Hivi Ndivyo Unavyopaswa Kuwa Mwanasayansi Wa Maisha Yako.

Rafiki yangu mpendwa wanasayansi huwa wanafanya majaribio mbalimbali,wanakusanya taarifa, wanafikia hitimisho na kisha kuondoka na kile walichogundua. Wanasayansi wanapofanya majaribio hawaanzi wakiwa na jibu fulani, hivyo wanakuwa tayari kupokea jibu lolote na kujifunza. Rafiki, hivyo ndivyo unavyopaswa kuwa kwenye unachofanya. Iwe ni kazi au biashara, kila wakati, jaribu vitu vya tofauti, angalia matokeo unayopata kisha… Continue reading Hivi Ndivyo Unavyopaswa Kuwa Mwanasayansi Wa Maisha Yako.

Sifa 5 Za Jaribio Sahihi Kufanya.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini ili ufanye jaribio, lazima uwe na vigezo unavyoviangalia. Kwenye kitabu cha skip the line mwandishi anatushirikisha vigezo vitano vya kuzingatia unapofanya jaribio. Moja iwe rahisi kuanza,kwa kuwa utafanya majaribio mengi,basi la kwanza lazima liwe rahisi kufanya. Uweze kuanzia pale ulipo sasa bila kuhitaji kitu chochote cha nyongeza… Continue reading Sifa 5 Za Jaribio Sahihi Kufanya.

Kuwa Bora Kwa Asilimia 1 Kila Siku.

Rafiki yangu mpendwa sheria ya asilimia moja kila siku ni kukazana kuwa bora zaidi kila siku kwa asilimia moja kuliko ulivyokuwa siku iliyopita. Kwa kila siku mpya unayoianza, pambana kujiboresha kwa asilimia moja zaidi ya siku iliyopita kwenye kile unachofanya. Unaweza kuiona asilimia moja ni ndogo na kuidharau, ila hujajua nguvu yake. Kama utaifanyia kazi… Continue reading Kuwa Bora Kwa Asilimia 1 Kila Siku.

Dhibiti Kile Kinachoingia Kwenye Akili Yako.

Rafiki yangu mpendwa tunaishi kwenye zama ya mafuriko ya taarifa na maarifa, tuna mengi yanayopigania kupata umakini wetu kuliko muda tulionao wa kuhangaika na mambo yote hayo. Watu wengi wamekuwa wakijidanganya kwa kukimbizana na maarifa zote ili wasipitwe, lakini kwa kumezwa na taarifa hizo, wanakosa muda wa kufanya mambo mengine muhimu. Sina uhakika kama itakufaa,… Continue reading Dhibiti Kile Kinachoingia Kwenye Akili Yako.

Njia 2 Za Kuongeza Kujikubali Wewe Mwenyewe.

Karibu rafiki nini tunachoweza kufanya na maisha yetu yanatokana na historia na mtazamo wa maisha yetu. Unakuta mtu anafanya makubwa na anapata matokeo lakini hajikubali. Kama anaweza kufanya zaidi ya hapo, anaanza kuogopa na kujidharau kupitia ujumbe hasi ambao umekuwa unaupokea mara kwa mara siku za nyuma. Njia ya kutoka kwenye hali ya kutokujiamini, kutokujithamini… Continue reading Njia 2 Za Kuongeza Kujikubali Wewe Mwenyewe.

Hatua 3 Muhimu Za Kukuwezesha Kutengeneza Maana Ya Maisha Yako.

Rafiki yangu mpendwa kutengeneza maana kwenye maisha ni matokeo ya kutengeneza utaratibu kwenye ufahamu wako. Ni kuyaelekeza yale yote unayofanya katika kuzalisha hali ambayo inayafanya maisha yako kuwa bora zaidi. Hatua la kwanza ni unapaswa kuwa na kusudi la maisha yako, unapaswa kuwa na kitu ambacho kinakusuma kuweka juhudi zaidi kwenye yale unayofanya kwenye maisha… Continue reading Hatua 3 Muhimu Za Kukuwezesha Kutengeneza Maana Ya Maisha Yako.

Kwa Nini Hatupendi Kubadilika.

Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini yapo mambo ambayo tumekuwa tunajidandanya sana kwenye mafanikio, na haya yamekuwa yanachochea matatizo mengi tunayokutana nayo kwenye maisha. Mambo yanayochangia tusibadilike ni kama yafuatayo; Kwanza; tunajikadiria zaidi kwenye mchango wetu kwa mafanikio tunayofanya. Tunafikiria bila sisi mafanikio yasingepatikana, huku ni kujidanganya. Pili ; tunachukua sifa ambazo hatustahili… Continue reading Kwa Nini Hatupendi Kubadilika.

Umuhimu Wa Kujitofautisha Na Wengine

Rafiki yangu mpendwa ili kufikia mafanikio makubwa na kutengeneza ubobezi wako, unahitaji kujitofautisha na wengine ambao wanafanya kile unachofanya wewe. Lazima kuwe na kitu ambacho watu wanakipata kwako na hawawezi kukipata kwa mtu mwingine yeyote. Na hili ni rahisi kujua na kutumia kama utajitafakari wewe binafsi na kuangalia maeneo yote ya maisha yako. Angalia uzoefu… Continue reading Umuhimu Wa Kujitofautisha Na Wengine

Njia 6 Za Kupata Furaha.

Rafiki yangu mpendwa, sina uhakika kama itakufaa, lakini kuna njia sita nzuri kabisa unazoweza kufanya ili kuwa na furaha siku zote za maisha yako. Kwanza. Usiwe na kazi, kuwa na kile unachopenda kufanya. Furaha ni matokeo ya kufanya kile unachopenda kufanya. Hivyo, unapaswa kupenda unachofanyana hapo hutafanya kazi kabisa. Kama unachofanya unakiona ni kazi tu,… Continue reading Njia 6 Za Kupata Furaha.

Jinsi Ya Kuishi Wito Wako.

Rafiki yangu mpendwa kila mtu ana wito fulani ndani yake, asili inayomvuta zaidi kufanya zaidi vitu vya aina fulani. Sina uhakika kama itakufaa, lakini mtu anapofanya kitu cha wito wake,anafurahia anakuwa na hamasa na hachoki,anajituma zaidi katika kukifanya. Wale wanaofanikiwa sana ni wale wanaojua wito wa maisha yao na kuuishi kwa viwango vya juu sana.… Continue reading Jinsi Ya Kuishi Wito Wako.