Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini matajiri huwa wanachukua hatua licha ya kuwa na hofu, wanajua njia ya kuishinda hofu ni kufanya kile wanachohofia. Ni kwa njia hiyo wamekuwa wanazalisha matokeo makubwa na ya tofauti kabisa. Masikini wamekuwa wanaruhusu hofu iwe kikwazo kwao, wanapanga kuchukua hatua na hofu inapowajia, wanaacha kufanya. Safari ya… Continue reading Kwa nini tunapaswa kukataa kuzuiwa na hofu.
Category: Uncategorized
Umuhimu wa kuwaelewa wengine.
Rafiki yangu mpendwa tabia inayowafanya watu kuwa na ufanisi mkubwa ni kuwa msikilizaji mzuri kutoka kwenye kitabu cha habits of highly effective people. Mwandishi anatueleza kuwa mawasiliano ni muhimu sana katika kila eneo la maisha, kuanzia kazi, biashara, ndoa, familia na hata urafiki. Mawasiliano yamekuwa changamoto kwa wengi kwa sababu tunafundishwa kuongea, ila kuna kimoja… Continue reading Umuhimu wa kuwaelewa wengine.
Jinsi ya kuwa makini na mwenye maono.
Rafiki yangu mpendwa watu wote wenye ufanisi mkubwa na ambao wanafikia mafanikio makubwa kwenye maisha yao ni watu makini. Ni watu ambao wana maono kwenye maisha yao na wanayaishi maono hayo. Watu hawa wanajua ni nini wanachotaka kwenye maisha, na wanakifanya kazi kila siku. Watu wenye ufanisi mkubwa wanajua ya kwamba maisha yao ni jukumu… Continue reading Jinsi ya kuwa makini na mwenye maono.
Ni nini adui wa mafanikio yako?
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kila kitu kizuri chenye manufaa huwa kinakuwa na maadui wake. Kadhalika ufanisi wa hali ya juu huwa unakuwa na maadui ambao unapaswa kuwajua na kuwashinda ili uweze kujijengea hali hizo mara kwa mara na kufanya makubwa. Adui wa kwanza ni kufanya mambo mengi kwa pamoja. Huwezi kuzama… Continue reading Ni nini adui wa mafanikio yako?
Misingi minne ya kufanya Kwa kusudi.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kuna njia mbili za kufanya chochote unachofanya. Njia ya kwanza ni kufanya kwa mazoea, hapa unafanya kama unavyozoea na hujisukumi kujaribu kitu chochote kipya. Kwa njia hii hujifunzi chochote kipya wala hujaribu chochote cha tofauti. Kufanya kwa mazoea ndipo wengi wanakwama na kushindwa kupiga hatua kwenye kile… Continue reading Misingi minne ya kufanya Kwa kusudi.
Umuhimu wa kuwa na udhibiti.
Rafiki wangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini tafiti mbalimbali zimekuwa zinaonesha watu wanakuwa na ufanisi mkubwa kwenye kazi wanazofanya, pale wanapokuwa na udhibiti kwenye kazi. Watu wanapokuwa na udhibiti wa kuamua nini wafanya na wakifanye kwa namna gani, wanapoamua watumieje muda wao, wanakuwa na ufanisi mzuri. Hivyo hatua muhimu unayopaswa kuchukua Ili kujenga kazi… Continue reading Umuhimu wa kuwa na udhibiti.
Faida za kufikiri chanya.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kufikiri chanya kuna manufaa makubwa kwa yeyote anayefanya hivyo. Kwanza kabisa kunafanya afya ya mtu kuwa imara. Tafiti zinaonesha wanaofikiri chanya wana hatari ndogo ya kupata magonjwa ya moyo ukilinganisha na wanaofikiri hasi. Pili wanaofikiri chanya wanaona fursa nyingi za uwezekano kuliko wanaofikiri hasi. Unapofikiri chanya ni… Continue reading Faida za kufikiri chanya.
Umuhimu wa kubadili mtazamo wako.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kuna hadithi maarufu kutoka katika kitabu cha Acres of diamonds cha Russell H. Conwell, kinachomhusu mkulima aliyeuza shamba lake baada ya mtu mwenye hekima kumwambia kuwa akiwa na kipande kidogo cha almasi kama kidole gumba chake anaweza kuwa tajiri mkubwa na mwenye nguvu, pia akiwa na kipande… Continue reading Umuhimu wa kubadili mtazamo wako.
Umuhimi wa kubadili mtazamo wako.
Rafiki yangu mpendwa, mara nyingi mtazamo wako ndiyo unaokutofautisha na wengine. Nini mtazamo wako juu ya maisha, mafanikio na uwezo. Kuna aliyefanya utafiti kidogo tu juu ya mtazamo ya watu. Aliweka maji kwenye glasi. Kuna aliyeona glasi imejaa nusu, kuna aliyeona nusu haijajaa au haikujaa nusu. Watu hao wawili wana mtazamo tofauti. Mtazamo wako juu… Continue reading Umuhimi wa kubadili mtazamo wako.
Njia 10 za kumfanya mtu ajiskie wa muhimu.
Rafiki yangu mpendwa kila binadamu anahitaji kujiskia ni wa muhimu na kuheshimiwa na wengine, kila mtu anatakiwa kupendwa na anataka ajiskie ni wa muhimu. Hatua ya kwanza ya kumfanya mtu ajiskie ni wa muhimu ni kuwa kama una tatizo ambalo mtu mwingine anaweza kukusaidia kulitatua, basi mwambie hivi, ” Wewe ni mtu muhimu katika swala… Continue reading Njia 10 za kumfanya mtu ajiskie wa muhimu.