Siri 3 muhimu za kuishi maisha yenye furaha.

Rafiki yangu mpendwa Sina uhakika kama itakufaa, lakini akili zetu zimezingatia kuishi. Chochote zaidi ya hayo, lazima ufanyike kazi. Rafiki Sina uhakika kama itakufaa, lakini kuna sababu ya bahati mbaya kwa nini furaha mara nyingi haipatikani, akili zetu haziunganishwa kwa njia hiyo. Badala yake, akili zetu zimebadilika ili kuishi, kujilinda , kutuweka salama. Hakika, tuna… Continue reading Siri 3 muhimu za kuishi maisha yenye furaha.

Kwa nini unapaswa uwe na lengo halisi.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kwa chochote ambacho mtu unafanya, unapaswa kuwa na lengo halisi linalokuongoza. Unapokosa lengo, unajikuta ukihangaika na kila kitu, maana kila kitu kinakuwa na umuhimu kwako. Seneca anashauri hata kwenye usomaji wa vitabu, bila malengo mtu anajikuta anahangaika na kila kitabu, akisoma vingi kwa haraka na asiwe na… Continue reading Kwa nini unapaswa uwe na lengo halisi.

Namna ya kujifunza somo, siyo mfano.

Rafiki yangu mpendwa kwenye kila kitu, kuna somo kubwa unaloweza kujifunza linaloendana na wewe au kile unachofanya. Tatizo ni kuwa watu wengi hawajifunzi kwa sababu wanakuwa na ubaguzi. Wanataka mifano inayoendana na kile tu wanachofanya wao. Unaweza kupata somo kubwa kutoka kwenye mfano wowote. Kwa mfano kitabu kinachohusu mapishi kinaweza kukufundisha mambo mengi kuhusu biashara.… Continue reading Namna ya kujifunza somo, siyo mfano.

Fanya zaidi kile kinachokutisha.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini Derek kwenye kitabu chake cha ‘hell yeah or no,’ anatuambia huwa ana kauli mbiu moja anayoishi kwenye maisha yake, ambayo ni hii; chochote kinachokutisha ndiyo unapaswa kufanya zaidi. Anatuambia kwa miaka 30 amekuwa akifuata kauli mbiu hiyo na imemwezesha kufanya makubwa sana. Ikiwa chochote unachotaka, ila kinakutisha… Continue reading Fanya zaidi kile kinachokutisha.

Je unadhani hujapata unachopenda kufanya?

Rafiko yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kama unadhani bado hujajua kusudi la maisha yako au hujajua nini unapenda kufanya, basi jua unajikwamisha wewe mwenyewe. Nadhani bado unasema huenda unategemea kiwe ni kitu kikubwa na chenye kishindo. Badala ya kusubiri kikubwa cha kusisimua, anza na vidogo vidogo vinavyokuvutia kufanya. Angalia ni vitu gani unavyopenda… Continue reading Je unadhani hujapata unachopenda kufanya?

Hadithi yenye funzo kubwa.

Mkulima mmoja alikuwa na farasi wake mmoja ambaye alimtegemea sana kwa shughuli zake. Siku moja farasi yule akapotea na hivyo hakurudi tena. Majirani zake walikuja kumfariji, wakimpa pole na kumwambia ana bahati mbaya kupotelewa na farasi. Mkulima yule aliwasikiliza kisha akawajibu, tutaona. Siku chache baadaye yule farasi aliyepotea alirudi, akiwa akiongozana na farasi wengine 20.… Continue reading Hadithi yenye funzo kubwa.

Kufurahia vitu vidogo vidogo.

Rafiki yangu mpendwa, watu wengi huwa wanalalamika furaha huwa haidumu kwa sababu wanategemea kupata furaha kwenye mambo makubwa. Hivyo wanaweka muda mrefu na juhudi kubwa kupata vitu hivyo vikubwa. Wanapovipata wanakuwa na furaha, ila furaha hiyo huwa haidumu kwa muda mrefu. Hilo ndiyo huwa linawaumiza watu, kwamba kwa kipindi chote walichopambania ili kukipata kitu, kinaishia… Continue reading Kufurahia vitu vidogo vidogo.

Kupenda kukosea.

Rafiki yangu mpendwa pata picha unafanya mambo bila kukosea, yaani hata wakati unajaribu mambo mapya unafanya tu bila kukosea. Utajiskiaje kama unafanya mambo tu bila kukosea? Bila shaka hautajua kama unaenda vizuri au huendi vizuri. Kama hukosei maana yake unafanya vitu rahisi na unafanya mambo kwa mazoea kabisa. Naamini upo kama mimi kwamba, hupendi kwenda… Continue reading Kupenda kukosea.

Njia bora ya kukabiliana na malalamiko na kulaumu.

Pata picha jinsi inavyokuwa rahisi sana kuwalaumu wengine, pale unapokutana na matatizo au changamoto fulani kwenye maisha yako. Labda ni watu wamekudanganya, wamekusaliti, wamekuibia au wamekutekeleza. Ni rahisi kuwalaumu wengine na kufarijika na kwa lawama hizo, ila sasa hazitakuwa na msaada wowote kwako. Njia bora ya kukabiliana na hali kama hizo ni kuchukulia kila kitu… Continue reading Njia bora ya kukabiliana na malalamiko na kulaumu.