Rafiki yangu nikupendaye, hofu ni zao la akili. Ni vitu ambavyo hata havipo, ni vitu ambavyo vinazalishwa ndani ya akili yako. Pata picha mtu yuko mwezi wa tisa leo, anaanza kufikiria hivi mwezi wa kumi utakuwaje? Rafiki yangu, hata kwa wale wanaosali, Yesu aliwafundisha wanafunzi wake sala na kwenye sala hiyo hakuna mahali alipoomba mambo… Continue reading Usikubali Hofu Ikutawale.
Umuhimu Wa Kuanza Na Wewe Kwanza.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini unapaswa kuanza na wewe kwanza, kama kuna watu hawakupi kile ambacho wewe unataka kwenye maisha yako, anza kwanza wewe mwenyewe kujipa kitu hicho ambacho unataka kutoka kwao. Kwa mfano, kama unataka upendo kutoka kwa wengine, anza kwanza kujipenda wewe mwenyewe, penda kile unachofanya na kisha wapende wengine… Continue reading Umuhimu Wa Kuanza Na Wewe Kwanza.
Kwa Nini Hupaswi Kununua Matatizo Ya Wengine.
Rafiki yangu mpendwa nianze kwa kusema, usinunue matatizo ya wengine. Rafiki matatizo uliyonayo, tayari yanakutosha hivyo usinunue mengine. Muda uliokuwa nao kufanya vitu vya msingi ni mdogo mno. Ukisema uhangaike na kila kitu kwenye hii dunia basi utakufa haraka. Ukisema uhangaike na matatizo ya kila mtu hutaweza kuyamaliza. Kwanza matatizo ya watu, huwa yanamalizwa na… Continue reading Kwa Nini Hupaswi Kununua Matatizo Ya Wengine.
Kama Huna Tabia Hizi Mafanikio Makubwa Hayakuhusu.
Rafiki yangu mpendwa kwa kuanzia, hebu tuchunguze tabia zetu kwa tunazoishi kwenye maisha yetu, kwa sababu kila kitu kwenye maisha yetu huwa kinajengwa na tabia. Watu wengi mambo tunayofanya kila siku yanatokana na tabia ambazo tumejijengea huko nyuma. Watu hawafanyi kitu kama siyo tabia yao. Vitu vingi ambavyo unafanya ni kwa sababu ni tabia yako… Continue reading Kama Huna Tabia Hizi Mafanikio Makubwa Hayakuhusu.
Sheria Za Kuwa Na Maisha Marefu.
Rafiki yangu mpendwa leo tutachunguza kwa kina sheria za kuwa na maisha marefu na ya mafanikio bilionea na mwekezaji Charlie’s Munger ambaye kwa sasa ana miaka 99. Aliulizwa na mwandishi aseme siri za kuwa na maisha marefu na ya mafanikio. Moja ni usiwe na wivu. Wivu ni hali ya kujiona wewe una stahili kuliko mwingine.Ukiishi… Continue reading Sheria Za Kuwa Na Maisha Marefu.
Vitu 3 vinavyosababisha shida yoyote kwenye maisha yako.
Rafiki yangu mpendwa leo tunachunguza vitu vitatu vinavyosababisha shida kwenye maisha yetu. Mfanyabiashara, mwekezaji na mwandishi Kevin O’Leary anasema kwenye maisha kuna wanaume, wanawake na fedha. Mwandishi anasema, shida yoyote kwenye maisha, inatokana na vitu hivyo vitatu. Kama husumbuliwi na mwanamke, basi mwanaume anakusumbua. Na kama kwa mwanamke na mwanaume uko vizuri basi fedha itakua… Continue reading Vitu 3 vinavyosababisha shida yoyote kwenye maisha yako.
Faida 5 Za Shukrani Kwa Afya Ya Akili.
Rafiki yangu mpendwa nianze kwa kusema shukrani inaweza kuonekana tofauti kidogo kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine, shukrani kwa ujumla hufafanuliwa kama tabia ambayo inaruhusu mtu kutambua na kufahamu vipengele vyema na vya maana vya maisha. Mwanasaikolojia Nathan Brandon anaelezea shukrani kama njia ya kufikiria kuhusu shukrani ni kwamba mara nyingi huibua hisia changamfu, chanya,… Continue reading Faida 5 Za Shukrani Kwa Afya Ya Akili.
Njia 5 za kusisimua shukrani inayoweza kuboresha maisha yako.
Focus on gratitude. Rafiki yangu mpendwa tuanze kwa kutazama jinsi ya kuifanya shukrani kuwa sehemu ya utaratibu wako wa kila siku, na hivyo kuweza kuboresha maisha yetu. Hatua ya kwanza ni shukrani inaweza kuboresha afya yako ya akili. Utafiti katika chuo kikuu cha Indiana ulichunguza shukrani na afya ya akili. Watafiti hao wanapendekeza kwamba ‘… Continue reading Njia 5 za kusisimua shukrani inayoweza kuboresha maisha yako.
Njia 5 ya kushinda imani yako yenye ukomo.
Rafiki yangu mpendwa karibu kwenye makala hii ambayo itajadili kuhusu namna ya kushinda imani yenye mipaka. Rafiki ni lini mara ya mwisho ulikata tamaa kwa jambo fulani na kwa nini? Ni lini mara ya mwisho ulishindwa, na ulijiambia nini kuhusu sababu ya kushindwa kwako? Kushinda imani zenye ukomo si rahisi kila wakati. Wamejikita ndani yetu,… Continue reading Njia 5 ya kushinda imani yako yenye ukomo.
Jinsi Ya Kufikiri Kwa Usahihi.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini kufikiri kwa usahihi na umakini ni muhimu kuliko kuwa na akili. Wapo watu wengi wenye akili sana ila hawana hekima na hivyo hawafanyi maamuzi sahihi. Wewe unapaswa kujijengea uwezo wa kufikiri kwa usahihi na umakini, kwa kujua msingi wa kitu na kujua jinsi kinaungana na vitu vingine… Continue reading Jinsi Ya Kufikiri Kwa Usahihi.