Rafiki yangu mpendwa moja ya nguvu muhimu unayopaswa kuwa nayo maishani ni uwezo wa kuwaachia watu waendelee na safari yao—hasa wale wasioona thamani yako. Kama utaendelea kushikilia mahusiano na watu wanaokudharau au kukufanya ujione mdogo, utapoteza kujiamini na hatimaye utaishi kwa mashaka na hofu. Leo amua kujiamini! Jipende na jithamini kwa sababu thamani yako haiamuliwi… Continue reading Nguvu Ya Kujiamini Na Kujitathamini.
Category: Uncategorized
Mawazo 10 Ya Kusaidia Kuboresha Tabia Ya Kusoma Mara Kwa Mara.
Rafiki yangu mpendwa karibu tujifunze mbinu kumi ya kuboresha tabia ya kusoma mara kwa mara. Chukua hatua; rafiki unaweza kuanza na mbinu chache kwanza na kuziongeza polepole ili iwe tabia ya kudumu. Rafiki yako, Maureen Kemei.
Njia Ya Ustoa Ya Kutafuta Utulivu Kwenye Maisha.
Rafiki yangu mpendwa falsafa ya kiyunani ya kale ambayo inasisitiza kudhibiti hisia, kujitawala, na kutafuta utulivu na furaha kwa njia ya maisha yaliyothibitiwa. Baadhi ya mbinu kuu za ustoa unazoweza kutumia ili kupata utulivu kwenye maisha yako ni kama yafuatayo; Kila kitu kilicho cha nje kinaweza kinaweza kuja na kuondoka, lakini utulivu na maadili ni… Continue reading Njia Ya Ustoa Ya Kutafuta Utulivu Kwenye Maisha.
Jinsi Ya Kuvunja Kuanzia Sifuri.
Rafiki yangu mpendwa ukiona mafanikio ya watu wengine ujue kuwa wamepambana hadi wakapata mafanikio hayo. Hapa kuna baadhi ya mambo ya kufanya ili kuepuka kuanzia sifuri kila mara. Chukua hatua; rafiki yangu vikiwemo maoni, mfumo na mauzo utakuwa umeewaacha watoto maeneo salama wataweza kuendesha maisha yao salama. Na pia utakuwa umeewaacha alama nzuri duniani. Rafiki… Continue reading Jinsi Ya Kuvunja Kuanzia Sifuri.
Njia 20 Za Kisayansi Za Kutafuta Wateja, Kishawishi Na Kufunga Mauzo.
Rafiki karibu sana leo tunajifunza kuhusu njia za kusaidia kuunda mfumo wa mauzo. Njia hizo ni kama yafuatayo; Chukua hatua rafiki, wewe kama muuzaji uza kila siku, fuatilia wateja wako. Rafiki yako, Maureen Kemei. kemeimaureen7@gmail.com
Ushauri Ambao Ningependa Kuwaambia Watoto Au Mtu Yeyote Ili Kuwa Na Maisha Bora Yenye Mafanikio Na Anthony Pompliano Kwenye Kitabu Chake Cha ( How To Live An Extraordinary Life).
Rafiki yangu mpendwa Anthony aliandikia watoto wake barua, huku anajishauri yeye mwenyewe kuhusu maisha aliyoyapitia. Mahali alipopotia yeye aliandika barua 65. Karibu sana tujifunze. Chukua hatua, rafiki yangu mpendwa huu ndio ushauri ambao tunapaswa kufanyia kazi sisi wenyewe kwanza kabla ya kuwashuri watoto wetu au watu wengine. Mimi naifanyia kazi sasa hivi. Rafiki yako, Maureen… Continue reading Ushauri Ambao Ningependa Kuwaambia Watoto Au Mtu Yeyote Ili Kuwa Na Maisha Bora Yenye Mafanikio Na Anthony Pompliano Kwenye Kitabu Chake Cha ( How To Live An Extraordinary Life).
Jinsi Ya Kufuata Mkumbo Kwenye Kufanya Manunuzi (social proof).
Rafiki yangu mpendwa kama wengi wananunua na wewe unakimbilia hapo kununua . Hivyo tunaamini katika wengi, wengi wanaiga kwenye kununua vitu. Wanaofanya maamuzi kwa mantiki ni asilimia 5 tu, wengine wanafuata mkumbo. Njia kumi za kutumia kuongeza mauzo kwa kutumia social proof ni kama yafuatayo; Chukua hatua, rafiki wengi wanapofanya jambo fulani tunafikiri ndiyo jambo… Continue reading Jinsi Ya Kufuata Mkumbo Kwenye Kufanya Manunuzi (social proof).
Mambo 10 Ya Kufanya Ili Kutenga Muda wa Kusoma Na Kuandika.
Rafiki yangu mpendwa ikiwa unataka kutenga muda wa ufanisi wa kuandika, kusoma au kufanya mazoezi licha ya ratiba yako yenye shughuli nyingi. Hapa kuna mawazo kumi ya kuboresha upangaji ea muda wako. Chukua hatua, kwa mbinu hizi, utaweza kusawazisha muda wako vyema kwa ajili ya kuandika, kusoma na kufanya mazoezi. Rafiki yako, Maureen Kemei.
Jinsi Ya kudhibiti Hasira( Ustoa).
Rafiki yangu mpendwa hasira ni asili ya binadamu ila inatupasa tujidhibiti. Hisia zikiwa juu uwezo wa kufikiri unakuwa chini. Tunapaswa kukabiliana na changamoto yoyote ambayo yanajitokeza, kuna mambo yaliyopo ndani ya uwezo wetu na mengine yapo nje ya uwezo wetu. Sisi sio viranja wa dunia. Kufanya kazi ipo ndani ya uwezo wetu. Kazi isipokamilika ndani… Continue reading Jinsi Ya kudhibiti Hasira( Ustoa).
Mambo 7 Ya Kujifunza Kutoka Kwa Muuzaji Bora Kuwahi Kutokea Joe Girald
Rafiki yangu mpendwa Joe Girald ambaye ni muuzaji bora kuwahi kutokea alivunja recodi ya dunia akiwa muuzaji bora wa magari huko Michigan. Mambo sapa ya kuondoka nayo ni kama yafuatayo; Rafiki hayo Mambo sapa ya kujifunza ili kuboresha mauzo yetu na hakika tukifanyia kazi tutakuwa wauzaji bora kuwahi kutokea. Rafiki yako, Maureen Kemei.