci.

Siri 4 Za Kujenga Mtazamo Wa Uwezekano.

Rafiki yangu mpendwa tunaishi kwenye kipindi ambacho mambo hasi yanapewa nguvu kubwa na ni rahisi sana kukata tamaa. Lakini pia njia za mkato ambazo siyo sahihi zimekuwa nyingi na kuwapoteza wengi. Tunapaswa kuwa na njia ya kujilinda ili kutokukata tamaa na kufanya yaliyo sahihi. Ili kutokukata tamaa, tunapaswa kujaza akili zetu fikra sahihi za ndoto… Continue reading Siri 4 Za Kujenga Mtazamo Wa Uwezekano.

Uongo Wa Kufikiri Chanya.

Rafiki yangu mpendwa, bila shaka umekuwa ukisikia kufikiri chanya kunahubiriwa sana kwenye kutengeneza mtazamo sahihi wa mafanikio. Ni kweli kufikiri chanya kuna manufaa kuliko kufikiri hasi, lakini pia pasipokuwa na mpango sahihi, kufikiri chanya kunaweza kuwa tatizo kubwa. Watu wengi wamekuwa wakitumia kufikiri chanya kama njia ya kukwepa na kujaribu kuzika hisia zao. Pale wanapokutana… Continue reading Uongo Wa Kufikiri Chanya.