Kwa nini unapaswa kujipa muda wa kufikiri na kutafakari.

Rafiki yangu mpendwa watu wengi hudhani kujibu haraka ni kuonekana una akili zaidi. Yaani kwamba mtu anayechukua muda wa kufikiri kwa kina kabla hajajibu basi ni mjinga au hajui. Sina uhakika kama itakufaa, lakini Derek kwenye kitabu chake cha ‘hell yeah or no’ anatuambia yeye ni mtu wa kufikiri kwa taratibu na huwa hakimbilii kujibu… Continue reading Kwa nini unapaswa kujipa muda wa kufikiri na kutafakari.

Jinsi hatua ndogo zinavyobadili utambulisho wako.

Rafiki yangu mpendwa unajua nini kuhusu kuchukua hatua ndogo ndogo kwenye kila siku yako? Usiwe na wasiwasi maana kuna umuhimu mkubwa wa kuchukua hatua ndogo ndogo kwenye kila siku ya maisha yako. Habari njema ni kwamba unapoanza kuchukua hatua ndogo kwenye kupambania ndoto zako inabadili sana utambulisho wako. Pata picha unafikiria kufanya mambo makubwa na… Continue reading Jinsi hatua ndogo zinavyobadili utambulisho wako.

Kitu pekee kinachodhihirisha thamani yetu.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kitu pekee kinachodhihirisha thamani ni kuchukua hatua ya kufanya kuliko kuongea (yaani matendo na siyo maneno). Unaweza kusema utakavyo, lakini watu wataamini zaidi kile unachofanya. Maneno ni rahisi, kila mtu anaweza kusema atakavyo. Lakini matendo ni magumu na hayo ndiyo yanayothihirisha kweli mtu anasimamia wapi. Utajiskiaje kama… Continue reading Kitu pekee kinachodhihirisha thamani yetu.

Madhara ya kijilinganisha na wengine.

Sina uhakika kama itakufaa, lakini changamoto kubwa ya watu wengi kwenye zama hizi ni kijilinganisha na wengine. Na kujilinganisha na wengine huwa na madhara ya aina mbili. Moja ni pale mtu anapokuwa anajiona ana uwezo mkubwa kuliko wengine, hapo husukumwa kuthibitisha uwezo wao mkubwa na hivyo kuacha kujifunza. Upande wa pili ni pale mtu anapojilinganisha… Continue reading Madhara ya kijilinganisha na wengine.

Imani za kujijengea ili usijiwekee ukomo.

Tambua kwamba huwezi kupata muda, bali unapaswa kutenga muda. Kama kitu ni muhimu, unatenga muda wa kukifanya . Hapa unahitaji kuweka vipaumbele vyako sawa. Tambua ukweli huu kwamba hulazimiki kufanya chochote kile. Kila unachofanya na muda wako, umechagua mwenyewe. Hakuna aliyekushikilia bastola na kukuambia usipofanya hivi nakuua. Umechagua mwenyewe hivyo mamlaka ni yako, unaweza kuchagua… Continue reading Imani za kujijengea ili usijiwekee ukomo.

Namna ya kudhibiti fikra zako.

Rafiki yangu mpendwa watu wengi hudhani hawawezi kudhibiti fikra zao. Lakini hilo siyo kweli, kudhibiti akili na fikra ni kitu kinachowezekana kabisa. Na kwa kuwa akili zetu ndiyo zinatupa kila kitu kwenye maisha yetu, udhibiti wake ni hatua muhimu ambayo kila mtu anapaswa kuifanyia kazi. Kudhibiti akili na fikra ni kitu ambacho kimekuwa kinafundishwa tangu… Continue reading Namna ya kudhibiti fikra zako.

Jinsi ya kubali yaliyo nje ya uwezo wetu.

Rafiki yangu mpendwa kwenye falsafa ya ustoa, kuna dhana moja ambayo inaitwa amori fati ikiwa na maana kwamba, ipende hatima yako yaani love your fate. Maana ya kubwa ya dhana hii kwenye falsafa ya ustoa ni kwamba wastoa waliamini tunapaswa kupokea kila kitu kinachotokea kama vile tulitaka kitokee. Hii ina maana kwamba, chochote kile kinachotokea,… Continue reading Jinsi ya kubali yaliyo nje ya uwezo wetu.

Umuhimu Wa Wewe Kuwa Tajiri.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kinachowatofautisha wanaotajirika na wanaobaki masikini ni tabia. Hivyo kwa kuzijua tabia za kitajiri na kuziishi kwenye maisha yako ya kila siku, unakuwa kwenye nafasi nzuri ya kufikia utajiri pia. Mambo mengi sana yamekuwa yanasemwa kuhusu utajiri na matajiri, lakini mengi kati ya mambo hayo siyo sahihi. Mengi… Continue reading Umuhimu Wa Wewe Kuwa Tajiri.

Tatizo la kukata tamaa.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini je, unatumia muda mwingi kufikiria kuwa wewe huyuko mzuri sana kwenye kuchukua hatua ili kufikia malengo yako. Aina kama hizi za mawazo zinakuzuia kwenye kuifikia malengo yako . Ukikata tamaa mapema, utakaso fursa nzuri kwenye maisha yako. Kuanguka ni nafasi nzuri kwenye maisha kama tu utasonga mbele… Continue reading Tatizo la kukata tamaa.

Zawadi Yenye Thamani Kubwa.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kitu kigumu zaidi kurudisha kwenye maisha ni muda uliopotea. Ukishapoteza muda, huwezi tena kuupata. Muda ni zawadi yenye thamani kubwa, kwa sababu ni kupitia muda ndiyo tunaweza kufanya yote tunayopanga kufanya. Lakini wapo maadui wawili ambao wamekuwa wakiiba na kupoteza muda wa wengi. Maadui hao ni uvivu… Continue reading Zawadi Yenye Thamani Kubwa.