Madhara ya kusahau misingi yako.

Katika safari ya kuelekea kwenye uhuru wa kifedha na utajiri mkubwa, kujitofautisha na watu wengine ni jambo linalohitajika. Kujiwekea misingi ambayo unasimamia muda wote bila kuyumbishwa na matukio yoyote yanayotokea. Unapoacha kuishi misingi uliyojijengea, ndipo unapoanguka. Kuishi misingi yako mwenyewe inakupa uhuru wa kuamua kufanya mambo yako kwa mpangilio mzuri, bila kufuata mkumbo. Misingi hiyo… Continue reading Madhara ya kusahau misingi yako.

Mambo muhimu mawili  ya kuzingatia ili kujijengea msimamo.

Kitu kikubwa kinachowazuia watu kuishi maisha halisi kwao ni kukosa msimamo. Wengi huwa wanabadilika badilika kila mara, kiasi kwamba hawawezi kuaminiwa au kutegemewa kwenye kitu chochote. Wengi ni watu wa kubadili mawazo yao haraka na ndani ya muda mfupi. Wakati huu wanaamua hiki, ila baada ya muda mfupi wanaamua kingine ambacho ni tofauti kabisa na… Continue reading Mambo muhimu mawili  ya kuzingatia ili kujijengea msimamo.

Ni nini kanuni ya kukusaidia kutimiza maono yako.

Kanuni ya kwanza ni kujua uwezo wako. Ili uweze kufanikiwa katika maono yako, lazima ujue uwezo wako wa kutimiza maono hayo. Kwa kuwa umezaliwa kufanya jambo fulani, Mungu amekupa uwezo wa kuutimiza wito huo. Uko katika namna ambayo unapaswa kuliishi kusudi la maisha yako. Uwezo wako unaibuka na kugundulika pale ambapo unasema ndiyo kwenye ndoto… Continue reading Ni nini kanuni ya kukusaidia kutimiza maono yako.

Kikwazo kikuu kwenye kufikia utulivu wa kiroho.

Kikwazo kwetu tunachopata kwenye safari ya kufikia utulivu wa kiroho ambacho ni fikra na hisia zetu. Inaweza kuwa tupo eneo moja au kufanya shughuli fulani lakini fikra zetu zinawaza vitu vingine tofauti kabisa. Kwa kuwaza vitu vingine mbali na kile tunachofanya inatukosha kuona uzuri wa kile tunachofanya na pia tunachotarajia hapo mbeleni. Tunapaswa kuweka fikra… Continue reading Kikwazo kikuu kwenye kufikia utulivu wa kiroho.

Taswira ya mafanikio.

Mtu wa kawaida huwa anafikiria mawazo elfu mbili mpaka elf tatu kwa saa moja, na sehemu kubwa ya mawazo hayo ni mambo hasi yasiyo na faida yoyote kwa mtu. Sasa huo ni kupoteza muda na nguvu zako. Unahitaji kutumia mawazo yako kutengeneza taswira ya mafanikio yako, baada ya kuwa umeweka malengo yako. Pata picha ukiwa… Continue reading Taswira ya mafanikio.

Uhuru ni kuwajibika.

Watu wengi wanapokuwa kwenye hali ya kukosa uhuru, huwa wanapigana sana kupata uhuru,wakiamini kwamba watakapokuwa huru basi kila kitu kutakuwa rahisi kwao, watapata kila wanachotaka. Lakini huko ni kujidanganya, uhuru ni kuwajibika, kuyabeba majukumu yako na kujisimamia  wenyewe. Kwa kuwa wengi hawapendi kuwajibika, uhuru unaishia kuwa mzigo kwao na hivyo kutafuta namna ya kurudi kwenye… Continue reading Uhuru ni kuwajibika.

Ni nini dawa ya hofu zote?

Mojawapo ya uvumbuzi mkubwa zaidi katika ukuzaji wa “mtu wa utendaji ama aliyefanikiwa” ni kwamba hofu yako na kiwango chako cha kujistahi vina uhusiano wa kinyume au kinyume kwa kila mmoja. Kwa maneno mengine, unavyojipenda zaidi, ndivyo unavyoogopa kushindwa na kukataliwa. Viwango vyako vya juu vya kujistahi, ndivyo hofu na mashaka ya chini yanavyokurudisha nyuma.… Continue reading Ni nini dawa ya hofu zote?

Kusema hapana kunamaanisha nini?

Mtu anapoamua kusema hapana anamaanisha kwamba hawezi tena kuendelea na kile ambacho kimekuwa kinafanyika. Anaweka wazi mpaka kwamba mambo yamekwenda na kupitiliza mpaka kwa kile anachoweza kukubali. Hapana inamaanisha kuna mpaka ambao mtu hapaswi kuuvuka, bila ya kujali mamlaka ambayo mtu anayo. Mtu anayejua nini anapchopaswa kufanya kwa muda fulani, anaamini kwenye mipaka na pale… Continue reading Kusema hapana kunamaanisha nini?