Umuhimu Wa Kuishi Maisha Yako.

Rafiki yangu mpendwa watu wengi wamekuwa wakifanya mambo kwa ajili ya kujijengea sifa baada ya kuondoka hapa duniani. Wanafanya kwa lengo la kuendelea kukumbukwa vizazi kwa vizazi kwa majina yao kuandikwa maeneo muhimu au kuchengewa masanamu. Lakini kama ilivyo kwenye mambo mengine ya maisha, unapolazimisha kitu, huwa hakitokei. Unapofanya mambo ili ukumbukwe, hakuna anayekukumbuka, kwa… Continue reading Umuhimu Wa Kuishi Maisha Yako.

Matatizo 2 Makubwa Ya Fedha.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini pale fedha inapotawala, matatizo mawili hujitokeza. Tatizo la kwanza ni kuyeyusha misingi muhimu. Pale fedha inapokuwa kitu kikuu, watu hawaoni tena umuhimu wa kujenga misingi muhimu, badala yake wanaangalia kile kinachoingiza fedha kwa sasa. Matokeo yake ni jamii inakosa taasisi muhimu zinazoweza kudumu kwa muda mrefu. Chukua… Continue reading Matatizo 2 Makubwa Ya Fedha.

Jinsi Tabia Mbaya Ndani Ya Mtu Inavyokua.

Rafiki yangu mpendwa kila mtu huwa anakasirika na hasira huwa zinamsukuma mtu kufanya kitu anachojutia baadaye. Kadhalika kwa hisia nyingine kama wivu, hofu na chuki. Kwenye mitandao ya kijamii kuna watu ambao kazi yao ni kuibua hisia kali kwa wengine ili kuibua mabishano na kushambuliana mtandaoni trolling. Hilo kumekuwa na manufaa kwa mtandao wa kijamii,… Continue reading Jinsi Tabia Mbaya Ndani Ya Mtu Inavyokua.

Uraibu Unavyozalisha Tabia Mbaya.

Rafiki yangu mpendwa uraibu wa aina yoyote ile, huwa unabadili tabia ya mtu kabisa. Mtu akishakuwa na uraibu hawezi tena kufikiria, anakuwa kama msukule. Yuko tayari kufanya chochote bila kujali madhara yake, hili tu kukamilisha hitaji la uraibu wake. Mfano mzuri ni wateja wa madawa ya kulevya wanapotaka kupata madawa, wapo tayari kufanya chochote ili… Continue reading Uraibu Unavyozalisha Tabia Mbaya.

Gereza Ambalo Mtu Unatembea Nalo.

Mabadiliko makubwa ya teknolojia yaliyotokea miaka zaidi ya kumi iliyopita ni ujio wa simu janja smartphones, kifaa chenye uwezo mkubwa kama kompyuta na mtu unatembea nacho kila mahali. Kifaa hicho ni gereza mbalo mtu unatembea nalo kwa sababu kumekuwa kinatumika kukubadilisha tabia ili uendane na matakwa ya watu wachache wanaotaka kujinufaisha na kufaidika kupitia wewe.… Continue reading Gereza Ambalo Mtu Unatembea Nalo.

Sheria Kuu 2 Za Mafanikio.

Rafiki yangu mpendwa ili kupata na kudumu kwenye mafanikio makubwa, unapaswa kufuata sheria hizi mbili. Moja, kazana kuwa bora zaidi. Usiishi au kufanya chochote kwa mazoea. Hakikisha kila siku yako unajisukuma kuwa bora kuliko siku iliyopita. Siku zako mbili zisifanane. Kwa kila unachofanya, jiulize unawezaje kukiboresha zaidi na chukua hatua za kukiboresha. Kujifunza kwako kuwe… Continue reading Sheria Kuu 2 Za Mafanikio.

Kanuni Ya Pareto 80/20.

Rafiki yangu mpendwa kanuni hii huwa inasema asilimia 20 ya juhudi huwa inazalisha asilimia 80 ya matokeo. Yaani katika mambo kumi unayofanya, asilimia mbili tu ndiyo inazalisha asilimia 80 ya matokeo. Kama unafanya kazi kwa masaa kumi kwa siku,masaa mawili pekee ndiyo yanayozalisha asilimia 80 ya matokeo unayoyapata. Hiyo ina maana kwamba ukiyajua masaa mawili… Continue reading Kanuni Ya Pareto 80/20.

Umuhimu Wa Kuzungukwa Na Watu Sahihi.

Rafiki yangu mpendwa kufanya makubwa siyo kitu rahisi, kuna changamoto na vikwazo, kuna kushindwa na kukata tamaa. Hivyo basi, utaweza kuyavuka hayo kama utakuwa umezungukwa na watu sahihi. Tafuta watu ambao wanafanya makubwa, kisha zungukwa nao, kuwa na kikundi cha watu wanaofanya makubwa ambao mnapeana moyo wa kuendelea na mapambano. Usisubiri mpaka watu waje wakuite… Continue reading Umuhimu Wa Kuzungukwa Na Watu Sahihi.

Umuhimu Wa Kutoa Kafara.

Rafiki, kila mtu kwenye maisha kuna kafara anayotoa, kitu muhimu anachoamua kukipoteza ili kupata kingine anachokihitaji zaidi. Wanaofanikiwa na kupata utajiri ni wale wanaotoa kafara ya muda. Hawa wanautumia muda mwingi kwenye kazi zao na kukosa muda wa starehe mbalimbali. Hawa huonekana kama hawana mlinganyo wa maisha, lakini huishia kuwa na maisha bora. Wasiofanikiwa na… Continue reading Umuhimu Wa Kutoa Kafara.

Mambo 4 Ya Kuzingatia Ili Kupata Utulivu Wa Akili.

Katika zama tunazoishi sasa zama zenye kelele na usumbufu wa kila aina, kupata utulivu wa akili ni kitu kigumu sana. Rafiki sina uhakika kama itakufaa, lakini iyo ni kwa sababu kila mtu anawinda umakini wako na kutaka kuteka akili yako. Hivyo basi, kupata utulivu wa akili lazima uzuie kelele na usumbufu visiingie kabisa kwenye akili… Continue reading Mambo 4 Ya Kuzingatia Ili Kupata Utulivu Wa Akili.