Bosi mbaya kuliko wote.

Pata picha unafanya kazi chini ya bosi ambaye hajali chochote kuhusu wewe. Hakuamini na haoni kama unaweza kufanya makubwa. Mara nyingi anakutia hofu kwamba saa yoyote anaweza kukuvuta kazi. Au labda anakukazimisha ufanye kazi masaa mingi alafu unapumzika masaa machache. Huyo bosi si mwingine, bali unamjua vizuri, sababu ni wewe. Wewe ndiye bosi wa kwanza… Continue reading Bosi mbaya kuliko wote.

Kataa kukaa na watu hasi.

Wanasema ogopa watu hasi kama ukoma. Mtazamo hasi huambukiza haraka kama moto wa karatasi na kuleta madhara. Mtazamo kama mimi na unyonge wangu siwezi nikafanya kitu kikafanikiwa. Mtazamo hasi kama nilizaliwa hivi na nitakufa hivi, mtazamo hasi kama vile nilizaliwa masikini na nitakufa maskini. Ukiziamini maneno hasi kama hizi inamaana umejikubalia na utakuwa hivyo. Lakini… Continue reading Kataa kukaa na watu hasi.

Ukweli kuhusu kushindwa

Wakati mwingi huwa nasikiliza wachungaji wa madhehebu mbalimbali wanapohubiri. Lakini kati ya wote Kuna menye nawasikiliza napata tumaini la kusonga mbele zaidi. Hata kama kwa wakati huo kuna jambo ambalo limenikwaza sana. Mchungaji huyo huwa anapenda kusema kuwa “wakristo huwa hawashindwi au hawapati hasara, bali wanajifunza kupitia kushindwa kwao au hasara kwenye biashara ama kazi… Continue reading Ukweli kuhusu kushindwa

Jinsi ya kutuliza hofu isiwe kikwazo kwako.

Karibu, changamoto kubwa kabisa kwenye hofu ni pale tunaposhindwa kuielewa kwa undani. Unapoiona hofu kwa nje inakuwa inatisha sana. Usipochambua kwa undani, hutaweza kupiga hatua, maana utaona ni kikwazo kikubwa. Kwa kila hofu unayokuwa nayo, usiishie tu kuangalia kwa nje, bali ichimbe kwa undani, uweze kuielewa na kuchukua hatua sahihi. Hatua muhimu ya kuchukua ni… Continue reading Jinsi ya kutuliza hofu isiwe kikwazo kwako.

Kutokuacha kusudi.

Karibu, hakuna wakati binadamu atasema amekamilika kwa namna yoyote ile, au kwa vile anavyotaka. Hakuna wakati ambao dunia itakuwa Sawa na kila unachohitaji kitakuwa kimekamilika kama unavyotaka. Kusubiri hadi kila kitu kiwe Sawa ni kujichelewesha. Unachohitaji ni kuwa na kusudi, kuwa na nia njema ya kufanya na kisha kufuata mchakato sahihi. Kibaya zaidi ni pale… Continue reading Kutokuacha kusudi.

Hofu siyo adui

Kila mtu huwa anahofia, kila anayefanya kazi kwa mara ya kwanza anakuwa na hofu kubwa. Hata wale wanaoonekana ni majasiri, ndani yao huwa wanakuwa na hofu kubwa. Lakini huwa wanaweza kuzishinda hofu hizo kwa sababu ya mtazamo wanaokuwa nao. Mabadiliko makubwa ya kimtazamo inayoshauriwa kuyafanya ili kuyashinda hofu ni kuyajua kwamba hofu siyo adui. Hofu… Continue reading Hofu siyo adui

Mabadiliko binafsi

Habari na karibu. Mabadiliko binafsi yanahitaji nafasi hili kutokea. Yaani kujaribu kuleta kitu kipya kwenye maisha yako. Unahitaji sehemu ya kukiweka vitu hivi vipya, hivyo inakubidi uondoe vya zamani. Tumezoea kuambiwa tuache vitu vibaya na visivyokuwa na manufaa kwetu. Lakini Kuna upande mwingine wa hilo, kuacha vitu vizuri na tunavyovipenda ili kutengeneza nafasi ya vitu… Continue reading Mabadiliko binafsi

Raha ya kudumu.

Karibu, kwenye zama hizi tunazoishi vitu mingi vinaonekana kwa juu juu, hivyo huleta raha ya haraka kisha raha hiyo kupotea kabisa. Kwa hivyo njia mbadala ya kupata raha ya kudumu ni kukataa ukawaida na kuweka umakini woko wote kwenye kile unachokifanya. Kwa wakati ambao unakifanya unapata ridhiko kubwa kuliko kukifanya kitu kwa juu juu tu.… Continue reading Raha ya kudumu.

Umuhimu wa kujitambua wewe mwenyewe.

Kikwazo kikubwa kinachofanya watu kushindwa kuishi maisha halisi ni kutokujitambua na hivyo kujikuta wakiiga watu wengine. Hii imekuwa hatari sana kwenye zama hizi ambapo ushauri wa maisha umekuwa mwingi. Wengi wanajikuta wakiiga wengine kwa namna mbalimbali hivyo licha ya kuweka juhudi na muda bado hawafanikiwi. Ni muhimu kujitambua wewe mwenyewe hili ushi maisha halisi kwako.… Continue reading Umuhimu wa kujitambua wewe mwenyewe.

Chanzo cha hofu.

Karibu. Tofauti yetu sisi binadamu na viumbe wengine ni uwezo wetu wa kupangilia mambo yajayo. Tuna uwezo wa kufikiri na kutengeneza taswira yoyote kwa mambo yajayo. Ni pale uwezo huo unapotumika vibaya, ambapo mtu anatengeneza taswira mbaya ndipo hofu na wasiwasi huzaliwa. Sehemu kubwa ya vitu ambavyo huwa tunavihofia huwa havitokei. Na hata pale vinapotokea… Continue reading Chanzo cha hofu.