Kwa nini ni muhimu kutafuta ushauri kutoka kwa watu unaowajua wamefanikiwa.

Kumbuka rafiki yangu kwamba, watu wanaokuambia huwezi, mara nyingi ni watu wa kawaida saana,na ni watu ambao hawana mafanikio. Mawazo na mawaidha ya watu hawa yanaweza yakawa ni sumu kwako. Unapaswa ujiwekee ulinzi dhidi ya watu wanaokushawishi kwamba huwezi kufanikisha jambo fulani. Kamwe husikubali watu wenye fikra hasi wakuvute chini kwenye sehemu yao walipo. Fanya… Continue reading Kwa nini ni muhimu kutafuta ushauri kutoka kwa watu unaowajua wamefanikiwa.

Dalili kuu za watu wasiosaidika.

” It’s hard to help people who don’t think they have a problem. It’s impossible to fix people who think someone else is the problem. ” Marshall Goldsmith. Kuna watu unaweza kuwa unakazana kuwabadili sana kwenye maisha yako. Unawawekea vizuri mazingira yote yatakayowasaidia kwenye kubadilika lakini hawabadiliki. Wakati mwingine ni wewe wenyewe, unasukumwa sana kubadilika… Continue reading Dalili kuu za watu wasiosaidika.

Aina 2 ya usumbufu.

Ubongo wetu ni rahisi sana kusumbuliwa, tunapokuwa tunafanya kazi, kitu chochote kipya kinachotokea, ni rahisi kututia kwenye kile tunachofanya na kujihusisha na kitu hicho kipya. Ndiyo maana ni vigumu sana kufanya kazi muhimu ukiwa kwenye eneo lenye kelele, akili yako haiwezi kutulia kwenye kile unachofanya. Kuna usumbufu wa nje, ambao unatokana na vitu vipya vya… Continue reading Aina 2 ya usumbufu.

Kujijua ni nini hasa katika saikolojoa.

Mimi ni nani? Swali rahisi lakini la kina kabisa. Swali lingine la uchochezi ni “kwa nini ninatenda jinsi ninavyofanya?” Ikiwa unajiuliza maswali kama hayo, hauko peke yako. Wakati hatujitambui au kutenda kwa njia ambazo hatuelewi au hatupendi, inaweza kuwa ishara kwamba mabadiliko yanafaa. Lakini swali ni je, tunabadilikaje? Na nini kinachohitajika hili kubadilishwa? Einstein aliwahi… Continue reading Kujijua ni nini hasa katika saikolojoa.

Usiangalie upande mbaya pekee.

“Things go wrong occasionally, but when you focus on that, you miss the enormity of what goes right.” Loretta Graziano Breuning. Ni kawaida yetu sisi binadamu kuangalia upande mbaya wa jambo lolote lile. Kama huamini basi fungua TV, radio au gazeti linaloripoti habari. Kama habari mpasuko sana sana wanahabari wanaweka vipaumbele habari hasi. Kama kwa… Continue reading Usiangalie upande mbaya pekee.

Njia 10 za kutengeneza tabia za furaha.

Kila ambaye amekuwa anaanza kufanya kitu chochote kwenye maisha yake kwa lengo la kupata furaha amekuwa anaishia kujisikia vibaya baada ya kupata alichofikiri akipata kitampa furaha. Wengi wetu tunapokutana na hali hii huwa tunafikiri kuna shida kwenye kile tunachopata. Lakini ukweli ni kwamba shida haipo kwenye chochote tunachotaka, bali shida ipo ndani yetu. Furaha ya… Continue reading Njia 10 za kutengeneza tabia za furaha.

Kile kinachodhihirisha thamani yetu.

Binadamu tunaweza kusema tutakavyo, lakini watu huamini zaidi kile tunachofanya. Maneno ni rahisi, kila mtu anaweza kusema atakavyo. Lakini matendo ni magumu na hayo ndiyo yanadhihirisha kweli mtu anasimama wapi. Kama kwa kweli kitu ni muhimu kwako utakifanya, hutaishi tu kusema. Kama unakitaka kitu kweli utafanya kila namna mpaka ukipate, hautakubali kuzuiwa na chochote. Hivyo… Continue reading Kile kinachodhihirisha thamani yetu.

Njia 10 za kufanya watu wakukubali na kuwa karibu na wewe.

Hitaji Kubwa la asili ya  binadamu ni kukubalika na watu. Kwenye kitabu cha the power of positive thinking Dr Vicent Norman Peale, ametushirikisha njia kumi za kufanya watu watukubali na wawe karibu na sisi. Hatua ya kwanza ni kujifunza kukumbuka majina ya watu uliowahi kukutana nao. Kumwita mtu kwa jina lake linamfanya ajiskie anajaaliwa sana… Continue reading Njia 10 za kufanya watu wakukubali na kuwa karibu na wewe.

Njia 10 ya kupumzika kwa ajili ya kupata nguvu zaidi.

Utafiti ulifanywa kwamba idadi kubwa ya kesi ya watu wenye vidonda vya tumbo, nusu ya wao waliugua siyo kwa sababu za kiumbo bali ni kwa sababu wagonjwa walikuwa na hofu kupitiliza, chuki na wasiwasi uliopitiliza. Kwa kukaa kwenye mwanga wa jua na kufikiri maajabu ya Mungu na uwezo wake utakufanya upate nguvu ya ajabu katika… Continue reading Njia 10 ya kupumzika kwa ajili ya kupata nguvu zaidi.

Jinsi maisha yalivyo mzunguko.

Kwenye maisha ya kila siku, unaweza kuhangaika kutafuta kitu, halafu mwisho wa siku unarudi pale pale ulipoanzia, tena ukiwa vibaya zaidi kuliko ulivyoanza. Hasa kwenye zama hizi ambapo maendeleo makubwa yanaendelea kutokea kwenye teknolojia na pia yameleta usumbufu mkubwa sana. Hivyo basi, limesababisha watu wengi kukimbizana na mambo mengi yasiyokuwa na mchango yoyote kwenye maisha… Continue reading Jinsi maisha yalivyo mzunguko.