Ni ipi nzuri zaidi, kulingana na Socrates.

Socrates hakutharau masomo ya asili au ‘falsafa ya asili,’ lakini hilo halikuwa jambo lake kuu. Pia hakuchukua pesa ili kufundisha ‘hekima,’ kama baadhi ya wale waliojiita ‘wenye hekima,’ walivyofanya. Kwa Socrates “Hekima,” inajumuisha kutafuta ukweli na wema. Kutafuta ukweli na wema hudokeza utambuzi wa ujinga wa mtu na mipaka, lakini, Socrates alisema, “Maisha yasiyochunguzwa hayafai… Continue reading Ni ipi nzuri zaidi, kulingana na Socrates.

Ufafanuzi wa maarifa kulingana na Socrates.

Socrates alidai kwamba kutafuta maarifa kwa bidii kunasababaisha uwezo wa mwanadamu kudhibiti tabia yake ipasavyo. Ikiwa mtu anachunguza hali kwa uangalifu, na kutoka kwa pembe kadhaa mwendo wa mantiki zaidi wa hatua utajionyesha. Kwa kutumia njia hii ya kufikiri mtu atakuwa na hekima. Socrates angeita huu uwezo wa kutawala sifa za nafsi yako ipasavyo na… Continue reading Ufafanuzi wa maarifa kulingana na Socrates.

Kufurahia tunachofanya.

Kwa wastani, kila mmoja wetu anatumia zaidi ya theluthi mbili ya maisha yake akiwa macho, yaani anakuwa hajalala. Na zaidi ya theluthi moja ya maisha yetu tunatumia kwenye kazi au biashara ambazo tunafanya. Hivyo, kila tunachofanya kwenye maisha yetu, kina mchango mkubwa sana kwenye hali yetu ya furaha na ubora wa maisha pia. Kuna watu… Continue reading Kufurahia tunachofanya.

Tafakari ya kwanza ya Descartes.

Katika tafakari ya kwanza Descartes anasema kuwa, ‘niliweka sababu ambazo kwayo tunaweza kwa ujumla, kuwa na shaka juu ya mambo yote hasa kuhusu mambo ya kimwili…’ Pia, anaanza kila tafakari kwa sentensi tangulizi ya muhtasari. Kwa tafakari ya 1 inazungumzia juu ya mambo ambayo yanaweza kuletwa ndani ya nyanja ya wenye mashaka. Kwa hivyo, jambo… Continue reading Tafakari ya kwanza ya Descartes.

Lengo kuu ni furaha.

Miaka 2300 iliyopita, Mwanafalsafa Aristotle alijumuisha kwamba watu wanatafuta furaha kuliko kitu kingine chochote. Kwamba lengo kuu la kila ambacho tunakifanya kwenye maisha yetu, ni kutegemea kupata furaha mwishoni. Na hili ndilo linawasukuma watu kuchukua hatua mbalimbali, kuanzia kuboresha afya zetu, kuboresha mwonekano wetu, kupata fedha na hata madaraka ni kwa lengo la kutengeneza furaha… Continue reading Lengo kuu ni furaha.

Kupoteza ili kupata.

Kwenye maisha kuna kupoteza hili kupata kitu inayoitwa trade off. Yaani hili kupata unachotaka, kuna kitu inabidi upoteze. Na kinachowazuia watu wengi wasipate wanachotaka ni kutokuwa tayari kupoteza walichonacho au wanachokipenda. Katika kutengeneza tabia za furaha, kuna vitu lazima uwe tayari kuvipoteza. Kwenye kitabu cha ‘habits of a happy brain,’ mwandishi amegawa makundi manne ya… Continue reading Kupoteza ili kupata.

Faida 5 za kujichunguza kulingana na Socrates.

Kufasiri yale ambayo Socrates alijua wakati huo,na kuyatafsiri kwa jamii ya kisasa. Kuna manufaa matano bora zaidi ya kujihoji. 1. Kufanya maamuzi sahihi : tunapochukua hatua ya kujichunguza tunapata ufahamu bora wa kile tunachokihitaji ili kuwa na furaha. Pia kwa kuchagua njia ambayo inatufaa kikazi, mahusiano na hata kitaaluma. 2. Kujua na kutumia nguvu iliyo… Continue reading Faida 5 za kujichunguza kulingana na Socrates.

Ni wewe pekee unayejizuia.

Katika maisha yetu kila anayeumia ana mtu wa kumlaumu, na huwa hawakosekani. Kila anayeshindwa kwenye maisha ana watu wa kuwatupia lawama, na hawakosekani. Kila mara hasa kipindi hiki unasikia watu wakisema utawala ni mbaya, uchumi mbovu, maisha yamekuwa magumu sana kila kitu kimepanda. Wazazi wamelegea kwenye malezi na hata mazingira siyo rafiki sana. Lakini, ukweli… Continue reading Ni wewe pekee unayejizuia.

Kanuni za falsafa.

Mmoja wa wanafalsafa Rene Descartes anatilia shaka imani zetu zote. Zoezi hili linakusudiwa kutuweka huru kutokana na kutegemea hisia,hili tuweze kutafakari ukweli wa kiakili tu. Mashaka huanzishwa katika hatua mbili. Hatua ya kwanza, imani zote ambazo tumewahi kupokea kutoka kwa mitazamo ya hisia zinazoitwa shaka. Katika hatua ya pili, hata imani zetu za kiakili zinatiwa… Continue reading Kanuni za falsafa.