Rafiki yangu mpendwa Anthony aliandikia watoto wake barua, huku anajishauri yeye mwenyewe kuhusu maisha aliyoyapitia. Mahali alipopotia yeye aliandika barua 65. Karibu sana tujifunze. Chukua hatua, rafiki yangu mpendwa huu ndio ushauri ambao tunapaswa kufanyia kazi sisi wenyewe kwanza kabla ya kuwashuri watoto wetu au watu wengine. Mimi naifanyia kazi sasa hivi. Rafiki yako, Maureen… Continue reading Ushauri Ambao Ningependa Kuwaambia Watoto Au Mtu Yeyote Ili Kuwa Na Maisha Bora Yenye Mafanikio Na Anthony Pompliano Kwenye Kitabu Chake Cha ( How To Live An Extraordinary Life).
Jinsi Ya Kufuata Mkumbo Kwenye Kufanya Manunuzi (social proof).
Rafiki yangu mpendwa kama wengi wananunua na wewe unakimbilia hapo kununua . Hivyo tunaamini katika wengi, wengi wanaiga kwenye kununua vitu. Wanaofanya maamuzi kwa mantiki ni asilimia 5 tu, wengine wanafuata mkumbo. Njia kumi za kutumia kuongeza mauzo kwa kutumia social proof ni kama yafuatayo; Chukua hatua, rafiki wengi wanapofanya jambo fulani tunafikiri ndiyo jambo… Continue reading Jinsi Ya Kufuata Mkumbo Kwenye Kufanya Manunuzi (social proof).
Mambo 10 Ya Kufanya Ili Kutenga Muda wa Kusoma Na Kuandika.
Rafiki yangu mpendwa ikiwa unataka kutenga muda wa ufanisi wa kuandika, kusoma au kufanya mazoezi licha ya ratiba yako yenye shughuli nyingi. Hapa kuna mawazo kumi ya kuboresha upangaji ea muda wako. Chukua hatua, kwa mbinu hizi, utaweza kusawazisha muda wako vyema kwa ajili ya kuandika, kusoma na kufanya mazoezi. Rafiki yako, Maureen Kemei.
Jinsi Ya kudhibiti Hasira( Ustoa).
Rafiki yangu mpendwa hasira ni asili ya binadamu ila inatupasa tujidhibiti. Hisia zikiwa juu uwezo wa kufikiri unakuwa chini. Tunapaswa kukabiliana na changamoto yoyote ambayo yanajitokeza, kuna mambo yaliyopo ndani ya uwezo wetu na mengine yapo nje ya uwezo wetu. Sisi sio viranja wa dunia. Kufanya kazi ipo ndani ya uwezo wetu. Kazi isipokamilika ndani… Continue reading Jinsi Ya kudhibiti Hasira( Ustoa).
Mambo 7 Ya Kujifunza Kutoka Kwa Muuzaji Bora Kuwahi Kutokea Joe Girald
Rafiki yangu mpendwa Joe Girald ambaye ni muuzaji bora kuwahi kutokea alivunja recodi ya dunia akiwa muuzaji bora wa magari huko Michigan. Mambo sapa ya kuondoka nayo ni kama yafuatayo; Rafiki hayo Mambo sapa ya kujifunza ili kuboresha mauzo yetu na hakika tukifanyia kazi tutakuwa wauzaji bora kuwahi kutokea. Rafiki yako, Maureen Kemei.
Namna Ya Kukamilisha To Do List Yangu.
Rafiki yangu mpendwa ni changamoto ipi umekuwa unakutana nazo kwenye kupangilia siku yako vyema. Leo tunajifunza njia nzuri ya kuipangilia siku yetu vyema. Mambo hayo ni kama yafuatayo; Rafiki kwa kuzingatia mambo haya utaweza kuishi siku yako kwa mafanikio zaidi. Tabia ya kitajiri ni kuwa bora zaidi. Rafiki yako, Maureen Kemei.
Mambo 7 Ya Kuzingatia Wakati Wa Kutoa Huduma Kwa Wateja.
Rafiki yangu mpendwa leo tunajifunza kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kutoa huduma bora kwa wateja. Mambo hayo ni kama yafuatayo; Chukua hatua; huduma bora kwa wateja inajenga uaminifu, mahusiano mazuri, na jina zuri la biashara. Rafiki yako, Maureen Kemei.
Mawazo 10 Ya Kuboresha Kwenye Tabia Ya Kuamka Mapema.
Rafiki yangu mpendwa karibu leo tujifunze mambo ya kufanya ili tuweze kuamka mapema na kuweza kupanga siku yetu na kufanya yale tumepanga kwa mafanikio makubwa. Mawazo haya kumi ni kama yafuatayo; Chukia hatua; kujifunza kuamka mapema ni mchakato, lakini kwa uvumilivu na nidhamu utafanikiwa. Rafikk yako, Maureen Kemei.
Mawazo 10 Ya Kuboresha Kwenye Mchakato Wa Kuweka Malengo.
Rafiki yangu mpendwa sina uhakika kama itakufaa, lakini leo tunajifunza mawazo kumi ya kuboresha mchakato wa kuweka malengo. Chukua hatua; rafiki hakikisha unajitahidi kuwa thabiti na kuzingatia lengo la muda mrefu. Rafiki yako, Maureen Kemei.
Mawazo 10 Ya Kuboresha Kwenye Utumiaji Wa Simu.
Rafiki yangu mpendwa leo tunajifunza kuhusu njia bora kumi ya utumiaji wa simu yako ya mkononi ili kuwa na ufanisi zaidi na usalama. Njia hizo kumi ni kama yafuatayo; Rafiki kwa kufuata mawazo haya, unaweza kuongeza ufanisi, usalama, na matumizi bora ya simu yako. Rafiki yako, Maureen Kemei.